Mimi (wewe) ni nani haswa? Majibu yanaweza kufumbua fumbo la mwanadamu ni nani na asili yake pia hatima yake

Umeuliza swali tata sana

BINADAMU ni
Mwili na nafsi
Mwili unabeba nafsi

Mwili ni kama hardware na nafsi ni kama software

MWILI ni jumla ya vitu vyote vilivyo ungana kumtengeneza binadamu kama mikono macho moyo korodani nywele nk nk

NAFSI ni ule utashi wako wa ndani unao utumia kuamua mwili ufanye nini nk nk

Kwahiyo wewe sio single item

Wapo waumini wa IMANI wanakwenda mbali zaidi kwa kusema binadamu ni Mwili nafsi na ROHO
Hakuna utata wowote mbona jibu ulilo toa ni sahihi kabisa ....ila hapo uliposema wengine wanakwenda mbali zaidi ndiyo kwenye kosa mwili na nafsi vyote ni roho (spirit) = energy
Vitu vyote pamoja na mungu ni roho na ufalme wake unaitwa ufalme wa roho maana yake vitu vyote ni roho...neno roho ni kuu mno hata mungu na sifa na uwezo wake wote kafunikwa na hilo neno roho ....pasipo roho hakuna chochota hata mungu awezi kuwepo maana hata mungu naye ni ROHO
 
ROHO ipo kiimani zaidi
MWILI na NAFSI vipo kiuhalisia
 
Wanasayansi walisha gundua kuwa vitu vyote ni energy..tumia akili utajua neno roho siyo kiimani neno roho ndiyo energy kisayansi ....even matter is energy
Wanasayansi wa wapi hao waliogundua ROHO ni ENERGY?
Kwakuwa wanasayansi wanasema kila kitu ni ENERGY basi mnahalalisha hata VISIVYOKUWEPO kuwa ni energy...... huoni wewe ndio unatakiwa kutumia akili?

Hizo ni blah blah za wanaIMANI kutapata kuhalalisha hadithi zao za elfu ulela wa ulela kupitia SAYANSI
 
Wewe ujui sayansi ....wanasayansi wanakubali kuwa nguvu za uumbaji zipo na wanakubali kuwa vitu vyote vimeumbwa na hizo nguvu na hizo nguvu wao ndiyo wanaziita mother nature ila wanacho tofautiana na dini ni wao wanasayansi wanakataa kuwa hizo nguvu zinajitambua yaani ni (nafsi) wao wanasayansi wanasema kuwa hizo nguvu zimeumba kwa kubahatisha tu ....maana wakikubali kuwa hizo nguvu zinajitambua tayari watakuwa wamekubali kuwa,huyo ni mungu.
 
Sayansi haishughuliki na vitu ambavyo HAVIPO....... Period
Haina uwezo huo

Hizo blah blah zako za “ wanasayansi wamekubaliana” wamekubaliana na nani?
Sayansi ni MCHAKATO sio mtu(mwanasayansi) ,Deal na sayansi na sio mwanasayansi kasema nini

Tatizo lenu mnadhania sayansi INAJUA na KUWEZA kila kitu
Hakuna mahali popote sayansi imewahi kuthibitisha ulimwengu huu umeumbwaje, kilichofanyika ni kukusanya data na wakatengeneza THEORIES
Sasa wanaIMANI mko busy kweli kweli kutafuta connection ya scientific theories na imani zenu za Mungu sijui roho nk
 
Kumbe na mimi nimekuwa mpumbavu kama baba yako ...baba yako aliuza ng'ombe wake kukusomesha kumbe kauza ng'ombe kusomesha ng'ombe ...namimi nimegundua naelimisha ng'ombe
 
Wanasayansi wa wapi hao waliogundua ROHO ni ENERGY?
Kwakuwa wanasayansi wanasema kila kitu ni ENERGY basi mnahalalisha hata VISIVYOKUWEPO kuwa ni energy...... huoni wewe ndio unatakiwa kutumia akili?

