Minong'ono kuwa Mwamposa anatakiwa kuhama Tanganyika Packers December inazidi Kupamba Moto. Je, ina ukweli wowote?

Acha kashfa kiongoz kwa huduma za watu
 
Namfananisha huyu jamaa na kidonge fulani hivi au sindano unachomwa mkononi 7bu huyo jamaa kidonge au sindano unachomwa mkononi
anapenda saba mibunye ya bwelele ya kungonoka/ kufanya nayo mapenzi
kama ya hapo ya kwa mwamposa
Mwandiko unafanana na jamaa wengine wanne wa humu jamvini.
Kweli duniani ni "watano watano".
 
Nilikuwa na akili kama yako lakini wa TAG na EAGT ni habari nyingine kwanza wanakubagua mpaka uabudu kanisani kwako mwaka na zaidi hata kama una vingawira wao Yesu kwanza ,nilishindwa nikaendelea na wa mitume na manabii
 
Tatizo kuna badhi huku ni mapepo.sasa mambo yote yaliopo hili ni lakuandika kweli! Hatakama humkubali hekima yako ndio imeishia hapo?
 
Duh! yaani hii sadaka unajimaliza kabisa.....hapo mwamposa anakuwa analenga mtu atembee kutoka kawe hadi buza, hatari sana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…