Na ata wakanyaga vyediii.Ndicho anachotaka ili mumpeleke katika unga wake anaotaka muende. Sasa mle akawakanyage vizur
M.kiti mbuyu,ilikuwa geresha,ila yake iwapo kweli hata kuwa na ahueni kwayo,hivyo badala ya kuishi kwa hofu juu yake na kuanza tena zile kesi za kubambika wasikilize mahitaji ya kweli ya Watanzania kwani yeye ni mjumbe tuu,na mjumbe hauwawi.Kutoka jijini Montevideo, minong’ono imeanza kusambaa kwa kasi, anawanyima raha. Mwanzo walidhani anatania tu, ila nyomi anayoipata inawatisha.
Wanataka kumkamata wampe kesi. Mwambieni achukue tahadhari…
Hujafa hujaumbika kaka ....Acha propaganda za kishamba, serikali haina muda na huyo kilema, huyo bosi wenu ana sonona
Msichojua na yeye ni mccm, anawazuga nyie na wazungu kwa demokrasia feki,
Mpinzani wa kweli bado hayupo
Magufuli alimshinda Lissu katika Uchaguzi in a free and fair election,baada ya kuwajengea wananchi flyover.
Sasa Lissu anasema Magufuli ameiba kura,amemuibia kura Tundu Lissu..
Hatuwezi kukubali Magufuli,of Blessed Memory,akashifiwe na huyu mtu.
Please note,Lissu is very careful not to mention Magufuli.
Anasema tu 2020 Uchaguzi haukwenda vizuri .
Please not kwamba mpaka hivi sasa Rais hajasema kwamba anaruhusu Kampeni za kuzuia Uchaguzi.
Jaji Mkuu hajatamka kwamba Tundu Lissu ana ruhusa ya kuzuia Uchaguzi.
IGP yuko kimya.
Waziri wa Sheria na Katiba hajasema kitu.
Waziri wa Sheria yuko kimya.
Kwa maana hiyo,kesho asubuhi Tundu Lissu anaweza kuambiwa mikutano yako,sasa basi.
Halafu MOST IMPORTANT,Tundu Lissu anaongea uongozi, deceiving the good people of Tanzania.
Wiki chache kabla ya Uchaguzi wa 2020 Polisi walivamia makazi ya viongozi wa Upinzani kufanya upekuzi,wakabeba madokumenti,ma laptop, ilikuwa kwa ajili ya habari za kiintelijentsia walizopata.
Baada ya hapo ndio ikayokea debacle ya 2020 elections.
Sasa hivi,mazingara ya pale mwanzo hayapo.
Uchaguzi wa 2025 utakuwa salama.
Rudia tena kuandikaTayari mmeanza wajuaji wa jamii forum
Rudia tena nini Kuna mtu ambae alikua hajui kama lissu atakamatwa mda wowote Kwa anachokifanyaRudia tena kuandika
Akili hawanaHakuna kitu wanakiogopa saivi kama Public/Citizen Rage. Hawawezi kumfanya kitu. Chochote watakachokifanya ndo kitawaleta watu barabarani sasa.
Hivi huko shuleni ulienda somea ujinga?!!Hilo linafahamika.
Ukiwa msemaji sana unajisahau unapoteza pointi
Msamehe yupo period tangu juziHivi huko shuleni ulienda somea ujinga?!!
Mtu wa system!Ulikuwa sahihi