Mbowe amehusishwa na mambo mengi sana kama vile kifo cha Chacha wangwe. Marehemu kabla ya kifo chake alishauri kile kipengele cha ukomo wa madaraka kwa mwenyekiti kirudishwe ili kutoa haki na wengine waweze kukiongoza chama hicho kupitia demokrasia ya kweli ndani ya chama. Ukiachana na hii ambayo imekaa kiupande upande, kama ile katiba ya kwa M7 ambapo kila uchaguzi unapofika jamaa anaambiwa ana haki ya kugombea ili mradi tu chama kimempitisha agombee (udikteta). Kumkosa kosa Zito kwa njia ya sumu baada ya yeye pia kujaribu kum challenge Mbowe kuhusu uenyekiti ambao ndio unampa utajiri, na kumfanya Mbowe awe na nguvu na uwezo wa kuamua chochote ndani ya chama bila mpuuzi yoyote kufungua domo lake kupingana nae. Pia inasemekana Ben saa8 ilishikwa masikio na wapenda mabadiliko ambao walimtumia saa8 kama speaker ya kumshauri mwenyekiti kuhusu kujiuzulu, au kuacha kugombea tena katika uchaguzi mungine kwa sababu ya boko aliyotoa mwaka 2015 ya kumleta fisadi aje agombee uraisi huku akiwaacha wafia chama wa kweli wakimpigia deki barabara. Kwahiyo kitendo cha Ben kujaribu kumshauri bwana mkubwa kilisababisha hasira ya chini kwa chini na matokeo yake alipotea ktk mazingira ya kutatanisha baada ya kutoka ofisini kwake. Lisu ujuaji wake na umaarufu alioanza kujijengea ndani ya chama ndio uliomponza maana mwenyekiti aligundua kama jamaa angeendelea kuwa vizuri mpk ktk uchaguzi mkuu wa chama, basi angeshauriwa agombee na hatimae kumbwaga mwenyekiti kwahiyo baada ya kuligundua hilo akataka afanye ya Chacha wangwe ila kwa bahati nzuri Lisu siku zake zilikuwa bado kama ilivyokuwa kwa Zito. Samaye aliejifanya anataka kupima mafuta ya moto kwa kidole ili am challenge mwenyekiti aliambiwa wazi kuwa "asijaribu kuonja sumu kwa ulimi". Hii kauli ilibeba ujumbe na maana nzito sana.