Dunia ya leo kila nchi inaangalia lake,na kila nchi kwa sasa hamna demokrasia man!!,,,angalia mwenyewe pale UGANDA,namna KIIZA BESIGYE anavoteswa mpaka anagoma kula,lakini dunia haina habari nae,hapohapo UG mwangalie ROBRT CHAGULAMI mateso anayoptia,nani anaangalia??,,,,achana na m2 mmojammoja angalia vita inavoipasua CONGO,SUDAN,UKRAINE na PALESTINE,nani anaemind zaidi ya kugawana posho za kukutana kwenye mikutani ya kimataifa wakati hamna ki2 wala matokeo yoyote???,,,,MAREKANI yenyewe ilokuwa inajivunia kwa demokrasa bora leo wamekuwa MADIKTETA!! wanafukuza wageni,,,wanapndisha ushuru,TRUMP mwenyewe anataka kugombea muhula wa 3 kinyume na katiba,,,RUMP huyohuyo alikoswakoswa na risasi mara 2 ili afe aukose urasi na waliofanya ivo ni akina rais aliyepita BIDEN na washika wake akina KAMALA HARRIS,,ok, nae TRUMP baada ya kuingia IKULU akalipiza kisasi,,,kamwondolea rais wa zamani BIDEN haki zote za URAIS,kuanzia ulinzi ,posho na kila ki2,,pamoja maofisa wake wote yaani akina kamala harris!!!,,,,,.......ok,ok,ok,,nakuuliza swali,,,LISSU alipopigwa risasi kipindi ile,,,TANZANIA tulipata adhabu gani????,,,DUNIA ya leo mataifa yanaangalia watashirikiana vipi kiuchumi sio swala la demkrasia tena,,,USA amekuja kustuka CHINA anapaa kiuchumi baada ya kuweka mambo ya kidekrasia pembeni chama chao cha CHINA DEMICRATIC PARTY kipo tangu kale na ukizingua wanakuua!! angalia RWANDA wanapaa kwa sababu ya kuweka DEMOKRASIA pembeni,,,,nieleweke,,,mimi mwenyewe sipendi udikteta kwani unandamiza sana raia,na utawala unakuwa wa kiimla na wa kifamilia!!!! laikini ndo DUNIA ishabadilika man!!