Minong'ono ya Mbowe kuhusishwa na kushambuliwa kwa Lissu ni mingi, isipuuzwe na Vyombo vya Usalama

Hili suala na wao wanalijadili kumbe:

Kumuhusu Chacha Wangwe pia nimeyasoma na kuyasikia katika vimijadala Mbalimbali. Lakini pia nimekumbuka taarifa ya awali ya Jeshi la polisi baada ya kumkamata walisema anatuhumiwa pia kwa "Attempts" ama kwa tuhuma za mauaji ya Viongozi. Yawezekana Jeshi lina ufahamu fulani ama lina hints lakini hazijaunga ndo maana wamedrop kwanza. They should Investigate this.

Mh Sumaye aliejifanya anataka kupima mafuta ya moto kwa kidole ili am challenge Mbowe aliambiwa wazi kuwa asijaribu kuonja sumu kwa ulimi. Kilichotokea wote tunakijua

Achilia mbali mchungaji Mtikila, Dkt Mvungi, Ben Saanane, n.k. Ni wakati sasa wa Mamlaka husika kuangazia haya mambo kwa undani. Kuna mengine ni ya Ajali lakini yanawezekana kuwa ni njama. Kuna mamlaka zina uwezo wa kuyathibitisha haya kwa kuchunguza kwa undani. Kwa tusiojua unaweza kupanga mauaji kwa ajili ya kupata public sympathy au kupata ajenda ya kushambulia utawala uliopo. Unaweza ukashambulia eneo fulani kwa bomu kwa ajili ya kupata ajenda za kisiasa.

Mmojawapo wa anayetajwatajwa sana ni Bwana Freeman Mbowe ambaye kwa sasa anatuhumiwa kwa Ugaidi , ni vyema uchunguzi dhidi yake ungeanza pia katika haya masuala. Wanasiasa si wa kuwaamini kabisa linapokuja swala la Political Interest.
Magufuli, Makonda na usalama wachunguzwe kupotea saanane, mawazo na mwandishi pia viroba mto ruvu
 
Yes mangi bana anaweza akafanya lolote hata kuua ili tu apate pesa.
Mtego wa mchaga ni hela tu Tena huyu mmachame kabisa walikoamka wengine wakiwa wamelala inabidi aangaliwe Sana.
Why chacha wangwe zito kabwe slaa sumaye lowasa Ben saa 8
 
Hili suala na wao wanalijadili kumbe:

Kumuhusu Chacha Wangwe pia nimeyasoma na kuyasikia katika vimijadala Mbalimbali. Lakini pia nimekumbuka taarifa ya awali ya Jeshi la polisi baada ya kumkamata walisema anatuhumiwa pia kwa "Attempts" ama kwa tuhuma za mauaji ya Viongozi. Yawezekana Jeshi lina ufahamu fulani ama lina hints lakini hazijaunga ndo maana wamedrop kwanza. They should Investigate this.

Mh Sumaye aliejifanya anataka kupima mafuta ya moto kwa kidole ili am challenge Mbowe aliambiwa wazi kuwa asijaribu kuonja sumu kwa ulimi. Kilichotokea wote tunakijua

Achilia mbali mchungaji Mtikila, Dkt Mvungi, Ben Saanane, n.k. Ni wakati sasa wa Mamlaka husika kuangazia haya mambo kwa undani. Kuna mengine ni ya Ajali lakini yanawezekana kuwa ni njama. Kuna mamlaka zina uwezo wa kuyathibitisha haya kwa kuchunguza kwa undani. Kwa tusiojua unaweza kupanga mauaji kwa ajili ya kupata public sympathy au kupata ajenda ya kushambulia utawala uliopo. Unaweza ukashambulia eneo fulani kwa bomu kwa ajili ya kupata ajenda za kisiasa.

Mmojawapo wa anayetajwatajwa sana ni Bwana Freeman Mbowe ambaye kwa sasa anatuhumiwa kwa Ugaidi , ni vyema uchunguzi dhidi yake ungeanza pia katika haya masuala. Wanasiasa si wa kuwaamini kabisa linapokuja swala la Political Interest.

Akili kidoda sana hizi lissu kwa mbowe kwa mazingira yale [emoji848][emoji848]
 
Aulizwe pia wapi alipompeleka Ben Saanane
 
Huna tofuti na kina Martin.M.M wanaotukana hovyo Mitandaoni.

