MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
- Thread starter
-
- #61
Unakataa nini na Unakubali nini? Ulikataa kipi na mbona hivi sasa Unakikubali tena?Unaeleweka mistarini nini unawasilisha katika hoja yako ila unakosea kuhusisha walokole wakati pale hakuna walokole wa hivyo ni mkusanyiko wa dini kama zote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah iv n kweli?Mimi nikajua unasemea wale wanawake wanao toaga ile sadaka ya kujimaliza.kisha wanakosa hata nauli ,na wanaanza kuingia hapa mtaani kuanza kuomba nauli[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Masela wa hapo stand na walima maua karibia na kwa mwamposaa hua wanawafaidi saaana wadada/wamama walio toa sadaka ya kujimaliza[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Sadaka ya kujimaliza ni ile ombi la kumtaka muumini atoe hela yooote aliyo nayo kwa wakati huo.hapo ndipo wale wenye imani inayo zidi ya mwamposaa mwenyewe hua wanajimaliza kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Dini ni ulevi tuuu kama ulivyo ulevi mwingine.
Ajabu San kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahahah hivi kuna sadaka ya aina hio kmmmk dah [emoji23]!!! Ila wanawake na hizi dini ni balaa!
Yani utoe sadaka mpaka hela ya nauli ulio nayo?
Acha kumtisha kijana wa watu wew vip...unaweza kutangulia wew kufa kabla yakeNAAMINI UTAKUFA KABLA YA HUU MWAKA KUISHA... NAKUAHIDI
KAMA MIMI MUONGO UJE UNIJIBU HAPA 31 DECEMBER
Hahahahahahah hivi kuna sadaka ya aina hio kmmmk dah [emoji23]!!! Ila wanawake na hizi dini ni balaa!
Yani utoe sadaka mpaka hela ya nauli ulio nayo?
Sawa Mtume Mwaposa.NAAMINI UTAKUFA KABLA YA HUU MWAKA KUISHA... NAKUAHIDI
KAMA MIMI MUONGO UJE UNIJIBU HAPA 31 DECEMBER
Kumbukumbu zangu zinaniambia Watu wengi waliopenda Nife wametangulia Wao kwa Kufa kwa kudhaniwa Vibaka au Majambazi kwa ama kuchomwa Moto au kupigwa Risasi.acha kumtisha kijana wa watu wew vip...unaweza kutangulia wew kufa kabla yake
Heheheh unajiua tu kwa kumtolea bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sadaka ya kujimaliza duh jina tu linatisha unajimaliza mwenyewe
Hahahah safii sana chiefMkuu mimi ni mwanakawe kindakindakiii
Na wewe ndo zako nini?,eti Mr plasenta achana kuaminia story za huyu mwamba.Mh! Lakini kama yana ukweli
Waulize waimba kwaya wa makanisa yote watakupa ushuhuda.zipo kivipi? Yaani watu wa Mungu waende pale halafu waishie kufanya ufuska? Hiyo haipo pale
Tatizo mnachanganya imani na dini, mitume na manabii wa aina hii ni upepo tu uvumao kwa kutumia shida za watu, shida ni mbaya sanaChukua mafuta ya upako tokea kwa hayo matapeli yanayojiita manabii/mitume then kapigie punyeto na uje ulete mrejesho humu ndani.
hakuna mada nzuri na tamu kama hizi znazoelezea tabia za makondoo ya dini yanayomilikiwa na wachungaji, pale yanapopigwa spana ya ukweli na kuanza kutukana na kulaani kupitia majina ya Huyo Mungu wao wa Upendo[emoji23][emoji23][emoji23]....utumwa wa akili mbaya sana.
madhara ya izo imani uchwara ndyo hayo sasa tunayosema kila siku humu
Kama kuna hilo tatizo kwa waimba kwaya wa makanisa yote basi ni tatizo kubwa la mmomonyoko wa maadili kwa jamii nzimaWaulize waimba kwaya wa makanisa yote watakupa ushuhuda.
Kuna kwaya moja miaka ya nyuma huko Shinyanga ilipukutishwa yote kwa Ngwengwe.Ujue hawa waburudisha waumini uzungukiana wenyewe kwa wenyewe.kama kuna hilo tatizo kwa waimba kwaya wa makanisa yote basi ni tatizo kubwa la mmomonyoko wa maadili kwa jamii nzima
Hili tatizo la waimba kwaya kukwasuana lipo mpaka nyakati hizi, wanaofanya vitendo hivyo wamekosa hofu ya Mungu mioyoni mwaoKuna kwaya moja miaka ya nyuma huko Shinyanga ilipukutishwa yote kwa Ngwengwe.Ujue hawa waburudisha waumini uzungukiana wenyewe kwa wenyewe.