Mind game za kishamba na utoto sijui zinaweza kumuathiri nani!

Kwamba Simba kutotokea kwenye press ni jambo linaloweza kuwatoa yanga mchezoni?

Kwamba Simba kutotokea kwenye press ndio wanawaaminisha mashabiki wao awapeleki timu uwanjani?

Hiki ni kisa cha yule bwana aliyesikika akisema Mimi situmii samaki lakini mchuzi wa samaki nakunywa!

Unashindwa kutokea kwenye press lakini kucheza unacheza sasa hapo inakuwa umemkomoa nani?
Zaidi ya kujikomoa mwenyewe maana mashabiki wako watakuwa wachache uwanjani wa kukupa sapoti!
Na bado utakuwa umelipishwa faini inakuwa umemkomoa yanga ama umejikomoa?

Yanga uwezi kuwatoa mchezoni kwa drama za watoto wa chekechea kama hizi kwamba na wewe uonekane umefanya jambo la msimamo wakati mechi unacheza🤣🤣🤣

Wenzenu mechi awakucheza na trh ikapangwa mpya Leo hii wewe unagomea press lakini mechi unacheza ni kituko cha Karne🤣🤣
Bila shaka aliyetoa hili wazo ndiyo atakuwa ni huyo huyo aliyeshauri timu isusie mechi ya awali. Yaani ni utoto kwa kwenda mbele.
 
Screenshot_2025-06-24-20-54-58-289_com.android.chrome.jpg

kwa website ya Simba game ipo
 
Walete timu uwanjani waache kujifanya waigizaji wakati Bongo Movies wapo!
 
Kugomea press ndio msimamo huo? Kama mnajiweza msimike kutocheza kama wenzenu tuone sio vidrama vya kitoto ivyo eti mapato,,sasa mapato tiyali kuna waliokwisha lipia tiketi zao za Ncard kipindi kile mechi imeahirishwa bado pesa inasoma na idadi yao hapo mashabiki ni nyongeza tu kwenye mapato ya mechi iliyopita sasa mnamkomoa nani?
Press ni ishu ndogo, sawa tu na mazoezi ya mwisho. Nashangaa umeianzishia uzi
 
Simba haijawahi kuweza kujishikilia hata mwaka mmoja!!
😆😆😆😆
Watajishikiliaje wakati viongozi wao ndio wakina magori wanaowategemea wawape mbinu eti kugomea press ili waonekane na wao wamefanya jambo kubwa la msimamo🤣🤣
 
Kwamba Simba kutotokea kwenye press ni jambo linaloweza kuwatoa yanga mchezoni?

Kwamba Simba kutotokea kwenye press ndio wanawaaminisha mashabiki wao awapeleki timu uwanjani?

Hiki ni kisa cha yule bwana aliyesikika akisema Mimi situmii samaki lakini mchuzi wa samaki nakunywa!

Unashindwa kutokea kwenye press lakini kucheza unacheza sasa hapo inakuwa umemkomoa nani?
Zaidi ya kujikomoa mwenyewe maana mashabiki wako watakuwa wachache uwanjani wa kukupa sapoti!
Na bado utakuwa umelipishwa faini inakuwa umemkomoa yanga ama umejikomoa?

Yanga uwezi kuwatoa mchezoni kwa drama za watoto wa chekechea kama hizi kwamba na wewe uonekane umefanya jambo la msimamo wakati mechi unacheza🤣🤣🤣

Wenzenu mechi awakucheza na trh ikapangwa mpya Leo hii wewe unagomea press lakini mechi unacheza ni kituko cha Karne🤣🤣
Huna akili ,timu haiwezi ikafanya press mara mbili huo ni upotezaji wa muda jitafakari is 🐸🐸🐸
 
Watajishikiliaje wakati viongozi wao ndio wakina magori wanaowategemea wawape mbinu eti kugomea press ili waonekane na wao wamefanya jambo kubwa la msimamo🤣🤣
Press haifanyiki mara mbili we 🐸🐸🐸
 
Bila shaka aliyetoa hili wazo ndiyo atakuwa ni huyo huyo aliyeshauri timu isusie mechi ya awali. Yaani ni utoto kwa kwenda mbele.
Ninyi ndio watoto kazi kuamini ulozi hadi kuwazuia simba wasifanye mazoezi
 
Kama yanga walitumia mbinu ya kugoma tarehe 15 na kutumia viongozi wa kisiasa waswahili jk &his company na kumshawishi mlipa Kodi mkubwa nae awepo kwenye kikao Ili kuongeza uzito wa hoja Kwa nini simba iwe dhambi kutumia japo passive reaction kama hiyo Ili mamlaka zijue kuwa simba hawakubaliani na maamuzi ya serikali kuingilia mambo ya mchezo? Mechi watacheza ila hizo ni salaam Kwa watawala majuha
Zile pesa za goli la mama na kupewa ndege serikali iliingilia au haikuingilia?
 
Kwamba Simba kutotokea kwenye press ni jambo linaloweza kuwatoa yanga mchezoni?

Kwamba Simba kutotokea kwenye press ndio wanawaaminisha mashabiki wao awapeleki timu uwanjani?

Hiki ni kisa cha yule bwana aliyesikika akisema Mimi situmii samaki lakini mchuzi wa samaki nakunywa!

Unashindwa kutokea kwenye press lakini kucheza unacheza sasa hapo inakuwa umemkomoa nani?
Zaidi ya kujikomoa mwenyewe maana mashabiki wako watakuwa wachache uwanjani wa kukupa sapoti!
Na bado utakuwa umelipishwa faini inakuwa umemkomoa yanga ama umejikomoa?

Yanga uwezi kuwatoa mchezoni kwa drama za watoto wa chekechea kama hizi kwamba na wewe uonekane umefanya jambo la msimamo wakati mechi unacheza🤣🤣🤣

Wenzenu mechi awakucheza na trh ikapangwa mpya Leo hii wewe unagomea press lakini mechi unacheza ni kituko cha Karne🤣🤣
Umeshachanganyikiwa.Kula mihogo ya injinia "Helesi"!
 
Back
Top Bottom