Hapo ndio nilikua nawaambia hao kwamba hakuna Cha utabiri wowote hapa kwani lissu ilijulikana tu atakamatwa ataachiwa akianza tena watamkamata kama kawaida maana hakuna wa kumkingia kifua lissu asikamatwe hizo ndio nchi za kiafrica polisi na viongozi kuwa mungu watu