Mimi (wewe) ni nani haswa? Majibu yanaweza kufumbua fumbo la mwanadamu ni nani na asili yake pia hatima yake

Usimuulize ilo swali huyo ni kilaza awezi kukupa jibu lenye akili maana ni mtu mweupe kichwani ....ukweli ni kwamba hata kama mtu hana dini yaani afuati dini yoyote ila anazo akili kamwe awezi kusema HAKUNA MUNGU ULIMWENGUNI ..MUNGU YUPO KWA ASILIMIA 100 NA NI POWERFULL SANA
 
muulize wanasayansi wanaongelea kuusu force na gravity je zinashikika?zinaonekanika?
 
Kumbuka hata nafsi na roho ni vyako...wewe ni nani?
NENO ROHO NDIYO KILA KITU NDIYO NENO LA KWANZA NDANI YA NENO ROHO NDIYO MAMBO YOTE YANA PATIKANA ...PASIPO ROHO HAKUNA HATA HUYO MUNGU TUNAYE MZUNGUMZIA ...NI NENO KUU SANA
 
Mkuu ofkoz ULIMWENGU unastaabisha sana kwa namna ulivyofanyika na mpangilio wake wa hali ya juu sana.... kama kuna kitu kimeutengeneza kwa KUKUSUDIA basi kitu hicho kitakua kimetumia AKILI KUBWA SANA kuumba...... But so far sayansi HAIJUI pamoja na kujaribu kutengeneza THEORIES mbalimbali
Mimi pia SIJUI

Sayansi ni LOGIC, kukusanya data, kuzichakata kisha matokeo
Sayansi pia inajaribu kutafuta majibu ya vitu VILIVYOPO kwenye ulimwengu huu
IMANI ni kusadiki jambo ambalo halina UHAKIKA wala UTHIBITISHO

Kwenye IMANI kila kitu kinawezekana
Kwenye sayansi kuna kanuni, sio kila kitu kinawezekana
Imani inakwenda kinyume na kanuni za Sayansi
 
muulize wanasayansi wanaongelea kuusu force na gravity je zinashikika?zinaonekanika?
Mkuu kwani uthibitisho wa kisayansi lazima UONEKANE kwa macho au KUSHIKIKA?

Mkuu unajua maana ya SAYANSI kweli?
 
Unahisi Kwa Nini haujitengenezi ulimwengu mwingine, Dunia nyingine na viumbe wengine
 
Yule unaye ongea nae kimoyomoyo ni nani haswa?
 
Energy is a scientific terms
Energy zote zinathibitika kisayansi

Energy unayo iita Roho sijui Mungu HAIPO kwenye sayansi kwasababu HATHIBITIKI
 
Mkuu.

Unachanganya mambo.

Sifa ya kwanza ya imani ni "Uhakika" na "Uthabiti".

Hivyo basi, imani maana yake ni kuwa na uhakika na uthabiti wa mambo yatarajiwayo na bayana ya vitu visivyoonekana.

Kumbe, kwa maneno mengine, imani maana yake ni "kujua".

Ndio kusema: mtu aliye na imani anajua. Huyo ana ufahamu na uelewa wa mambo na elimu ya vitu - ndio uhakika na uthabiti.

Kama hujui, yaani hujui jambo au kitu, huwezi kuwa na uhakika, na huwezi kuwa thabiti katika jambo hilo au katika kitu hicho.

Jambo kuwa la uhakika; au kitu kuwa cha uhakika, maana yake jambo hilo lipo au kitu hicho kipo, ni dhahiri.

Kukosekana kwa uthibitisho au ushahidi, hakuna maana kwamba, kitu hicho au jambo hilo halipo bali kutafuta, kuchunguza na kufuatilia elimu ya vitu (na hii ndio huitwa sayansi), ili kuelewa ukweli wake.

I hope from these explanation you will find what exactly faith is; and what science does.
 

Ok nimekuelewa mzee lengo sio kubishana ila kupata jibu ambalo litakuwa na mashiko zaidi, Sayansi unaundwa na fomula ambazo zinatusaidia kulijua jambo kwa ushahidi na kweli.

sayansi ina mkusanyiko wa Formula ambazo zinatengenezwa kwa lengo la kutatua matatizo au kuwasilisha maelezo ya kisayansi kuhusu uhusiano kati ya mambo mbalimbali.

Lengo linaweza kuwa kufanya utabiri, kufafanua tabia za vitu au michakato, au kusaidia katika kutatua matatizo ya kiufundi au ya kisayansi.

Kwa mfano, katika fizikia, formula inaweza kuundwa ili kufafanua uhusiano kati ya nguvu, kasi, na mabadiliko ya mwendo. Katika hisabati, formula inaweza kutumika kufanya hesabu za maumbo, nafasi, au mizunguko.