Hizo ni blah blah za wanaIMANI kutapata kuhalalisha hadithi zao za elfu ulela wa ulela kupitia SAYANSI
Jitahidi uwe unajisomea kila siku, sciense sio history ( yenyewe inabadilika kila siku kutokana na research mpya )
2143287325.jpg
199658289.jpg
 
Wewe ujui sayansi ....wanasayansi wanakubali kuwa nguvu za uumbaji zipo na wanakubali kuwa vitu vyote vimeumbwa na hizo nguvu na hizo nguvu wao ndiyo wanaziita mother nature ila wanacho tofautiana na dini ni wao wanasayansi wanakataa kuwa hizo nguvu zinajitambua yaani ni (nafsi) wao wanasayansi wanasema kuwa hizo nguvu zimeumba kwa kubahatisha tu ....maana wakikubali kuwa hizo nguvu zinajitambua tayari watakuwa wamekubali kuwa,huyo ni mungu.
Mkuu.
Mimi huwa nasom mijadala mingi humu JF hasa ya dini au imani, sayansi na maendeleo. Lakini nilichoona ni kwamba watu wengi hapa JF (asilimia 98) hawana uelewa wa mambo na elimu ya vitu.

Watu hawajui sayansi ni nini na inashughulika na nini; na hawajui maarifa ya sayansi yamefikia wapi kuhusu ulimwengu wa maumbile, na dini ni nini na inashughulika na nini.
 
Kumbe na mimi nimekuwa mpumbavu kama baba yako ...baba yako aliuza ng'ombe wake kukusomesha kumbe kauza ng'ombe kusomesha ng'ombe ...namimi nimegundua naelimisha ng'ombe
Mkuu nilidhania tunajadili HOJA.
Naona umeishiwa HOJA umeanza kuleta VIROJA vya matusi 😂

Jifunze kushambulia HOJA na sio kumshambulia mleta HOJA
Next time ukija na HOJA zako za blah blah uwe umejipanga ili usiishie kutukana watu

Uwe na siku njema 🙏
 
Mkuu nilidhania tunajadili HOJA.
Naona umeishiwa HOJA umeanza kuleta VIROJA vya matusi [emoji23]

Jifunze kushambulia HOJA na sio kumshambulia mleta HOJA
Next time ukija na HOJA zako za blah blah uwe umejipanga ili usiishie kutukana watu

Uwe na siku njema [emoji120]
Masai njoo uchukue ng'ombe yako huku
 
Jitahidi uwe unajisomea kila siku, sciense sio history ( yenyewe inabadilika kila siku kutokana na research mpya )View attachment 2937658View attachment 2937660
Mkuu huu ndio uthibitisho wa nini?
Kuna article zaidi ya mamilioni kwenye internet na kila mmoja anapuyanga kivyake
Au na mimi nikuwekee inayosema tofauti na hiyo ulioweka?

Ukielewa maana ya SAYANSI utaelewa kwanini haishughuliki na vitu ambavyo havipo.
Haina uwezo huo
 
Mkuu.
Mimi huwa nasom mijadala mingi humu JF hasa ya dini au imani, sayansi na maendeleo. Lakini nilichoona ni kwamba watu wengi hapa JF (asilimia 98) hawana uelewa wa mambo na elimu ya vitu.

Watu hawajui sayansi ni nini na inashughulika na nini; na hawajui maarifa ya sayansi yamefikia wapi kuhusu ulimwengu wa maumbile, na dini ni nini na inashughulika na nini.
Umetoa brief kwa utenganifu mzuri sana mkuu

Natamani kuona ufafanuzi zaidi kati ya sayansi na dini vinakutana wapi?

Kwenye dini unatakiwa KUAMINI tu basi............ kwasababu kila kitu KINAWEZEKANA kwenye imani

Kwenye sayansi mambo ni tofauti kabisa
Sayansi ni mchakato na ina UKOMO
Kama haijui kitu ni haijui na kama inajua inakupa FACT

Dini/imani inakwenda kinyume cha misingi ya sayansi
Hakuna namna unaweza kutumia misingi ya kisayansi kuhalalisha uwepo wa dini/imani

Kumeanza kuibuka kundi la watu wanaoleta Hadithi za kutumia sayansi kuthibitisha imani zao
 
Mkuu mimi pia baada ya kujitazama kimoja baada ya kingine, nikajiuliza "mimi" ni nani? Nilipotaka kupost hapa nikakosa content (niandikeje ili nieleweke) nikasearch nikapata uzi wa member fulani alipost miaka ya nyuma kidogo, wakati nasoma comments nikagundua ni wachache waliomuelewa!
 
Umetoa brief kwa utenganifu mzuri sana mkuu

Natamani kuona ufafanuzi zaidi kati ya sayansi na dini vinakutana wapi?

