Minong'ono kuwa Mwamposa anatakiwa kuhama Tanganyika Packers December inazidi Kupamba Moto. Je, ina ukweli wowote?

Minong'ono kuwa Mwamposa anatakiwa kuhama Tanganyika Packers December inazidi Kupamba Moto. Je, ina ukweli wowote?

Unaeleweka mistarini nini unawasilisha katika hoja yako ila unakosea kuhusisha walokole wakati pale hakuna walokole wa hivyo ni mkusanyiko wa dini kama zote
Unakataa nini na Unakubali nini? Ulikataa kipi na mbona hivi sasa Unakikubali tena?

Halafu acha Kunifundisha jinsi ya Kuwasilisha hapa Jambo au Mada sawa? Huna Mamlaka hayo na kamwe hutokuwa nayo just yangu abadan sawa?

Hivi Uwasilishaji wa Gazeti la The Citizen na la Dally News upo sawa? Maudhui ya ITV Tanzania ni sawa na ya Azam Tv? Nikikuita Mpumbavu ( Fool ) usiwe Unachukia kwani nipo sahihi na jitahidi ubadilike na utumie vyema Akili zako katika Kufikiria Kimantiki uwapo na Great Thinkers hapa JamiiiForums sawa?
 
NAAMINI UTAKUFA KABLA YA HUU MWAKA KUISHA... NAKUAHIDI
KAMA MIMI MUONGO UJE UNIJIBU HAPA 31 DECEMBER
 
Mimi nikajua unasemea wale wanawake wanao toaga ile sadaka ya kujimaliza.kisha wanakosa hata nauli ,na wanaanza kuingia hapa mtaani kuanza kuomba nauli[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Masela wa hapo stand na walima maua karibia na kwa mwamposaa hua wanawafaidi saaana wadada/wamama walio toa sadaka ya kujimaliza[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Sadaka ya kujimaliza ni ile ombi la kumtaka muumini atoe hela yooote aliyo nayo kwa wakati huo.hapo ndipo wale wenye imani inayo zidi ya mwamposaa mwenyewe hua wanajimaliza kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Dini ni ulevi tuuu kama ulivyo ulevi mwingine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah iv n kweli?
 
Hahahahahahah hivi kuna sadaka ya aina hio kmmmk dah [emoji23]!!! Ila wanawake na hizi dini ni balaa!

Yani utoe sadaka mpaka hela ya nauli ulio nayo?
Ajabu San kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Chukua mafuta ya upako tokea kwa hayo matapeli yanayojiita manabii/mitume then kapigie punyeto na uje ulete mrejesho humu ndani.

hakuna mada nzuri na tamu kama hizi znazoelezea tabia za makondoo ya dini yanayomilikiwa na wachungaji, pale yanapopigwa spana ya ukweli na kuanza kutukana na kulaani kupitia majina ya Huyo Mungu wao wa Upendo[emoji23][emoji23][emoji23]....utumwa wa akili mbaya sana.

madhara ya izo imani uchwara ndyo hayo sasa tunayosema kila siku humu
 
Hahahahahahah hivi kuna sadaka ya aina hio kmmmk dah [emoji23]!!! Ila wanawake na hizi dini ni balaa!

Yani utoe sadaka mpaka hela ya nauli ulio nayo?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sadaka ya kujimaliza duh jina tu linatisha unajimaliza mwenyewe
 
Vibinti vilivyofanya ukahaba vingi vinakimbilia kuokoka take care
 
Swawa tu, ananajisi eneo hilo, akatafute eneo lake awapeleke hao 'kondoo' wake wakakanyage sabuni, chumvi na mikojo ya upako!
 
Chukua mafuta ya upako tokea kwa hayo matapeli yanayojiita manabii/mitume then kapigie punyeto na uje ulete mrejesho humu ndani.

hakuna mada nzuri na tamu kama hizi znazoelezea tabia za makondoo ya dini yanayomilikiwa na wachungaji, pale yanapopigwa spana ya ukweli na kuanza kutukana na kulaani kupitia majina ya Huyo Mungu wao wa Upendo[emoji23][emoji23][emoji23]....utumwa wa akili mbaya sana.

madhara ya izo imani uchwara ndyo hayo sasa tunayosema kila siku humu
Tatizo mnachanganya imani na dini, mitume na manabii wa aina hii ni upepo tu uvumao kwa kutumia shida za watu, shida ni mbaya sana
 
kama kuna hilo tatizo kwa waimba kwaya wa makanisa yote basi ni tatizo kubwa la mmomonyoko wa maadili kwa jamii nzima
Kuna kwaya moja miaka ya nyuma huko Shinyanga ilipukutishwa yote kwa Ngwengwe.Ujue hawa waburudisha waumini uzungukiana wenyewe kwa wenyewe.
 
Kuna kwaya moja miaka ya nyuma huko Shinyanga ilipukutishwa yote kwa Ngwengwe.Ujue hawa waburudisha waumini uzungukiana wenyewe kwa wenyewe.
Hili tatizo la waimba kwaya kukwasuana lipo mpaka nyakati hizi, wanaofanya vitendo hivyo wamekosa hofu ya Mungu mioyoni mwao
 
Back
Top Bottom