Kwa ufupi, formuli zinatengenezwa ili kusaidia katika kutatua matatizo au kuelezea uhusiano kati ya mambo mbalimbali katika sayansi na uhandisi.

Mfano: mtu anazaliwa na kipaji cha kuchora picha au sura ya mtu free hand's bila kitu cha ziada. But kupitia sayansi tunaweza kutengeza fomula au mifumo mizuri kumuwezesha mtu kuchora picha kwa usahihi kama vile yule aliezaliwa na kipaji.

Sasa tukubaliane sayaninsi ni mkusanyiko wa fomula ili kusoma uumbaji wa Mungu au tuendelee kusubiri jibu la kisayansi ambalo litatuambia chanzo cha ulimwengu?

Sasa tujiulize tofauti kati ya nguvu ya asili kisayansi na nguvu ya Mungu kiimani?

Hapa chini ni awiano

Nguvu ya asili - Ipo kila mahari, na ndio inaendesha ulimwengu, nguvu za kijiolojia kama volkano au tetemeko la ardhi, nguvu za hali ya hewa kama upepo na mvua, au nguvu za fizikia kama graviti. Nguvu ya asili inaweza kumaanisha nguvu ambayo inaelezea mienendo ya ulimwengu, ikijumuisha ukuaji wa mimea, mzunguko wa sayari, au hata tabia za binadamu na viumbe wengine. Nguvu hii ndio ninatengeneza ulimwengu.

Nguvu hii hakuna majibu ya kisayansi kuwa ametoka wapi.

Kwa maelezo ya iyo nguvu ya kisayansi ( nguvu ya asili ) inafanana sana na maelezo ya hii nguvu ya kiimani inayoitwa MUNGU

Mungu - Yupo kila mahari, na ndio anaendesha ulimwengu, Mungu huleta mambo kijiolojia kama volkano au tetemeko la ardhi, Mungu huleta hali ya hewa kama upepo na mvua, au nguvu za fizikia kama graviti. Mungu ndie ameumba nguvu ambayo inaelezea mienendo ya ulimwengu, ikijumuisha ukuaji wa mimea, mzunguko wa sayari, au hata tabia za binadamu na viumbe wengine. Mungu ndie ninatengeneza ulimwengu.

Mungu hakuna majibu ya kiimani kuwa ametoka wapi.

Nafikiri kwamba utofauti kati ya Mungu na Asili ya kisayansi ni namna ya kupokea hii hali ambayo hatujui asili yake ni nini. Na tofauti kubwa ni majina.

Tuongezee kidogo

Kwa mara ya kwanza watu waliamini kuwa dunia imejishikiza sehemu fulani na ni kitovu cha ulimwengu kwamba jua,mwezi na vitu vingine ndio vinaizunguka dunia mpaka pale mwanasayansi Galileo Galilei aligundua kuwa Dunia inazunguka jua katika obiti yake mnamo karne ya 17, haswa mwaka 1609 na 1610 kupitia uchunguzi wake kwa kutumia darubini.

Kumbuka Biblia ni mkusanyiko wa maandiko matakatifu ambayo yameandikwa na waandishi mbalimbali kwa kipindi cha karibu miaka elfu mbili. Sehemu za kwanza za Biblia ziliandikwa karibu na mwanzo wa mwaka 1000 BC, wakati sehemu za mwisho ziliandikwa karibu na mwaka 100 AD (hasa agano jipya).

Kwa mahesabu ya haraka hapo biblia iliandikwa miaka 2000 kabla ya ugunduzi wa Galileo. Lakini kuna Udhibitisho kwenye Biblia kuwa dunia inayoninginia yenyewe kabla ya ugunduzi wa Galileo

Ayubu 26:7

7 Hulitandaza anga la kaskazini* mahali pasipo na kitu, Na kuining’iniza dunia mahali pasipo na kitu;

Kwa kuongezea pia mchakato wa mvua ulielezewa kwenye biblia

Ayubu 36:27, 28

27 Yeye huvuta juu matone ya maji;Yanaganda na kuwa mvua kutokana na ukungu wake;28 Kisha mawingu huyamwaga chini;Yanawanyeshea wanadamu

Nimetumia biblia kwasababu ndio kitabu cha imani nilichokisoma zaidi kuliko vingine sijajua kama kwenye Quran pia kuna visibitisho vya kisayansi but niliwaikuona mada izo ila sijathibisha mwenyewe.

Sasa hapa tunaona baadhi ya mambo ambayo yamethibitishwa kisayansi yaliyongelewa kiimani kabla.

