Mkuu science never claims kwamba inajua kila kitu
Sayansi ipo limited
Sayansi haina MIUJIZA yoyote mkuu, ni logic tu, inakusanya taarifa inazifanyia kazi na kutoa majibu.... the process can be complicated lakini hakuna miujiza yoyote.
Tuna apply sayansi kila siku kwenye maisha yetu bila kujijua kwamba tuna apply science.
Mfano ukiwa na banda lako unafuga kuku halafu kila siku kuku mmoja anapotea bandani.... utakachofanya kujua ndio sayansi yenyewe
Ukiondoa sala unayosali kila kitu utakachofanya, utakachotumia utakua una apply science.
Dunia hii ni aridhi maji mimea na viumbe hai..... the rest unachokiona ni matokeo ya SAYANSI, bila sayansi mimi na wewe tusingekuwa tunajadiliana hapa JF
Kama nilivyosema sayansi HAIJUI sababu ya kila kitu mkuu, na hapa ndipo watu wanajichanganya kudhani sayansi inaweza kila kitu na kuanza kuishindanisha na DINI/IMANI..... hii sio SAHIHI
Kwenye sayansi kuna scientific FACT na scientific THEORIES
Nadhani unajua vizuri maana ya FACT.
Theories sio FACT, ni namna science inajaribu kutengeneza uwezekano wa jambo kutokea kulingana na taarifa zilizopo
Sayansi haijui KWAHAKIKA dunia hii imetengenezeka vipi, ndio ikaja na THEORY ya BIG BANG theory.
Theory are open tobe challenged ....... mpaka pale itakapo kuwa scientific FACT
So ukidai theory za kisayansi ni sawa na IMANI ntakuelewa lakini tofauti ni kwamba theory sio fact na zipo wazi kufanyiwa maboresho kulingana na new findings. Hii haipo kwenye IMANI
Mkuu binadamu ni kiumbe mdadisi, na moja ya jambo analolidadisi sana ni ulimwengu huu umetokeaje?
Sayansi haina MAJIBU ikatengeneza theory.
Wengine wakamtengeneza MUNGU ili apatikane aliyeiumba
HAKUNA ANAYEJUA DUNIA IMETOKEAJE...... hakuna

Ok nimekuelewa mzee lengo sio kubishana ila kupata jibu ambalo litakuwa na mashiko zaidi, Sayansi unaundwa na fomula ambazo zinatusaidia kulijua jambo kwa ushahidi na kweli.
sayansi ina mkusanyiko wa Formula ambazo zinatengenezwa kwa lengo la kutatua matatizo au kuwasilisha maelezo ya kisayansi kuhusu uhusiano kati ya mambo mbalimbali.
Lengo linaweza kuwa kufanya utabiri, kufafanua tabia za vitu au michakato, au kusaidia katika kutatua matatizo ya kiufundi au ya kisayansi.
Kwa mfano, katika fizikia, formula inaweza kuundwa ili kufafanua uhusiano kati ya nguvu, kasi, na mabadiliko ya mwendo. Katika hisabati, formula inaweza kutumika kufanya hesabu za maumbo, nafasi, au mizunguko.
Kwa ufupi, formuli zinatengenezwa ili kusaidia katika kutatua matatizo au kuelezea uhusiano kati ya mambo mbalimbali katika sayansi na uhandisi.
Mfano: mtu anazaliwa na kipaji cha kuchora picha au sura ya mtu free hand's bila kitu cha ziada. But kupitia sayansi tunaweza kutengeza fomula au mifumo mizuri kumuwezesha mtu kuchora picha kwa usahihi kama vile yule aliezaliwa na kipaji.
Sasa tukubaliane sayaninsi ni mkusanyiko wa fomula ili kusoma uumbaji wa Mungu au tuendelee kusubiri jibu la kisayansi ambalo litatuambia chanzo cha ulimwengu?
Sasa tujiulize tofauti kati ya nguvu ya asili kisayansi na nguvu ya Mungu kiimani?
