Minong'ono ya Mbowe kuhusishwa na kushambuliwa kwa Lissu ni mingi, isipuuzwe na Vyombo vya Usalama

Minong'ono ya Mbowe kuhusishwa na kushambuliwa kwa Lissu ni mingi, isipuuzwe na Vyombo vya Usalama

Uchunguzi wa kimataifa unagharama zake, nani atawalipa mabilioni ya shiling? lkn pia kwann waitwe wa kimataifa na wakati wa kwetu wanaliweza jambo hilo? Mbowe na genge lake wamwachie dereva aje ahojiwe ili haki ya muhusika ipatikane.
wanamficha kwasababu maalumu
 
Hili jambo la Mwenyekiti Mbowe kuhusishwa na Tobo kupigwa risasi lilishaelezwa na kufafanuliwa sana humu JF kwa sababu Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa sasa wana ugomvi wao wa kisisasa wa kugombania nafasi hiyo ya Uenyekiti, kwani ilifika wakati, Tobo akawa POPULAR kumzidi Mwenyekiti wake. Haya mambo ni vita vya ndani tuwaachie wenyewe na zaidi ya yote, dereva wa Tobo ndiye mwenye taarifa zote on this issue. Tuwaachie wenyewe!
dreva ndiyo wanamficha anajuwa kila kitu dadeeeec
 
da yaani chadema wakiyaona haya wanjiona ni jinsiganiwalivyo wajinga na wanavyowafanya wa tz wajinga kumbe tumeshaamka zamaaaaaaniiii ndiyo maana sikuhizi tunasikiliza tu press zao tunaachana nazo tunaendelea na mambo yetu kuandamana kwa wapuuzi kama hawa wenye ndimi mbilimbili nani anaweza? gaidi tulia ule uichokipanda

Ati Tundu anaagiza wananchi waandamane yeye akiwa ubelgiji

Dharau hizo
 
Hili suala na wao wanalijadili kumbe:

Kumuhusu Chacha Wangwe pia nimeyasoma na kuyasikia katika vimijadala Mbalimbali. Lakini pia nimekumbuka taarifa ya awali ya Jeshi la polisi baada ya kumkamata walisema anatuhumiwa pia kwa "Attempts" ama kwa tuhuma za mauaji ya Viongozi. Yawezekana Jeshi lina ufahamu fulani ama lina hints lakini hazijaunga ndo maana wamedrop kwanza. They should Investigate this.

Achilia mbali mchungaji Mtikila, Dkt Mvungi, Ben Saanane, n.k. Ni wakati sasa wa Mamlaka husika kuangazia haya mambo kwa undani. Kuna mengine ni ya Ajali lakini yanawezekana kuwa ni njama. Kuna mamlaka zina uwezo wa kuyathibitisha haya kwa kuchunguza kwa undani. Kwa tusiojua unaweza kupanga mauaji kwa ajili ya kupata public sympathy au kupata ajenda ya kushambulia utawala uliopo. Unaweza ukashambulia eneo fulani kwa bomu kwa ajili ya kupata ajenda za kisiasa.

Mmojawapo wa anayetajwatajwa sana ni Bwana Freeman Mbowe ambaye kwa sasa anatuhumiwa kwa Ugaidi , ni vyema uchunguzi dhidi yake ungeanza pia katika haya masuala. Wanasiasa si wa kuwaamini kabisa linapokuja swala la Political Interest.
Korona ni kiboko sana
 
Kwani wewe leo siyo zamu yako ya kulinda kaburi?
 
Mwenzako Musiba Sasa hivi anasema tumuombee maana Hali yake sio nzuri mbususu yake inamuwasha hatari.
Bado sabaya siku ya kuhukumiwa ndiyo ataangusha kilio cha ajabu kabisa.

Wanapokuwa wanawatesa watu wanakuwa wanafurahia jinsi wanavyo lia kwa uchungu.

Leo hii kibao kimewageukia wanaomba huruma ya watanzania
 
Kuna mijamaa ikisikia Mbowe, Chadema, katiba mpya, Corona nk mioyo hudunda karibu roho kuwatoka!

