Mimi superbug sifa zangu ni hizi

Mimi superbug sifa zangu ni hizi

Matajiri wa jeiefu wanakuja waanze kukuambia "Hivi huwa unakula mlo mzuri kweli hiyo 20M inakutosha??, Mbona kama ni ndogo sana?🤣🤣.."
Na maswali mengine kama hayo🤣
 
Daah nyie watu nyie!huwezi amini vile vianko vyako ni vidogo ila huchezei pocket money yake kakishika😇
Wapare tuna nidhamu ya hela ndio maana watu wengi hututafsiri kama wabahili. Waziri wa fedha aliyejenga misingi imaara ya uchumi wa nchi hii alikuwa CLEOPA DAVID MSUYA.
 
Wapare tuna nidhamu ya hela ndio maana watu wengi hututafsiri kama wabahili. Waziri wa fedha aliyejenga misingi imaara ya uchumi wa nchi hii alikuwa CLEOPA DAVID MSUYA.
Ni kweli,ila kuna namna mnatutesa wababe zenu,hebu fikiria hiyo M20 angekuwa anaipata msukuma,kila mwisho wa mwezi wife angekuwa anakula ten percent akafanye matumizi yake....ila kwa mpare wewe sijuiii
 
Back
Top Bottom