Kwamba Simba kutotokea kwenye press ni jambo linaloweza kuwatoa yanga mchezoni?
Kwamba Simba kutotokea kwenye press ndio wanawaaminisha mashabiki wao awapeleki timu uwanjani?
Hiki ni kisa cha yule bwana aliyesikika akisema Mimi situmii samaki lakini mchuzi wa samaki nakunywa!
Unashindwa kutokea kwenye press lakini kucheza unacheza sasa hapo inakuwa umemkomoa nani?
Zaidi ya kujikomoa mwenyewe maana mashabiki wako watakuwa wachache uwanjani wa kukupa sapoti!
Na bado utakuwa umelipishwa faini inakuwa umemkomoa yanga ama umejikomoa?
Yanga uwezi kuwatoa mchezoni kwa drama za watoto wa chekechea kama hizi kwamba na wewe uonekane umefanya jambo la msimamo wakati mechi unacheza🤣🤣🤣
Wenzenu mechi awakucheza na trh ikapangwa mpya Leo hii wewe unagomea press lakini mechi unacheza ni kituko cha Karne🤣🤣