Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Hili suala na wao wanalijadili kumbe:
Kumuhusu Chacha Wangwe pia nimeyasoma na kuyasikia katika vimijadala Mbalimbali. Lakini pia nimekumbuka taarifa ya awali ya Jeshi la polisi baada ya kumkamata walisema anatuhumiwa pia kwa "Attempts" ama kwa tuhuma za mauaji ya Viongozi. Yawezekana Jeshi lina ufahamu fulani ama lina hints lakini hazijaunga ndo maana wamedrop kwanza. They should Investigate this.
Mh Sumaye aliejifanya anataka kupima mafuta ya moto kwa kidole ili am challenge Mbowe aliambiwa wazi kuwa asijaribu kuonja sumu kwa ulimi. Kilichotokea wote tunakijua
Achilia mbali mchungaji Mtikila, Dkt Mvungi, Ben Saanane, n.k. Ni wakati sasa wa Mamlaka husika kuangazia haya mambo kwa undani. Kuna mengine ni ya Ajali lakini yanawezekana kuwa ni njama. Kuna mamlaka zina uwezo wa kuyathibitisha haya kwa kuchunguza kwa undani. Kwa tusiojua unaweza kupanga mauaji kwa ajili ya kupata public sympathy au kupata ajenda ya kushambulia utawala uliopo. Unaweza ukashambulia eneo fulani kwa bomu kwa ajili ya kupata ajenda za kisiasa.
Mmojawapo wa anayetajwatajwa sana ni Bwana Freeman Mbowe ambaye kwa sasa anatuhumiwa kwa Ugaidi , ni vyema uchunguzi dhidi yake ungeanza pia katika haya masuala. Wanasiasa si wa kuwaamini kabisa linapokuja swala la Political Interest.