Halafu imagine Wakenya ambao hawana madini wameweka pavilion yao.Stuxnet nafatilia nyuzi zako upo vizuri big up.. ni kweli unachosema yupo jamaa ana migodi chunya kaenda huko kuona wenzetu wanafanyeje yeye alipewa taarifa na mwaliko kutoka HUD wasambazaji wa vifaa vya Mgodini...
Mnpenda sana kusikiliza stori za uongo za Wakenya.View attachment 3541912
Mkutano wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Afrika (Mining Indaba) ni tukio kubwa zaidi duniani la uwekezaji wa madini barani Afrika, linalofanyika kila mwaka katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Cape Town (CTICC) nchini Afrika Kusini.
Tukio la Sasa: Mining Indaba 2026
Tarehe: Februari 9β12, 2026.
Maudhui: "Imara pamoja: Maendeleo kupitia ushirikiano".
Zaidi ya wajumbe 10,500, wakiwemo wawekezaji wa kimataifa zaidi ya 1,300 na maafisa wa serikali zaidi ya 1,400. Mazungumzo yamejikita katika madini muhimu (critical minerals), uendelevu, na ushirikiano wa kikanda ili kuvutia mitaji ya muda mrefu.
Washiriki wa ngazi ya juu ni pamoja na Waziri wa Afrika Kusini Gwede Mantashe na Rais wa Zambia Hakainde Hichilema.
Ajabu, delegation ya Tanzania ina Waziri, makatibu wakuu na maofisa wengine lakini hawana PAVILION. On the contrary Kenya ambayo haina madini inalo banda la maonyesho
Kuna trip ya Canada mwezi huu nafikiri FEMATA akili yao wamefocus huko.View attachment 3541912
Mkutano wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Afrika (Mining Indaba) ni tukio kubwa zaidi duniani la uwekezaji wa madini barani Afrika, linalofanyika kila mwaka katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Cape Town (CTICC) nchini Afrika Kusini.
Tukio la Sasa: Mining Indaba 2026
Tarehe: Februari 9β12, 2026.
Maudhui: "Imara pamoja: Maendeleo kupitia ushirikiano".
Zaidi ya wajumbe 10,500, wakiwemo wawekezaji wa kimataifa zaidi ya 1,300 na maafisa wa serikali zaidi ya 1,400. Mazungumzo yamejikita katika madini muhimu (critical minerals), uendelevu, na ushirikiano wa kikanda ili kuvutia mitaji ya muda mrefu.
Washiriki wa ngazi ya juu ni pamoja na Waziri wa Afrika Kusini Gwede Mantashe na Rais wa Zambia Hakainde Hichilema.
Ajabu, delegation ya Tanzania ina Waziri, makatibu wakuu na maofisa wengine lakini hawana PAVILION. On the contrary Kenya ambayo haina madini inalo banda la maonyesho
Sasa mm babu yangu miaka ya 50,60 alifanya sana kazi hapo saza mine chunya ukiona picha mandhari ya mgodi ilivyokuwaga wakati huoStuxnet nafatilia nyuzi zako upo vizuri big up.. ni kweli unachosema yupo jamaa ana migodi chunya kaenda huko kuona wenzetu wanafanyeje yeye alipewa taarifa na mwaliko kutoka HUD wasambazaji wa vifaa vya Mgodini...
Mwamba longtime heri ya mwaka mpyaKuna trip ya Canada mwezi huu nafikiri FEMATA akili yao wamefocus huko.
WanayoMnpenda sana kusikiliza stori za uongo za Wakenya.
Aliyewaambia Kenya hakuna madini ni nani?
Yaani Tanzania kuwe na madini, Tarime halafu Kenya upande huo Migori kusiwe na madini???
Mungu mwema, JF yenyewe kuipata kwa tochi.Mwamba longtime heri ya mwaka mpya
Ova
Madini yanayopatikana KenyaMnpenda sana kusikiliza stori za uongo za Wakenya.
Aliyewaambia Kenya hakuna madini ni nani?
Yaani Tanzania kuwe na madini, Tarime halafu Kenya upande huo Migori kusiwe na madini???
Kabisa inakata stimuMungu mwema, JF yenyewe kuipata kwa tochi.
Wanafikiri tz pekee ndiyo kuna madiniMadini yanayopatikana Kenya
πͺ Madini ya chuma & metali
Dhahabu β Migori (Macalder), Kakamega
Shaba (Copper) β Migori
Chuma (Iron ore) β Taita Taveta
Manganese β Kilifi, Taita Taveta
π Madini ya vito (gemstones)
Ruby β Baringo
Tsavorite (aina ya garnet) β Taita Taveta (maarufu duniani)
Sapphire β maeneo ya Kaskazini
Tourmaline β maeneo mbalimbali
ποΈ Madini ya viwandani
Titanium (ilmenite, rutile, zircon) β Kwale (mradi mkubwa sana)
Chokaa (Limestone) β Saruji (Athi River, Kitui)
Soda ash β Ziwa Magadi
Salt (Chumvi) β Pwani
Gypsum β Garissa, Kitui
β‘ Madini/rasilimali za nishati
Makaa ya mawe β Kitui (Lamu Basin)
Rare earths & niobium β Mradi wa Mrima Hill, Kwale
Kabisa inakata stimu
Mtu unaingia kwa kuchungulia
Ova
Propaganda za CCM zimetukolea kweli kweli. Wamewaaminisha watanzania sisi pekee ndiyo tuna madini ili ile dhana yao ya uongo kuwa "tunaonewa wivu" ionekane ina mashiko!Wanafikiri tz pekee ndiyo kuna madini
Ova
Huwa wanafikiri Marekani nayo haina madini wala Mafuta.Wanafikiri tz pekee ndiyo kuna madini
Ova