Hoja yake haina Matusi lakini wewe umetukana.

Kwa lugha nyepesi Mnaitwa Nyumbu
Nyumbu ni mama yako aliyekunyima malezi bora,wewe ni zao la mikesha ya mwenge humjui baba yako halisi ndiyo maana huna adabu. Huyu mpuuzi mwenzako kuwaita Chadema vibaka siyo tusi?
 
Hili suala na wao wanalijadili kumbe:

Kumuhusu Chacha Wangwe pia nimeyasoma na kuyasikia katika vimijadala Mbalimbali. Lakini pia nimekumbuka taarifa ya awali ya Jeshi la polisi baada ya kumkamata walisema anatuhumiwa pia kwa "Attempts" ama kwa tuhuma za mauaji ya Viongozi. Yawezekana Jeshi lina ufahamu fulani ama lina hints lakini hazijaunga ndo maana wamedrop kwanza. They should Investigate this.

Mh Sumaye aliejifanya anataka kupima mafuta ya moto kwa kidole ili am challenge Mbowe aliambiwa wazi kuwa asijaribu kuonja sumu kwa ulimi. Kilichotokea wote tunakijua

Achilia mbali mchungaji Mtikila, Dkt Mvungi, Ben Saanane, n.k. Ni wakati sasa wa Mamlaka husika kuangazia haya mambo kwa undani. Kuna mengine ni ya Ajali lakini yanawezekana kuwa ni njama. Kuna mamlaka zina uwezo wa kuyathibitisha haya kwa kuchunguza kwa undani. Kwa tusiojua unaweza kupanga mauaji kwa ajili ya kupata public sympathy au kupata ajenda ya kushambulia utawala uliopo. Unaweza ukashambulia eneo fulani kwa bomu kwa ajili ya kupata ajenda za kisiasa.

Mmojawapo wa anayetajwatajwa sana ni Bwana Freeman Mbowe ambaye kwa sasa anatuhumiwa kwa Ugaidi , ni vyema uchunguzi dhidi yake ungeanza pia katika haya masuala. Wanasiasa si wa kuwaamini kabisa linapokuja swala la Political Interest.

Azory pia anahusika mbowe?
Katibu wa chadema kata ya hananasifu pia ni mbowe?
Alphonse mawazo pia ni mbowe?
Benki saa nane pia ni mbowe!
Tundu kisu pia ni mbowe?
Chacha Wangwe pia ni mbowe?

Unajisikia je kuzungumza uongo hadharani na huku kila Ijumaa au jumapili unaenda msikitini au kanisani?

Hayo ulivyoandika unaweza ukayazungumza mbele ya kiongozi wako wa dini tena kwenye madhabahu??
 
Hili suala na wao wanalijadili kumbe:

Kumuhusu Chacha Wangwe pia nimeyasoma na kuyasikia katika vimijadala Mbalimbali. Lakini pia nimekumbuka taarifa ya awali ya Jeshi la polisi baada ya kumkamata walisema anatuhumiwa pia kwa "Attempts" ama kwa tuhuma za mauaji ya Viongozi. Yawezekana Jeshi lina ufahamu fulani ama lina hints lakini hazijaunga ndo maana wamedrop kwanza. They should Investigate this.

Mh Sumaye aliejifanya anataka kupima mafuta ya moto kwa kidole ili am challenge Mbowe aliambiwa wazi kuwa asijaribu kuonja sumu kwa ulimi. Kilichotokea wote tunakijua

Achilia mbali mchungaji Mtikila, Dkt Mvungi, Ben Saanane, n.k. Ni wakati sasa wa Mamlaka husika kuangazia haya mambo kwa undani. Kuna mengine ni ya Ajali lakini yanawezekana kuwa ni njama. Kuna mamlaka zina uwezo wa kuyathibitisha haya kwa kuchunguza kwa undani. Kwa tusiojua unaweza kupanga mauaji kwa ajili ya kupata public sympathy au kupata ajenda ya kushambulia utawala uliopo. Unaweza ukashambulia eneo fulani kwa bomu kwa ajili ya kupata ajenda za kisiasa.