Mleta mada keshatia timu ngoja tuisubiri mingine.
Hao woote ni misukule ya meco
 
Uongo husafiri kwa lift ila ukweli hutumia ngazi...na hatimaye hufika japo kwa kuchelewa😜!
Kitaeleweka tu na uhuni pamoja na ughaidi unaokibeba chadema!
Wengi wanaopiga kelele humu aidha ni walihusika kwa yaliyomtokea Lisu, chacha wangwe, saa8 nk au ni wale wanaoishi kupitia mfuko wa bwana mkubwa ili wawe wanamtetea na kuanzisha propaganda za chama nk. So wajipange!
 
waswahili tuna msemo usemao;
Hakuna marefu yasiyo na ncha.........

sasa kachafuka vibaya sana!!

tayari taarifa zake zimeingizwa kwenye database ya dunia kama GAIDI.

alidhani uovu wake huto julikana milele........!!!
wacha avune alicho kipanda!!!

Mtu alidiriki kukiuza chama mwaka 2015 kwa billion 10!!! akamchuuza mzee wa watu Dr.!!! aisee huyu jamaa ni hatari!!
wanao diriki kumtetea mtu kama huyu hata wao ni waovu au walikuwa wana nufaika na uovu wake sana. lkn sasa kafikia mwisho.
 
Mbowe amehusishwa na mambo mengi sana kama vile kifo cha Chacha wangwe baada ya marehemu kabla ya kifo chake kushauri kipengele cha ukomo wa madaraka kwa mwenyekiti kirudishwe ili kutoa haki na wengine waweze kukiongoza chama hicho kupitia demokrasia ya kweli ndani ya chama ukiachana na hii ambayo imekaa kiupande upande,

kama ile katiba ya kwa M7 ambapo kila uchaguzi unapofika jamaa anaambiwa ana haki ya kugombea ili mradi tu chama kimempitisha (udikteta),

kumkosa kosa Zito kwa njia ya sumu baada ya yeye pia kujaribu kum challenge Mbowe kuhusu uenyekiti ambao ndio unampa utajiri, na kumfanya Mbowe awe na nguvu na uwezo wa kuamua chochote ndani ya chama bila mpuuzi yoyote kufungua domo lake kupingana nae.

Pia inasemekana Ben saa8 ilishikwa masikio na wapenda mabadiliko ambao walimtumia saa8 kama speaker ya kumshauri mwenyekiti kuhusu kujiuzulu au kuacha kugombea tena katika uchaguzi mungine kwa sababu ya boko aliyotoa mwaka 2015 ya kumleta fisadi aje agombee uraisi huku akiwaacha wafia chama wa kweli wakimpigia deki barabara,

kwahiyo kitendo cha Ben kujaribu kumshauri bwana mkubwa kilisababisha hasira ya chini kwa chini na matokeo yake alipotea ktk mazingira ya kutatanisha baada ya kutoka ofisini kwake.

Lisu ujuaji wake na umaarufu alioanza kujijengea ndani ya chama ndio uliomponza maana mwenyekiti aligundua kama jamaa angeendelea kuwa vizuri mpk ktk uchaguzi mkuu wa chama basi angeshauriwa agombee na hatimae kumbwaga mwenyekiti kwahiyo baada ya kuligundua hilo akataka afanye ya Chacha wangwe ila kwa bahati nzuri Lisu siku zake zilikuwa bado kama ilivyokuwa kwa Zito.

Samaye aliejifanya anataka kupima mafuta ya moto kwa kidole ili am challenge mwenyekiti aliambiwa wazi kuwa asijaribu kuonja sumu kwa ulimi hii kauli ilibeba ujumbe na maana nzito sana.
Najaribu kuelewa ujumbe. Kumradhi kwa kadhia hii.
 
Mwaka ule niliogundua chadema ni vibaka kuliko vibaka wote nchini ndio Mwaka nilioamua kuwapuuza chadema

Kama hawa ndio wanataka kushika dola heri wananchi tukomae CCM iendelee kutawala tuu

Chadema 2005 - 2014
View attachment 1889514View attachment 1889515

Kuna mijamaa ikisikia Mbowe, Chadema, katiba mpya, Corona nk mioyo hudunda karibu roho kuwatoka!

Mleta mada keshatia timu, mwingine huyu hapa, ngoja tuisubiri mingine.

Miye niko na zoom najisemea:

Hiiiiii bagosha!
 
Back
Top Bottom