Minong’ono inazagaa, wanataka kumkamata, kasi yake imewashtua!

Siasa za Uchumia tumbo
wanatufanya sisi wajinga . Tuliwachangia pesa walipoweka jela leo wanatuambia tone tone haitoshi?
wengine wanasema tume ya uchaguzi inafaa kwasababu imeshawafanya wengine wawe wabunge ? kwahiyo kwasababu MAGUFULI alichaguliwa na kutangazwa kuwa raisi kwa kupitia tume hii ya uchaguzi basi ule uchaguzi wake wa 2020 ulikuwa huru na wa haaaaaki?
mwita huyu alisoma wapi?
 
Wanatapa tapa tu
 
a
Wanatapa tapa tu
ati kuwa mtangaza nia unakuwa sawa na viongozi waliochaguliwa wanaosimamia maamuzi halali ya vikao? kuna yule jamaa wa kigamboni anayeuza VITABU. Yeye hujidai ana machungu na CHADEMA kuliko watz wote? ati hataki siasa za kiharakatii
 
Tumia akili badala ya makalio, mkizuiwa mnalalamika mnaonewa, mkiruhusiwa eti mnaogopwa, mnaumwa nini nyie nyumbu? Samia ndiyo karuhusu hiyo mikutano na maandamano bd mko km mazuzu. Vepe nyie mapoyoyo? Mbn hamweleweki mnataka nini?
Wewe ndio poyoyo, huna unachokielewa. Go and educate yourself
 
Ni sawa unachokisema,,lakini ujue kuna tofauti yaraia wa TANZANIA na wenzetu waafrika wengine,,,raia wa tanzania wanajali sana mahitaji ya familia zao,mean,watanzania wengi ata kama mjini kapanga lakini lazima kijini ana shamba tofauti na nchi mfano KENYA,KENYA kumiliki ardhi ni sawa na mwokota makopo wa TZ amiliki SMART PHONE,,,nimeamua kubana mfano kwa kutumia tanzania na kenya,ili nisitawanye mawazo yako yasinielewe,,ok,,,narudia tena,,,NYERERE alipata kusema ARDHI ni kipimo CHA utu,,,sasa basi mfano ukifika NAIROBI ukaenda maeneo ya mabatini au kibira unaweza kufikiri ni kambi ya wakimbizi kumbe ni raia,,wana vijibanda vya makaratasi vidogovigo yaani anaingia kainama,n a alnalala kakunja miguu,,,,hali hii si kwamba tanzania haipo,,ipo ila ni kwa wa2 wachache sana tena kwa kujitakia,wanaacha mashambayao mikoani na kuja kuwa ombaomba mjini,,,sasa basi,,,,,,kwa mzani huo RAIA wa KENYA wakianzisha BALAA hawaoni cha kupoteza wala hawaogopi KUFA!!!! tofauti na sisi,,,,,ivi unajua KENYA kula milo m3 ni issue!! na chakula ghali mno!!!!!
Acha habari zako wewe tanzania Kuna watu wanaishi maisha ya kifukara kuzidi hata hao wa Kenya kibera hivi umezunguka mikoa yote ukaona mtanzania anavyoishi maisha ya sawa na maiti aisee usinongee vitu juujuu tu watanzania Wanamaisha ya kilofa sana na hii tanzania yenyewe kupata ardhi yenye mahitaji ya binadamu ni gharama pia sio Rahisi
 
Nasikiliza hotuba ya Mh. Damasi ndumbaro, waziri wa Sheria yupo Tanga. Ni kama sheikh au mchungaji au padri anahubiri.

Jaribuni kusikiliza tbc, simuelewi kabisa
 
Ni sawa unachokisema,,lakini ujue kuna tofauti yaraia wa TANZANIA na wenzetu waafrika wengine,,,raia wa tanzania wanajali sana mahitaji ya familia zao,mean,watanzania wengi ata kama mjini kapanga lakini lazima kijini ana shamba tofauti na nchi mfano KENYA,KENYA kumiliki ardhi ni sawa na mwokota makopo wa TZ amiliki SMART PHONE,,,nimeamua kubana mfano kwa kutumia tanzania na kenya,ili nisitawanye mawazo yako yasinielewe,,ok,,,narudia tena,,,NYERERE alipata kusema ARDHI ni kipimo CHA utu,,,sasa basi mfano ukifika NAIROBI ukaenda maeneo ya mabatini au kibira unaweza kufikiri ni kambi ya wakimbizi kumbe ni raia,,wana vijibanda vya makaratasi vidogovigo yaani anaingia kainama,n a alnalala kakunja miguu,,,,hali hii si kwamba tanzania haipo,,ipo ila ni kwa wa2 wachache sana tena kwa kujitakia,wanaacha mashambayao mikoani na kuja kuwa ombaomba mjini,,,sasa basi,,,,,,kwa mzani huo RAIA wa KENYA wakianzisha BALAA hawaoni cha kupoteza wala hawaogopi KUFA!!!! tofauti na sisi,,,,,ivi unajua KENYA kula milo m3 ni issue!! na chakula ghali mno!!!!!
Hali ya kukata tamaa kwa wakenya wanaoishi kwa Mfano Kibera ni sawa na kukata tamaa kwa vijana wengi nchini ambao hawana ajira in spite of their education! Hawa wanao tembea na vyeti kutwa barabarani kusaka ajira,ukiwaunganisha na wamachinga toka huko vijijini ni time bomb ambalo likilipuka litaondoka na wengi!
Ccm Inajaribu kuwa pumba za na Yanga vs simba, betting na wana muziki lakini hawa vijana wametambua kuwa ccm Inawatumia tu wakati wa uchaguzi baada ya hapo wanawasahau hivyo sio rahisi kuwapumbaza tena after all they have nothing to lose.
 
Kweli lissu ndio wa kumfanya mtu avue ushungi kwa joto.kali linalompata
 
Magufuli alimshinda Lissu katika Uchaguzi in a free and fair election,baada ya kuwajengea wananchi flyover.
Sasa Lissu anasema Magufuli ameiba kura,amemuibia kura Tundu Lissu..
Hatuwezi kukubali Magufuli,of Blessed Memory,akashifiwe na huyu mtu.
Please note,Lissu is very careful not to mention Magufuli.
Anasema tu 2020 Uchaguzi haukwenda vizuri .
Please not kwamba mpaka hivi sasa Rais hajasema kwamba anaruhusu Kampeni za kuzuia Uchaguzi.
Jaji Mkuu hajatamka kwamba Tundu Lissu ana ruhusa ya kuzuia Uchaguzi.
IGP yuko kimya.
Waziri wa Sheria na Katiba hajasema kitu.
Waziri wa Sheria yuko kimya.
Kwa maana hiyo,kesho asubuhi Tundu Lissu anaweza kuambiwa mikutano yako,sasa basi.
Halafu MOST IMPORTANT,Tundu Lissu anaongea uongozi, deceiving the good people of Tanzania.
Wiki chache kabla ya Uchaguzi wa 2020 Polisi walivamia makazi ya viongozi wa Upinzani kufanya upekuzi,wakabeba madokumenti,ma laptop, ilikuwa kwa ajili ya habari za kiintelijentsia walizopata.
Baada ya hapo ndio ikayokea debacle ya 2020 elections.
Sasa hivi,mazingara ya pale mwanzo hayapo.
Uchaguzi wa 2025 utakuwa salama.
 
Ukiwa mnufaika wa pesa za gavoo hapo kwenu butiama na msasani huwezi jua uchungu wowote tuupatao sisi wananchi wa kawaida.

Lissu aendelee kukoleza moto
 
Back
Top Bottom