Mind Illusion Projection: Jinsi ya kuidanganya mind ione vitu visivyo halisi kua ni halisi

Mpaka uwe na jina mjini ndio unaweza kupata hizo more credit. I'm nobody here
Mwenye kujua kila siku inayokucha anajiona hajui iliendelee kujifunza zaidi na kujua zaidi.

I know why you don't like that credit. Because you understand and fear the power of Ego inside us.
Because Ego Sucks Us Down Like The Law of Gravity Everyday.
 
Mwenye kujua kila siku inayokucha anajiona hajui iliendelee kujifunza zaidi na kujua zaidi.

I know why don't like that credit. Because you understand and fear the power of Ego inside us.
Because Ego Sucks Us Down Like The Law of Gravity.
Splendid...
Let nature take the wheel, if we're destined such credit and recognition it will do its course.
Let see what the will offe to us.🙏
 
Elaborate please i think i need to know more about this.
Mkuu kwenye chanzo cha uwepo wa maisha mind and Matter meet. Fikra unazaofikiri ndio zinazounda uhalisia, Kidogo hii ni mada ngumu maana inajumuisha Neurology na Spiritual. Wanafalsafa na wanasayansi wanaArgue kua what's Real??? mambo tunayoyaona yapo au hayapo si halisi kwa kutumia mfano wa pua. Ukijiangalia uso wako bila kutumia kioo huwezi kuliona pua. Sio kwamba pua halipo bali Brain yako ina Ignore hilo pua lako ili lisikuziwie kua vizuri. Sasa hapo ndio utaona kwamba ubongo unatufanya tuone kwamba relity yetu hatuna pua usoni kumbe pua lipo.
 
Duh hii mada kweli ngumu.
 
1.Ndio
2.Ndio
3.Ndio
4.Ndio,kwa kuwa project illusions ziko katika millions of dimensions au sivyo Da'Vinci ?
 
nilikuwa sinaiona hii ngoja nitulie nisome mzee endelea kushusha nondo sharing is caring
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…