Mind game za kishamba na utoto sijui zinaweza kumuathiri nani!

Mashabiki zao wengi bado wana ile dhana ya kutocheza, sasa ili wasiwachanganye basi ndio wanachezea kanyambazongo kama hivyo ila mwisho wa siku game inapigwa.
 
Naona umeandika Kwa uchungu sana

Pilipili usioila inakwashani?
 
Watu ni ******* sana..jitu Zima na pumbu zake liko busy na mambo ya Simba na yanga..haya mambo yanatuchelewesha sana..na mbogamboga ndio mambo wanayoyataka.
Jitu lenye akili na pumbu zake linaamini kuwa kila mtu anawaza mano noo ya *******, halijui kuwa kila mtu anao uhuru wa kuwazia kule anakopata furaha!
Majitu mengne mliosoma na mna akili bhana mnachekesha sana
 
Sio kwamba atakujibu kuhusu umbumumbu wako aliousema Rage?
Kwa ufahamu wako "kasarobo" unaona mtu akisema tu jambo ndiyo linakuwa hivyohivyo bila uhalisia kama mazingaombwe? Ndiyo maana Hersi hapendi maongezi na wala mihogo.
 
Kwa ufahamu wako "kasarobo" unaona mtu akisema tu jambo ndiyo linakuwa hivyohivyo bila uhalisia kama mazingaombwe? Ndiyo maana Hersi hapendi maongezi na wala mihogo.
Sasa si usubili uhalisia,,bado naitafakari IQ yako Ina kiwango Gani!
 
Sasa si usubili uhalisia,,bado naitafakari IQ yako Ina kiwango Gani!
Ukishiba mihogo na supu ya punda kibudu ndiyo utajua uchizi fresh wangu niliupataje hadi nikatunukiwa shuka jeupe limeandikwa AFYA pale chuoni Milembe.
 
😂
Itatuchukua muda mrefu kuufikia uchumi wa kati kwa namna hii ya kuwaza
 
Ila huyu Ahmed Ally ni nyoko kabisa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…