Mining Indaba Capetown, Kenya wasio na madini wana banda, Tanzania wenye madini hawana banda

Mining Indaba Capetown, Kenya wasio na madini wana banda, Tanzania wenye madini hawana banda

Halafu imagine Wakenya ambao hawana madini wameweka pavilion yao.

Halafu wakaitangaza wanauza Tanzanite tunaanza kung'aka kusema wana wivu, hawatupendi!! Kumbe ujinga ni wa kwetu
Tanzania mpaka kati ya kima na mtu ni mkia tu. The rest wanafanana kila kitu mpaka arguments, hii nchi sio bure kuna namnq tu
 
View attachment 3541912

Mkutano wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Afrika (Mining Indaba) ni tukio kubwa zaidi duniani la uwekezaji wa madini barani Afrika, linalofanyika kila mwaka katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Cape Town (CTICC) nchini Afrika Kusini.

Tukio la Sasa:
Mining Indaba 2026
Tarehe: Februari 9–12, 2026.
Maudhui: "Imara pamoja: Maendeleo kupitia ushirikiano".

Zaidi ya wajumbe 10,500, wakiwemo wawekezaji wa kimataifa zaidi ya 1,300 na maafisa wa serikali zaidi ya 1,400. Mazungumzo yamejikita katika madini muhimu (critical minerals), uendelevu, na ushirikiano wa kikanda ili kuvutia mitaji ya muda mrefu.
Washiriki wa ngazi ya juu ni pamoja na Waziri wa Afrika Kusini Gwede Mantashe na Rais wa Zambia Hakainde Hichilema.

Ajabu, delegation ya Tanzania ina Waziri, makatibu wakuu na maofisa wengine lakini hawana PAVILION. On the contrary Kenya ambayo haina madini inalo banda la maonyesho
Mtawala wenu ana D moja ya Kiswahili na masomo yaliyobaki yote alipata F, division zero iliyotukuka pia ni bingwa wa mipasho na mke mdogo(wa tatu) wa mtu so obviously you can relate that to whatever is happening in Kaapstad.
 
Umesema Kenya hawana Madini?

Kenya wasio na madini wana banda

Umesema hivyo unakataa?
Madini yao ni kiduchu, imagine mchango wa mapato madini kwenye GDP ya Kenya ni less than 0.8%.

Sijui kama unanielewa
 
Back
Top Bottom