Mimi nikajua unasemea wale wanawake wanao toaga ile sadaka ya kujimaliza.kisha wanakosa hata nauli ,na wanaanza kuingia hapa mtaani kuanza kuomba nauli[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Masela wa hapo stand na walima maua karibia na kwa mwamposaa hua wanawafaidi saaana wadada/wamama walio toa sadaka ya kujimaliza[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Sadaka ya kujimaliza ni ile ombi la kumtaka muumini atoe hela yooote aliyo nayo kwa wakati huo.hapo ndipo wale wenye imani inayo zidi ya mwamposaa mwenyewe hua wanajimaliza kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Dini ni ulevi tuuu kama ulivyo ulevi mwingine.