Minong’ono inazagaa, wanataka kumkamata, kasi yake imewashtua!

Hali ya kukata tamaa kwa wakenya wanaoishi kwa Mfano Kibera ni sawa na kukata tamaa kwa vijana wengi nchini ambao hawana ajira in spite of their education! Hawa wanao tembea na vyeti kutwa barabarani kusaka ajira,ukiwaunganisha na wamachinga toka huko vijijini ni time bomb ambalo likilipuka litaondoka na wengi!
Ccm Inajaribu kuwa pumba za na Yanga vs simba, betting na wana muziki lakini hawa vijana wametambua kuwa ccm Inawatumia tu wakati wa uchaguzi baada ya hapo wanawasahau hivyo sio rahisi kuwapumbaza tena after all they have nothing to lose.
Ni kweli kabisa jamaa!!!,,,
 
We Kwa akili Yako ulikua unatarajia lissu ataendelea kufanya mikutano yake bila kukamatwa aisee mitanzania akili Haina kabisa
TL alikuwa amwahakiangusha chama dola na hizi ni Kicks za Farasi.....wait and see
 
Hali ya kukata tamaa kwa wakenya wanaoishi kwa Mfano Kibera ni sawa na kukata tamaa kwa vijana wengi nchini ambao hawana ajira in spite of their education! Hawa wanao tembea na vyeti kutwa barabarani kusaka ajira,ukiwaunganisha na wamachinga toka huko vijijini ni time bomb ambalo likilipuka litaondoka na wengi!
Ccm Inajaribu kuwa pumba za na Yanga vs simba, betting na wana muziki lakini hawa vijana wametambua kuwa ccm Inawatumia tu wakati wa uchaguzi baada ya hapo wanawasahau hivyo sio rahisi kuwapumbaza tena after all they have nothing to lose.
sawa
 
Acha habari zako wewe tanzania Kuna watu wanaishi maisha ya kifukara kuzidi hata hao wa Kenya kibera hivi umezunguka mikoa yote ukaona mtanzania anavyoishi maisha ya sawa na maiti aisee usinongee vitu juujuu tu watanzania Wanamaisha ya kilofa sana na hii tanzania yenyewe kupata ardhi yenye mahitaji ya binadamu ni gharama pia sio Rahisi
sawa nimekuelewa,lakini ujue kila m2 ana haki ya kuongea anachokijua,,ninamaanisha kwenye miji mikubwa KENYA kuna haki mbaya sana ya kibinadamu,,sasa wewe unaongea kwa jazba unataka niongee unachotaka wewe,,kila m2 ana fikra zake jamaa,ukitaka niongee unachotaka wewe,labda uikate kichwa changu na wewe ukate kichwa chako alaf upachike kichwa chako kwenye shingo langu,hapo kwa hakika nitaongea unachtaka wewe,kwa tayari ntakuwa namiliki mawazo yaliyo kwenye kichwa chako!!
 
Kumbe unaongea unachotaka wewe na si uhalisia basi sawa unahaki 100% mdomo ni wako sio wangu
 
Wamemkamata
Next…
Adui wa Mtanganyika ni Mtanzania

Polisi kmmk mnajitoa ufahamu kama hii nchi sio yenu kama mmekodiwa kutoka nchi ya kufikirika.

Tunaishi nanyi Tunawajua shida hamjajui wala hamjifunzi. Siku yaja

Lissu hang in there, freedom is coming tomorrow!
You are a true son of Tanyika
 
Back
Top Bottom