AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Good, wewe umejuaje Kenya haina Madini unaijua Kenya kuliko Kenya yenyewe? Punguzeni basiOn the contrary Kenya ambayo haina madini inalo banda la maonyesho
Good, wewe umejuaje Kenya haina Madini unaijua Kenya kuliko Kenya yenyewe? Punguzeni basiOn the contrary Kenya ambayo haina madini inalo banda la maonyesho
Hii ni mbaya sana hii, na inabidi ipigwe vita ni sawa hili fukuto la Bima linalochekelewa sasa likishika moto watu watatafuta kwa kujifichaPropaganda za CCM zimetukolea kweli kweli. Wamewaaminisha watanzania sisi pekee ndiyo tuna madini ili ile dhana yao ya uongo kuwa "tunaonewa wivu" ionekane ina mashiko!
Kenya inatuzidi kwa madini ya viwandani.Good, wewe umejuaje Kenya haina Madini unaijua Kenya kuliko Kenya yenyewe? Punguzeni basi
Baringo wana tourmaline nzuri sanaHuwa wanafikiri Marekani nayo haina madini wala Mafuta.
Ndio yanakuaje hayo madini ya viwandani ni nini? Fafanua vizuri hapo mkuu usiniambie ni marblesKenya inatuzidi kwa madini ya viwandani.
Umesoma post #15?Ndio yanakuaje hayo madini ya viwandani ni nini? Fafanua vizuri hapo mkuu usiniambie ni marbles
Stuxnet leo umeumbuka vibaya ukija tena ficha sura yakoMnpenda sana kusikiliza stori za uongo za Wakenya.
Aliyewaambia Kenya hakuna madini ni nani?
Yaani Tanzania kuwe na madini, Tarime halafu Kenya upande huo Migori kusiwe na madini???
Nimesoma vizuri mkuu, shukhraniUmesoma post #15?
Najuwa hata mchanga wa kujengea nao lazima uwe na leseni ya Idara ya Madini. Kweli Kenya wanayo madini lakini je ni valuable kama Gold, Cobalt au TanzaniteMnpenda sana kusikiliza stori za uongo za Wakenya.
Aliyewaambia Kenya hakuna madini ni nani?
Yaani Tanzania kuwe na madini, Tarime halafu Kenya upande huo Migori kusiwe na madini???
Kila kikichopo Tanzania, na Kenya almost kipo.Najuwa hata mchanga wa kujengea nao lazima uwe na leseni ya Idara ya Madini. Kweli Kenya wanayo madini lakini je ni valuable kama Gold, Cobalt au Tanzanite
Na basically airport ya kwanza ilijengwa hapo piaSasa mm babu yangu miaka ya 50,60 alifanya sana kazi hapo saza mine chunya ukiona picha mandhari ya mgodi ilivyokuwaga wakati huo
Ulikuwa kila kitu madhubuti
Kulikuwa na mahospital,shule nk
Huduma nyingi zilikuwepo
Mwadui napo ilikuwa kama ulaya ndogo
Tulipokuja kuchukua sisi sasa kila kitu tuliharibu
Ok ngoja wakajifunze labda kuna jambo watajifunza huko
Ova
Hiyo ni peanut Bro!! Soma hapo chini ulinganishe na Tz:-Madini yanayopatikana Kenya
🪙 Madini ya chuma & metali
Dhahabu – Migori (Macalder), Kakamega
Shaba (Copper) – Migori
Chuma (Iron ore) – Taita Taveta
Manganese – Kilifi, Taita Taveta
💎 Madini ya vito (gemstones)
Ruby – Baringo
Tsavorite (aina ya garnet) – Taita Taveta (maarufu duniani)
Sapphire – maeneo ya Kaskazini
Tourmaline – maeneo mbalimbali
🏗️ Madini ya viwandani
Titanium (ilmenite, rutile, zircon) – Kwale (mradi mkubwa sana)
Chokaa (Limestone) – Saruji (Athi River, Kitui)
Soda ash – Ziwa Magadi
Salt (Chumvi) – Pwani
Gypsum – Garissa, Kitui
⚡ Madini/rasilimali za nishati
Makaa ya mawe – Kitui (Lamu Basin)
Rare earths & niobium – Mradi wa Mrima Hill, Kwale