Mmojawapo wa anayetajwatajwa sana ni Bwana Freeman Mbowe ambaye kwa sasa anatuhumiwa kwa Ugaidi , ni vyema uchunguzi dhidi yake ungeanza pia katika haya masuala. Wanasiasa si wa kuwaamini kabisa linapokuja swala la Political Interest.

fikra zako ziko kwenye kiungo cha chini
 
Hhhh
 
Lisu yeye hataondoka?!
Ataondoka eventually lakini si kabla ya kushuhudia watesi wake WOTE wakiondoka mmoja baada ya mwingine.
Wao walitaka Lissu atangulie kuondoka, sasa watatangulia wao, asema Bwana wa majeshi!
 
Mbowe si Gaidi , waliomuua Azory Gwanda, Aquillina, ndio magaidi
 
nakumbuka kifo cha Chacha Wagwe, Mbowe alipo hudhuria mazishi alitaka kupigwa na wananchi walio na hasira akaokolewa na mzee Wasira kama sijakosea.
Bila shaka uko sawa! Ila huyu mwamba kunauwezekano alihusika na shambulizi la Lisu! Ukizingatia kipindi kile kulikuwa na msuguano kati ya Magufuli na Lisu so jamaa akatumia nafasi hiyo kutaka kumwondoa Lisu. Huku akijua kabisa kwa vile kuna taharuki ya Lisu na Serkali ya Magufuli watu watawaza tu kuwa serkali imehusika lakini wahenga walisema hakuna marefu yasiyo na ncha.
 
siwezi kushangaa maaana alimzunguka na kumtosa katibu Mkuu kipindi kile dr.slaa ambaye alipambana kwa hali na mali lkn ona alivyo mtosa bila hata aibu na akalamba 10B akakiuza chama kwa mpangaji wa muda.
huyu mwamba ana mambo mengi sana maovu, rekodi zake sio nzuri kabisa sasa ndio anaumbuka.
muda wake umefika.
 
Hili suala na wao wanalijadili kumbe:

Kumuhusu Chacha Wangwe pia nimeyasoma na kuyasikia katika vimijadala Mbalimbali. Lakini pia nimekumbuka taarifa ya awali ya Jeshi la polisi baada ya kumkamata walisema anatuhumiwa pia kwa "Attempts" ama kwa tuhuma za mauaji ya Viongozi. Yawezekana Jeshi lina ufahamu fulani ama lina hints lakini hazijaunga ndo maana wamedrop kwanza. They should Investigate this.

Mh Sumaye aliejifanya anataka kupima mafuta ya moto kwa kidole ili am challenge Mbowe aliambiwa wazi kuwa asijaribu kuonja sumu kwa ulimi. Kilichotokea wote tunakijua

Achilia mbali mchungaji Mtikila, Dkt Mvungi, Ben Saanane, n.k. Ni wakati sasa wa Mamlaka husika kuangazia haya mambo kwa undani. Kuna mengine ni ya Ajali lakini yanawezekana kuwa ni njama. Kuna mamlaka zina uwezo wa kuyathibitisha haya kwa kuchunguza kwa undani. Kwa tusiojua unaweza kupanga mauaji kwa ajili ya kupata public sympathy au kupata ajenda ya kushambulia utawala uliopo. Unaweza ukashambulia eneo fulani kwa bomu kwa ajili ya kupata ajenda za kisiasa.

Mmojawapo wa anayetajwatajwa sana ni Bwana Freeman Mbowe ambaye kwa sasa anatuhumiwa kwa Ugaidi , ni vyema uchunguzi dhidi yake ungeanza pia katika haya masuala. Wanasiasa si wa kuwaamini kabisa linapokuja swala la Political Interest.

halina ubishi suala la Lisu uvccm wanahusika+tawi lao la polccm
 
Mwaka ule niliogundua chadema ni vibaka kuliko vibaka wote nchini ndio Mwaka nilioamua kuwapuuza chadema

Kama hawa ndio wanataka kushika dola heri wananchi tukomae CCM iendelee kutawala tuu

Chadema 2005 - 2014
View attachment 1889514View attachment 1889515
Na kwa hakika hamtakaa msahau kiukweli Lowassa aliwapelekesha ccm vilivyo! Waliimba nyimbo na matamshi ya kila aina, walitoka jasho, kamasi na hata damu!
Kama sio teknolojia inayotumiwa na ccm kwenye kila uchaguzi sasa hivi kungekuwa na habari nyingine!
Namshukuru lowassa kwa mchango ule pamoja na usaliti wake wa kushinikizwa! Namsamehe ni binadamu kama binadamu wengine na Mungu amzidishie!
 
Mechi ni matokeo sio mbwembwe na maneno
 
Back
Top Bottom