- Thread starter
- #41
Timu mtaleta tu na vidrama vya kishamba kinachotakiwa ni point 3 muhimu na kubeba ubingwaUmeshachanganyikiwa.Kula mihogo ya injinia "Helesi"!
Timu mtaleta tu na vidrama vya kishamba kinachotakiwa ni point 3 muhimu na kubeba ubingwaUmeshachanganyikiwa.Kula mihogo ya injinia "Helesi"!
Manara alisema pale UTOPOLO wenye akili wapo wawili 2.Rage alivowaita mbumbumbu hukumwelewa?
Hao wataleta timu na kufungwa watafungwa
Naona umeandika Kwa uchungu sanaKwamba Simba kutotokea kwenye press ni jambo linaloweza kuwatoa yanga mchezoni?
Kwamba Simba kutotokea kwenye press ndio wanawaaminisha mashabiki wao awapeleki timu uwanjani?
Hiki ni kisa cha yule bwana aliyesikika akisema Mimi situmii samaki lakini mchuzi wa samaki nakunywa!
Unashindwa kutokea kwenye press lakini kucheza unacheza sasa hapo inakuwa umemkomoa nani?
Zaidi ya kujikomoa mwenyewe maana mashabiki wako watakuwa wachache uwanjani wa kukupa sapoti!
Na bado utakuwa umelipishwa faini inakuwa umemkomoa yanga ama umejikomoa?
Yanga uwezi kuwatoa mchezoni kwa drama za watoto wa chekechea kama hizi kwamba na wewe uonekane umefanya jambo la msimamo wakati mechi unacheza🤣🤣🤣
Wenzenu mechi awakucheza na trh ikapangwa mpya Leo hii wewe unagomea press lakini mechi unacheza ni kituko cha Karne🤣🤣
Ili mkashiriki Klabu bingwa Afrika na muiletee nchi aibu?Hopelesses kabisa!Timu mtaleta tu na vidrama vya kishamba kinachotakiwa ni point 3 muhimu na kubeba ubingwa
sasa kama siyo kubwa mbona mnahangaika nalo toka janaWatajishikiliaje wakati viongozi wao ndio wakina magori wanaowategemea wawape mbinu eti kugomea press ili waonekane na wao wamefanya jambo kubwa la msimamo🤣🤣
Jitu lenye akili na pumbu zake linaamini kuwa kila mtu anawaza mano noo ya *******, halijui kuwa kila mtu anao uhuru wa kuwazia kule anakopata furaha!Watu ni ******* sana..jitu Zima na pumbu zake liko busy na mambo ya Simba na yanga..haya mambo yanatuchelewesha sana..na mbogamboga ndio mambo wanayoyataka.
Kwani ata yanga asipokuwa bingwa kitu Gani kitamzuia kushiriki klabu bingwa?Ili mkashiriki Klabu bingwa Afrika na muiletee nchi aibu?Hopelesses kabisa!
Akuna anayeangaika na upuuzi kama ule zaidi ya kuwaeleza kuwa mnachofanya ni sawa na kujitekenya wenyewesasa kama siyo kubwa mbona mnahangaika nalo toka jana
Ngoja nimuulize kocha Aymel.Kwani ata yanga asipokuwa bingwa kitu Gani kitamzuia kushiriki klabu bingwa?
Huyu ana majibu kweli? Bora uulize chama chao cha siasa.Ngoja nimuulize kocha Aymel.
Kamuulize Rage Yuko hapo karibu TaboraNgoja nimuulize kocha Aymel.
Tabora na huku Suruti,Namtumbo wapi na wapi? Aymel atanijibu tu kuhusu manyani!Kamuulize Rage Yuko hapo karibu Tabora
Sio kwamba atakujibu kuhusu umbumumbu wako aliousema Rage?Tabora na huku Suruti,Namtumbo wapi na wapi? Aymel atanijibu tu kuhusu manyani!
Kwa ufahamu wako "kasarobo" unaona mtu akisema tu jambo ndiyo linakuwa hivyohivyo bila uhalisia kama mazingaombwe? Ndiyo maana Hersi hapendi maongezi na wala mihogo.Sio kwamba atakujibu kuhusu umbumumbu wako aliousema Rage?
Sasa si usubili uhalisia,,bado naitafakari IQ yako Ina kiwango Gani!Kwa ufahamu wako "kasarobo" unaona mtu akisema tu jambo ndiyo linakuwa hivyohivyo bila uhalisia kama mazingaombwe? Ndiyo maana Hersi hapendi maongezi na wala mihogo.
Ukishiba mihogo na supu ya punda kibudu ndiyo utajua uchizi fresh wangu niliupataje hadi nikatunukiwa shuka jeupe limeandikwa AFYA pale chuoni Milembe.Sasa si usubili uhalisia,,bado naitafakari IQ yako Ina kiwango Gani!
ndo kuhangaika huko mngepiga kimya na nyie kama haijawaumaAkuna anayeangaika na upuuzi kama ule zaidi ya kuwaeleza kuwa mnachofanya ni sawa na kujitekenya wenyewe
😂Kwamba Simba kutotokea kwenye press ni jambo linaloweza kuwatoa yanga mchezoni?