Tumetengenezwa kuelewa jambo na kulitafakali. kama ambavyo tunaweza kutafakali na kuhojia maandiko ili kupata jibu sahihi. Hatuzuiwi pia kutafakali na kuhoji sayansi ya uumbaji ili tupate ukweli.
 
Energy is a scientific terms
Energy zote zinathibitika kisayansi

Energy unayo iita Roho sijui Mungu HAIPO kwenye sayansi kwasababu HATHIBITIKI
Mungu kasema kaumba binadamu wewe unamwona binadamu siyo sehemu ya sayansi ? Sayansi ipo ndani ya uumbaji wa mungu ...wewe mwenyewe umesema binadamu ni mwili na software na mungu kasema yeye kaumba hayo hivyo sayansi siyo kitu ambacho akiusiani na mungu kama wewe unavyo dhani
Kwa kifupi (sayansi ni reverse engineer of God creation ) ndiyo maana nikakupa kanuni kuwa sayansi is knowledge toward God
 
Energy is a scientific terms
Energy zote zinathibitika kisayansi

Energy unayo iita Roho sijui Mungu HAIPO kwenye sayansi kwasababu HATHIBITIKI
Kisayanyi uwezi kusema kitu hakipo kwa sababu sayansi aijakijua hicho kitu...kuna vitu vingi vilikuwa avijulikani kisanyansi lakini vilikuwepo ila baadaye vikaja kujulikana ..logic yako ni potovu kwa sababu wewe unaleta dhana kuwa saysnsi ikigundua kitu ndiyo kitu icho kilicho gunduliwa kinaanza kuwepo na sayansi isipo kigundua kitu basi icho kitu ni hakipo ...very stupidii logic
 
Wenye akili tumieni hizi fafanuzi mbili nilizo zibuni kujifunza

1)..(SCIENCE IS THE REVERSE ENGINEER OR REVERSE KNOWLEDGE OF GOD CREATION)

2)SCIENCE IS KNOWLEDGE TOWARD GOD NOT AGAINST GOD


Hizi fafanuzi nimeibuni mimi mwenyewe kwa kutumia akili ....yoyote anaweza kujifunza kitu hapa kwenye hizo fafanuzi



Njoo huku nikuongezee elimu DR Mambo Jambo
 
Mkuu.
Mkuu hiyo sio tafsiri ya IMANI

Hiyo ni aya kutoka kitabu kinachoitwa Bibilia “maneno matakatifu ya Mungu”
Waebrania 1:11

Nenda kwenye kamusi au dictionary ya Oxford upate tafsiri sahihi ya IMANI
 
Science sio ngumu, is the study of simple things, changamoto ni kwamba we evolved with a hunter gather mindset....

The blind watch maker by Richard Dawkins
 
Science sio ngumu, is the study of simple things, changamoto ni kwamba we evolved with a hunter gather mindset....

The blind watch maker by Richard Dawkins
Ukisema kwamba sayansi siyo ngumu unakosea maana science ni kitu chenye kukua . Science yote tuliyo nayo wanadamu leo ni chembe tu ya science tusiyo ijua soma hii kanuni chini inabeba majibu yote ya science na dini na uzito wa science labda wewe una zungumzia science tuliyo nayo hadi sasa tu.

[emoji116][emoji116]

Wenye akili tumieni hizi fafanuzi mbili nilizo zibuni kujifunza

1)..(SCIENCE IS THE REVERSE ENGINEER OR REVERSE KNOWLEDGE OF GOD CREATION)

2)SCIENCE IS KNOWLEDGE TOWARD GOD NOT AGAINST GOD

Hizi fafanuzi nimeibuni mimi mwenyewe kwa kutumia akili ....yoyote anaweza kujifunza kitu hapa kwenye hizo fafanuzi
 
Kama hakipo kwanini una FORCE kipo?
Kwahiyo tuamini(tukubali tu) UPUMBAVU wowote ambao HAUPO na hauthibitiki kama upo kwa kigezo kwamba Sayansi bado haijagundua?

Ndio maana tunasema kwenye IMANI kuna UJINGA mwingi sana kwasababu KILA KITU KINAWEZEKANA kwenye IMANI
Hatakama jambo HALIPO na uwezekano wakuwepo haupo lakini kwenye IMANI “lipo”
Science doesn’t work that way

IMANI itabaki kuwa IMANI unless hujui maana ya IMANI
Mtume anaposema mfia dini anakwenda kupewa mabikira 72 au Yesu anaposema watakao muamini hadi kufa watakwenda kula naye bata milele, au Vikings wanaoamini ukifa vitani na shoka mkononi unakenda kula bata Valahala, na kuna mamilioni ya IMANI kama hizi........... science has nothing to do with this kind of nonsense

Sayansi ina deal na mambo yaliopo. sayansi haishughuliki na hekaya za kusadikika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…