Minong’ono inazagaa, wanataka kumkamata, kasi yake imewashtua!

Minong’ono inazagaa, wanataka kumkamata, kasi yake imewashtua!

Kama hamkumuelewa huyu bwana bila shaka mtamuelewa kwa matukio haya mawili.
 

Attachments

  • 1744282187773.jpg
    1744282187773.jpg
    92.4 KB · Views: 19
True.....zile spana ndugu yangu let us be fair ungekuwa wewe ndio ccm wnanchi wanakukacha wanakimbilia mwinginee. Ungefanyaje? Unabii unatimia
Hapo ndio nilikua nawaambia hao kwamba hakuna Cha utabiri wowote hapa kwani lissu ilijulikana tu atakamatwa ataachiwa akianza tena watamkamata kama kawaida maana hakuna wa kumkingia kifua lissu asikamatwe hizo ndio nchi za kiafrica polisi na viongozi kuwa mungu watu
 
Back
Top Bottom