Minong’ono inazagaa, wanataka kumkamata, kasi yake imewashtua!

Kutoka jijini Montevideo, minong’ono imeanza kusambaa kwa kasi, anawanyima raha. Mwanzo walidhani anatania tu, ila nyomi anayoipata inawatisha.

Wanataka kumkamata wampe kesi. Mwambieni achukue tahadhari…
Ndicho anachotaka ili mumpeleke katika unga wake anaotaka muende. Sasa mle akawakanyage vizur
 
Kutoka jijini Montevideo, minong’ono imeanza kusambaa kwa kasi, anawanyima raha. Mwanzo walidhani anatania tu, ila nyomi anayoipata inawatisha.

Wanataka kumkamata wampe kesi. Mwambieni achukue tahadhari…
Hakuna mwenye shida na huyo roporopo.
Akifanikiwa kukimbia uchaguzi atapewa bil 3 akale bata Rwanda.
 
Back
Top Bottom