Minong'ono kuwa Mwamposa anatakiwa kuhama Tanganyika Packers December inazidi Kupamba Moto. Je, ina ukweli wowote?

Hahahahahahah hivi kuna sadaka ya aina hio kmmmk dah πŸ˜‚!!! Ila wanawake na hizi dini ni balaa!

Yani utoe sadaka mpaka hela ya nauli ulio nayo?
 
Dah...[emoji23]
Jamaa umeongea kwa uchungu.

Any way ngoja mabaharia wa jisebenze kwenye hizo Mbrunye za Mshua[emoji23]

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu na ww ni kada mtiifu wa pale Tanganyika Peckers panapobubujika upako? Au ni mzamiaji wa lindo la mbususu?
 
Why!? Hata kama akihama haina shida, ana vijiwe vingi tu mikoani kama pale abc mjini moshi. Ila mzaha uachwe hakuna mbususu rahisi pale ni dhihaka tu hizi.
 
Mimi nitachangia kwenye mada uloileta ,sidhani Kama serekali Ina mpango huo wa kumuamisha kwa sababu ya chuki za watu wasomtakia mema yeye na huduma yake.nadhani analipa Kodi nyingi tu na serekali haiwezi poteza mapato kwa kumfanyia hila.eneo lile ni kubwa Kama kuna miradi itakayotaka fanyika wanaweza tumia upande wowote pale
 
Wanawake wa Pale wana akili?
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜†
Aisee nimeecheeekaaaah!
Chaputa walipungua mitaani!
Chama kitarudia

Everyday is Saturday................................😎
 
Nimeandika Uhalisia ambao hata Mimi nimeushiriki na nitaendelea Kuushiri mpaka pale Wanawake wanaosali hapo watakapobadilika na kuwa na Akili Timamu kama Wanawake wa Kanisani Kwangu Katoliki au Lutherani au Anglikana ambao wanajielewa na hawana Upuuzi kama wenu hawa wa Kilokole huko sijui TAG na EAGT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…