Kwenye dini unatakiwa KUAMINI tu basi............ kwasababu kila kitu KINAWEZEKANA kwenye imani

Kwenye sayansi mambo ni tofauti kabisa
Sayansi ni mchakato na ina UKOMO
Kama haijui kitu ni haijui na kama inajua inakupa FACT

Dini/imani inakwenda kinyume cha misingi ya sayansi
Hakuna namna unaweza kutumia misingi ya kisayansi kuhalalisha uwepo wa dini/imani

Kumeanza kuibuka kundi la watu wanaoleta Hadithi za kutumia sayansi kuthibitisha imani zao
Well.

Kwanza kabisa tuelewa kwamba, "Hakuna sayansi bila dini, na dini bila sayansi imepungukiwa".

Sayansi inafanya kazi ya kutafuta na kuona: Je, yale yote ambayo dini au imani imesema yapo; au je, ni kweli.

Sasa, hakuna sayansi au mwanasayansi ambaye anakataa kwamba ulimwengu umefanyika kwa akili nyingi na ya hali ya juu sana.

Sayansi inakubali na inaona kila kitu kinachoonekana kimefanyika kwa akili nyingi sana kuanzia na muundo wao wa nje na hata utendaji kazi wao, ni wa akili ya hali ya juu.

Sasa, ni nini au hali gani ambayo imesababisha vitu kuwepo, na kuwepo kwa akili hivi?

Hapo ndipo nadharia ya "Mlipuko Mkubwa" (The Bing bang theory), ambayo ni msingi wa nadharia karibu zote za sayansi, inafafanua kuwa ulimwengu umetokana na mlipuko mkubwa. Maana ya maneno "Mlipuko Mkubwa", ni Nishati (Energy). Kwahiyo kwa maneno mengine: ulimwengu umetokana na nishati.

Ingawa nadharia hii ina maswali mengi, lakini ndio inayokubaliwa na wanasayansi wengi.

Sasa, hoja ni "Nishati" (energy) kwa upande wa sayansi na "Mungu" au "Roho" kwa upande wa dini.

Sayansi inasema Nishati. Je, hii nishati ambayo sayansi inasema kama chanzo cha vitu ni nini?

Dini inasema, ulimwengu umeumbwa na Mungu. Na Mungu ni roho. Je Mungu maana yake ni nini? Na roho maana yake ni nini?

Muhimu sana. Dini na sayansi: vyote vinashughulikia "Kweli za Akili".
 
Unapoteza muda wako kuelimisha ng'ombe ...kwa kifupi definition ya energy inaeleza vizuri mungu ni nini na mungu ni nani tena inaeleza vizuri mungu ali umba vitu kwa jinsi gani .. energy ipo milele uwezi kuiumba wala kuiangamiza hata mungu anapo umba anacho fanya ni kuibadili energy katika form mbalimbali ....hakuna kinacho ungua na kuteketea wala kinacho oza na kupotea vitu vyote vinabadilika tu kutoka form moja hadi nyingine ya energy
 
Umetoa brief kwa utenganifu mzuri sana mkuu

Natamani kuona ufafanuzi zaidi kati ya sayansi na dini vinakutana wapi?

Kwenye dini unatakiwa KUAMINI tu basi............ kwasababu kila kitu KINAWEZEKANA kwenye imani

Kwenye sayansi mambo ni tofauti kabisa
Sayansi ni mchakato na ina UKOMO
Kama haijui kitu ni haijui na kama inajua inakupa FACT

Dini/imani inakwenda kinyume cha misingi ya sayansi
Hakuna namna unaweza kutumia misingi ya kisayansi kuhalalisha uwepo wa dini/imani

Kumeanza kuibuka kundi la watu wanaoleta Hadithi za kutumia sayansi kuthibitisha imani zao
Nimekufatilia sana majibu yako inaonekana pengine unakitu unakijua zaidi tofauti na watu wengi kuhusu ulimwengu. Hauamini katikati uwepo wa Mungu (Imani). Na unaamini katika mchakato wa kawaida wa maisha, yaani ili kitokee hiki lazima ufanye hivi. Kiufupi iyo ndio sayansi inazingati ushaidi na kweli ( evidence na fact)

Kwasababu kisayansi hakuna kinachoweza kutokea tu bila sababu, mfano: ili mvua inyeshe kunamchakato lazima uafanyike. / giza na nuru kunamchakato unafanyika ndio vinatokea n.k na kunashahidi za kisayansi.

Tusaidie kwa unachojua na sisi tufaidike.

Tuambie basi ni ipi asili ya awali kabisa ya ulimwengu? ( Ulimwengu ulitoka wapi )

Jibu likikosa evidence na fact iyo sio sayansi tena ni Imani, na sitaki kuamini kama sayansi na yenyewe inatumia Imani.
 
Back
Top Bottom