mwanateknolojia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 1,026
- 1,749
Matokeo ya kupikwa na refa, hata yangekuwa ya aina gani ni ushetani tu! Vyote vina mwisho wake!Mechi ni matokeo sio mbwembwe na maneno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matokeo ya kupikwa na refa, hata yangekuwa ya aina gani ni ushetani tu! Vyote vina mwisho wake!Mechi ni matokeo sio mbwembwe na maneno
Matokeo ya kupikwa na refa, hata yangekuwa ya aina gani ni ushetani tu! Vyote vina mwisho wake!
Utapataje suluhu wsakati anayetakiwa kuleta suluhu alishaingizwa mfukoni mwa mlalamikiwa?Mwanasiasa makini Huwezi kulalamikia tatizo lilelile kwa miaka 30 bila kuwa na suluhu
Kubwa la magaidi lipo motoni sasa hiviMbowe si Gaidi , waliomuua Azory Gwanda, Aquillina, ndio magaidi
Leteni CCTV camera tuone ushaidi lisu alishambuliwa na nani? Sio kulopoka tu au unatumia ubongo wa paka kufikiliMbowe amehusishwa na mambo mengi sana kama vile kifo cha Chacha wangwe. Marehemu kabla ya kifo chake alishauri kile kipengele cha ukomo wa madaraka kwa mwenyekiti kirudishwe ili kutoa haki na wengine waweze kukiongoza chama hicho kupitia demokrasia ya kweli ndani ya chama. Ukiachana na hii ambayo imekaa kiupande upande, kama ile katiba ya kwa M7 ambapo kila uchaguzi unapofika jamaa anaambiwa ana haki ya kugombea ili mradi tu chama kimempitisha agombee (udikteta). Kumkosa kosa Zito kwa njia ya sumu baada ya yeye pia kujaribu kum challenge Mbowe kuhusu uenyekiti ambao ndio unampa utajiri, na kumfanya Mbowe awe na nguvu na uwezo wa kuamua chochote ndani ya chama bila mpuuzi yoyote kufungua domo lake kupingana nae. Pia inasemekana Ben saa8 ilishikwa masikio na wapenda mabadiliko ambao walimtumia saa8 kama speaker ya kumshauri mwenyekiti kuhusu kujiuzulu, au kuacha kugombea tena katika uchaguzi mungine kwa sababu ya boko aliyotoa mwaka 2015 ya kumleta fisadi aje agombee uraisi huku akiwaacha wafia chama wa kweli wakimpigia deki barabara. Kwahiyo kitendo cha Ben kujaribu kumshauri bwana mkubwa kilisababisha hasira ya chini kwa chini na matokeo yake alipotea ktk mazingira ya kutatanisha baada ya kutoka ofisini kwake. Lisu ujuaji wake na umaarufu alioanza kujijengea ndani ya chama ndio uliomponza maana mwenyekiti aligundua kama jamaa angeendelea kuwa vizuri mpk ktk uchaguzi mkuu wa chama, basi angeshauriwa agombee na hatimae kumbwaga mwenyekiti kwahiyo baada ya kuligundua hilo akataka afanye ya Chacha wangwe ila kwa bahati nzuri Lisu siku zake zilikuwa bado kama ilivyokuwa kwa Zito. Samaye aliejifanya anataka kupima mafuta ya moto kwa kidole ili am challenge mwenyekiti aliambiwa wazi kuwa "asijaribu kuonja sumu kwa ulimi". Hii kauli ilibeba ujumbe na maana nzito sana. Hakika "KIKULACHO KI NGUONI MWAKO"
Ukimya wa Lisu ktk kesi ya Mbowe utakuja na mshindo mkubwa sana hautoamini. Tuendelee kusubiri huenda Lisu mwenyew ashaanza kupata mwanga wa kilichomtokeaLeteni CCTV camera tuone ushaidi lisu alishambuliwa na nani? Sio kulopoka tu au unatumia ubongo wa paka kufikili
Na kwa hakika hamtakaa msahau kiukweli Lowassa aliwapelekesha ccm vilivyo! Waliimba nyimbo na matamshi ya kila aina, walitoka jasho, kamasi na hata damu!
Kama sio teknolojia inayotumiwa na ccm kwenye kila uchaguzi sasa hivi kungekuwa na habari nyingine!
Namshukuru lowassa kwa mchango ule pamoja na usaliti wake wa kushinikizwa! Namsamehe ni binadamu kama binadamu wengine na Mungu amzidishie!
KWANI MBOWE AKIWA GAID NYIE CHADEMA MNAPUNGUKIWA NN?? ..mnayajua yaliyomoa moyoni mwake? au kama ni yeye alihusika kumshambulia huyo mbelgiji mnabishaje sas? tatizo la kujiona maraika na hamkosei hil tatizo ni sugu sana, hil ttzo hakiwafai watu wenye akil timamu, bali wapumbav pekee, huwez jiita akili nying alafu unashadadia kila kitu, kumpenda kiongoz wako si sabbu ya kupenda na maovu yake, nyie wafia siasa badriken
Haibadilishi Hoja iliyoandikwa kwenye hiyo Comment.
Kwa maelezo yako Chadema walikiuka misingi yake kwa ajili ya kutafuta Mtaji wa kisiasa. Shame
Mambo na misingi ya CHADEMA wewe vinakuhusu nini?
CHADEMA hakifanyi mambo kwa mazoea, bali mahitaji ya wakati!
Hili suala na wao wanalijadili kumbe:
Kumuhusu Chacha Wangwe pia nimeyasoma na kuyasikia katika vimijadala Mbalimbali. Lakini pia nimekumbuka taarifa ya awali ya Jeshi la polisi baada ya kumkamata walisema anatuhumiwa pia kwa "Attempts" ama kwa tuhuma za mauaji ya Viongozi. Yawezekana Jeshi lina ufahamu fulani ama lina hints lakini hazijaunga ndo maana wamedrop kwanza. They should Investigate this.
Mh Sumaye aliejifanya anataka kupima mafuta ya moto kwa kidole ili am challenge Mbowe aliambiwa wazi kuwa asijaribu kuonja sumu kwa ulimi. Kilichotokea wote tunakijua
Achilia mbali mchungaji Mtikila, Dkt Mvungi, Ben Saanane, n.k. Ni wakati sasa wa Mamlaka husika kuangazia haya mambo kwa undani. Kuna mengine ni ya Ajali lakini yanawezekana kuwa ni njama. Kuna mamlaka zina uwezo wa kuyathibitisha haya kwa kuchunguza kwa undani. Kwa tusiojua unaweza kupanga mauaji kwa ajili ya kupata public sympathy au kupata ajenda ya kushambulia utawala uliopo. Unaweza ukashambulia eneo fulani kwa bomu kwa ajili ya kupata ajenda za kisiasa.
Mmojawapo wa anayetajwatajwa sana ni Bwana Freeman Mbowe ambaye kwa sasa anatuhumiwa kwa Ugaidi , ni vyema uchunguzi dhidi yake ungeanza pia katika haya masuala. Wanasiasa si wa kuwaamini kabisa linapokuja swala la Political Interest.