Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 685
- 2,355
Ndicho anachotaka ili mumpeleke katika unga wake anaotaka muende. Sasa mle akawakanyage vizurKutoka jijini Montevideo, minong’ono imeanza kusambaa kwa kasi, anawanyima raha. Mwanzo walidhani anatania tu, ila nyomi anayoipata inawatisha.
Wanataka kumkamata wampe kesi. Mwambieni achukue tahadhari…
Twende lisu twende mkuu. Hakuna siasa za udalali tenaKutoka jijini Montevideo, minong’ono imeanza kusambaa kwa kasi, anawanyima raha. Mwanzo walidhani anatania tu, ila nyomi anayoipata inawatisha.
Wanataka kumkamata wampe kesi. Mwambieni achukue tahadhari…
Nani kasema sana? Nani kapoteza pwenti?Hilo linafahamika.
Ukiwa msemaji sana unajisahau unapoteza pointi
Kutoka jijini Montevideo, minong’ono imeanza kusambaa kwa kasi, anawanyima raha. Mwanzo walidhani anatania tu, ila nyomi anayoipata inawatisha.
Wanataka kumkamata wampe kesi. Mwambieni achukue tahadhari…
Wajaribu kumgusa kama hawajipendi!! Dunia nzima inawaangalia.Kutoka jijini Montevideo, minong’ono imeanza kusambaa kwa kasi, anawanyima raha. Mwanzo walidhani anatania tu, ila nyomi anayoipata inawatisha.
Wanataka kumkamata wampe kesi. Mwambieni achukue tahadhari…
Hakuna mwenye shida na huyo roporopo.Kutoka jijini Montevideo, minong’ono imeanza kusambaa kwa kasi, anawanyima raha. Mwanzo walidhani anatania tu, ila nyomi anayoipata inawatisha.
Wanataka kumkamata wampe kesi. Mwambieni achukue tahadhari…