Mining Indaba Capetown, Kenya wasio na madini wana banda, Tanzania wenye madini hawana banda

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
18,875
Reaction score
29,427
Screenshot_20260210_074049_Chrome.jpg

Mkutano wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Afrika (Mining Indaba) ni tukio kubwa zaidi duniani la uwekezaji wa madini barani Afrika, linalofanyika kila mwaka katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Cape Town (CTICC) nchini Afrika Kusini.

Tukio la Sasa:
Mining Indaba 2026
Tarehe: Februari 9–12, 2026.
Maudhui: "Imara pamoja: Maendeleo kupitia ushirikiano".

Zaidi ya wajumbe 10,500, wakiwemo wawekezaji wa kimataifa zaidi ya 1,300 na maafisa wa serikali zaidi ya 1,400. Mazungumzo yamejikita katika madini muhimu (critical minerals), uendelevu, na ushirikiano wa kikanda ili kuvutia mitaji ya muda mrefu.
Washiriki wa ngazi ya juu ni pamoja na Waziri wa Afrika Kusini Gwede Mantashe na Rais wa Zambia Hakainde Hichilema.

Ajabu, delegation ya Tanzania ina Waziri, makatibu wakuu na maofisa wengine lakini hawana PAVILION. On the contrary Kenya ambayo haina madini inalo banda la maonyesho
 
Stuxnet nafatilia nyuzi zako upo vizuri big up.. ni kweli unachosema yupo jamaa ana migodi chunya kaenda huko kuona wenzetu wanafanyeje yeye alipewa taarifa na mwaliko kutoka HUD wasambazaji wa vifaa vya Mgodini...
 
Halafu imagine Wakenya ambao hawana madini wameweka pavilion yao.

Halafu wakaitangaza wanauza Tanzanite tunaanza kung'aka kusema wana wivu, hawatupendi!! Kumbe ujinga ni wa kwetu
 
View attachment 3541912

Mkutano wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Afrika (Mining Indaba) ni tukio kubwa zaidi duniani la uwekezaji wa madini barani Afrika, linalofanyika kila mwaka katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Cape Town (CTICC) nchini Afrika Kusini.

Tukio la Sasa:
Mining Indaba 2026
Tarehe: Februari 9–12, 2026.
Maudhui: "Imara pamoja: Maendeleo kupitia ushirikiano".

Zaidi ya wajumbe 10,500, wakiwemo wawekezaji wa kimataifa zaidi ya 1,300 na maafisa wa serikali zaidi ya 1,400. Mazungumzo yamejikita katika madini muhimu (critical minerals), uendelevu, na ushirikiano wa kikanda ili kuvutia mitaji ya muda mrefu.
Washiriki wa ngazi ya juu ni pamoja na Waziri wa Afrika Kusini Gwede Mantashe na Rais wa Zambia Hakainde Hichilema.

Ajabu, delegation ya Tanzania ina Waziri, makatibu wakuu na maofisa wengine lakini hawana PAVILION. On the contrary Kenya ambayo haina madini inalo banda la maonyesho
Mnpenda sana kusikiliza stori za uongo za Wakenya.

Aliyewaambia Kenya hakuna madini ni nani?

Yaani Tanzania kuwe na madini, Tarime halafu Kenya upande huo Migori kusiwe na madini???
 
Kuna trip ya Canada mwezi huu nafikiri FEMATA akili yao wamefocus huko.
 
Stuxnet nafatilia nyuzi zako upo vizuri big up.. ni kweli unachosema yupo jamaa ana migodi chunya kaenda huko kuona wenzetu wanafanyeje yeye alipewa taarifa na mwaliko kutoka HUD wasambazaji wa vifaa vya Mgodini...
Sasa mm babu yangu miaka ya 50,60 alifanya sana kazi hapo saza mine chunya ukiona picha mandhari ya mgodi ilivyokuwaga wakati huo
Ulikuwa kila kitu madhubuti
Kulikuwa na mahospital,shule nk
Huduma nyingi zilikuwepo
Mwadui napo ilikuwa kama ulaya ndogo
Tulipokuja kuchukua sisi sasa kila kitu tuliharibu
Ok ngoja wakajifunze labda kuna jambo watajifunza huko

Ova
 
Mnpenda sana kusikiliza stori za uongo za Wakenya.

Aliyewaambia Kenya hakuna madini ni nani?

Yaani Tanzania kuwe na madini, Tarime halafu Kenya upande huo Migori kusiwe na madini???
Madini yanayopatikana Kenya

🪙 Madini ya chuma & metali
Dhahabu – Migori (Macalder), Kakamega
Shaba (Copper) – Migori
Chuma (Iron ore) – Taita Taveta
Manganese – Kilifi, Taita Taveta

💎 Madini ya vito (gemstones)
Ruby – Baringo
Tsavorite (aina ya garnet) – Taita Taveta (maarufu duniani)
Sapphire – maeneo ya Kaskazini
Tourmaline – maeneo mbalimbali

🏗️ Madini ya viwandani
Titanium (ilmenite, rutile, zircon) – Kwale (mradi mkubwa sana)
Chokaa (Limestone) – Saruji (Athi River, Kitui)
Soda ash – Ziwa Magadi
Salt (Chumvi) – Pwani
Gypsum – Garissa, Kitui

⚡ Madini/rasilimali za nishati
Makaa ya mawe – Kitui (Lamu Basin)
Rare earths & niobium – Mradi wa Mrima Hill, Kwale
 
Wanafikiri tz pekee ndiyo kuna madini

Ova
 
Back
Top Bottom