Hapa chini ni awiano
Nguvu ya asili - Ipo kila mahari, na ndio inaendesha ulimwengu, nguvu za kijiolojia kama volkano au tetemeko la ardhi, nguvu za hali ya hewa kama upepo na mvua, au nguvu za fizikia kama graviti. Nguvu ya asili inaweza kumaanisha nguvu ambayo inaelezea mienendo ya ulimwengu, ikijumuisha ukuaji wa mimea, mzunguko wa sayari, au hata tabia za binadamu na viumbe wengine. Nguvu hii ndio ninatengeneza ulimwengu.
Nguvu hii hakuna majibu ya kisayansi kuwa ametoka wapi.
Kwa maelezo ya iyo nguvu ya kisayansi ( nguvu ya asili ) inafanana sana na maelezo ya hii nguvu ya kiimani inayoitwa MUNGU
Mungu - Yupo kila mahari, na ndio anaendesha ulimwengu, Mungu huleta mambo kijiolojia kama volkano au tetemeko la ardhi, Mungu huleta hali ya hewa kama upepo na mvua, au nguvu za fizikia kama graviti. Mungu ndie ameumba nguvu ambayo inaelezea mienendo ya ulimwengu, ikijumuisha ukuaji wa mimea, mzunguko wa sayari, au hata tabia za binadamu na viumbe wengine. Mungu ndie ninatengeneza ulimwengu.
Mungu hakuna majibu ya kiimani kuwa ametoka wapi.
Nafikiri kwamba utofauti kati ya Mungu na Asili ya kisayansi ni namna ya kupokea hii hali ambayo hatujui asili yake ni nini. Na tofauti kubwa ni majina.
Tuongezee kidogo
Kwa mara ya kwanza watu waliamini kuwa dunia imejishikiza sehemu fulani na ni kitovu cha ulimwengu kwamba jua,mwezi na vitu vingine ndio vinaizunguka dunia mpaka pale mwanasayansi Galileo Galilei aligundua kuwa Dunia inazunguka jua katika obiti yake mnamo karne ya 17, haswa mwaka 1609 na 1610 kupitia uchunguzi wake kwa kutumia darubini.
Kumbuka Biblia ni mkusanyiko wa maandiko matakatifu ambayo yameandikwa na waandishi mbalimbali kwa kipindi cha karibu miaka elfu mbili. Sehemu za kwanza za Biblia ziliandikwa karibu na mwanzo wa mwaka 1000 BC, wakati sehemu za mwisho ziliandikwa karibu na mwaka 100 AD (hasa agano jipya).
Kwa mahesabu ya haraka hapo biblia iliandikwa miaka 2000 kabla ya ugunduzi wa Galileo. Lakini kuna Udhibitisho kwenye Biblia kuwa dunia inayoninginia yenyewe kabla ya ugunduzi wa Galileo
7 Hulitandaza anga la kaskazini
* mahali pasipo na kitu, Na kuining’iniza dunia mahali pasipo na kitu;
Kwa kuongezea pia mchakato wa mvua ulielezewa kwenye biblia
27 Yeye huvuta juu matone ya maji;Yanaganda na kuwa mvua kutokana na ukungu wake;
28 Kisha mawingu huyamwaga chini;Yanawanyeshea wanadamu
Nimetumia biblia kwasababu ndio kitabu cha imani nilichokisoma zaidi kuliko vingine sijajua kama kwenye Quran pia kuna visibitisho vya kisayansi but niliwaikuona mada izo ila sijathibisha mwenyewe.
Sasa hapa tunaona baadhi ya mambo ambayo yamethibitishwa kisayansi yaliyongelewa kiimani kabla.
Tumetengenezwa kuelewa jambo na kulitafakali. kama ambavyo tunaweza kutafakali na kuhojia maandiko ili kupata jibu sahihi. Hatuzuiwi pia kutafakali na kuhoji sayansi ya uumbaji ili tupate ukweli.