Mbona povuKwamba Simba kutotokea kwenye press ni jambo linaloweza kuwatoa yanga mchezoni?
Kwamba Simba kutotokea kwenye press ndio wanawaaminisha mashabiki wao awapeleki timu uwanjani?
Hiki ni kisa cha yule bwana aliyesikika akisema Mimi situmii samaki lakini mchuzi wa samaki nakunywa!
Unashindwa kutokea kwenye press lakini kucheza unacheza sasa hapo inakuwa umemkomoa nani?
Zaidi ya kujikomoa mwenyewe maana mashabiki wako watakuwa wachache uwanjani wa kukupa sapoti!
Na bado utakuwa umelipishwa faini inakuwa umemkomoa yanga ama umejikomoa?
Yanga uwezi kuwatoa mchezoni kwa drama za watoto wa chekechea kama hizi kwamba na wewe uonekane umefanya jambo la msimamo wakati mechi unachezaπ€£π€£π€£
Wenzenu mechi awakucheza na trh ikapangwa mpya Leo hii wewe unagomea press lakini mechi unacheza ni kituko cha Karneπ€£π€£
Sio povu ni hoja zilizonyooka,,kama umegomea press basi na mechi usicheze tuone kama wewe ni mwanaume!Umetoa povu hadi inakukaba koo
Kugomea press ndio msimamo huo? Kama mnajiweza msimike kutocheza kama wenzenu tuone sio vidrama vya kitoto ivyo eti mapato,,sasa mapato tiyali kuna waliokwisha lipia tiketi zao za Ncard kipindi kile mechi imeahirishwa bado pesa inasoma na idadi yao hapo mashabiki ni nyongeza tu kwenye mapato ya mechi iliyopita sasa mnamkomoa nani?Mbona povu
Timu yenye msimamo ni Yanga tuSio povu ni hoja zilizonyooka,,kama umegomea press basi na mechi usicheze tuone kama wewe ni mwanaume!
Kama yanga walitumia mbinu ya kugoma tarehe 15 na kutumia viongozi wa kisiasa waswahili jk &his company na kumshawishi mlipa Kodi mkubwa nae awepo kwenye kikao Ili kuongeza uzito wa hoja Kwa nini simba iwe dhambi kutumia japo passive reaction kama hiyo Ili mamlaka zijue kuwa simba hawakubaliani na maamuzi ya serikali kuingilia mambo ya mchezo? Mechi watacheza ila hizo ni salaam Kwa watawala majuhaKugomea press ndio msimamo huo? Kama mnajiweza msimike kutocheza kama wenzenu tuone sio vidrama vya kitoto ivyo eti mapato,,sasa mapato tiyali kuna waliokwisha lipia tiketi zao za Ncard kipindi kile mechi imeahirishwa bado pesa inasoma na idadi yao hapo mashabiki ni nyongeza tu kwenye mapato ya mechi iliyopita sasa mnamkomoa nani?
Naomba kurekebishwaKugomea press ndio msimamo huo? Kama mnajiweza msimike kutocheza kama wenzenu tuone sio vidrama vya kitoto ivyo eti mapato,,sasa mapato tiyali kuna waliokwisha lipia tiketi zao za Ncard kipindi kile mechi imeahirishwa bado pesa inasoma na idadi yao hapo mashabiki ni nyongeza tu kwenye mapato ya mechi iliyopita sasa mnamkomoa nani?
Salam za kiboya ivyo nazo ni Salam? Ukisusia press ndio inakuongezea nini au kupunguza nini kwenye derby?Kama yanga walitumia mbinu ya kugoma tarehe 15 na kutumia viongozi wa kisiasa waswahili jk &his company na kumshawishi mlipa Kodi mkubwa nae awepo kwenye kikao Ili kuongeza uzito wa hoja Kwa nini simba iwe dhambi kutumia japo passive reaction kama hiyo Ili mamlaka zijue kuwa simba hawakubaliani na maamuzi ya serikali kuingilia mambo ya mchezo? Mechi watacheza ila hizo ni salaam Kwa watawala majuha
Mapato yote ni kwa timu mwenyeji ndio maana unaona wanajifanya eti wanasusa press kupunguza mapato ya yanga wamesahau tiyali kuna tiketi zile za Ncard za mechi iliyopita bado zinasomaNaomba kurekebishwa
Kwani Simba anapata mapato yoyote kwenye mechi ambayo yanga ndo timu mwenyeji?
Watu ni ******* sana..jitu Zima na pumbu zake liko busy na mambo ya Simba na yanga..haya mambo yanatuchelewesha sana..na mbogamboga ndio mambo wanayoyataka.Timu za ccm hizo acheni kuzifatilia ili zijifie kifo cha Asili.