Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Huenda chama chake amekiweka mfukoni, ukimkosoa tu unalo! Kuna mtu aliyemuita mcheza disco, sijui alipokeaje. Naomba nami kuchomekea - kiwango chake cha elimu kimekaaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiulize, aliwezaje kukiuza chama mwaka 2015 kwa 10B, na kisha kumsaliti na kumtosa bila aibu mpambanaji Dr.?!Hivi Mbowe apate faida gani kwa kumpiga risasi Tundu Lissu his own protege?
Yaani tuelezeni possible motive ya Mbowe kumuua Lissu!
I will wait!
No such nonsense acheni usenge!
VITA YA PANZI NA KUNGURU WAACHIE WENYEWE!Nina amini kwa jinsi utawala wa awamu wa 5 ha huu wa sita ulivyokuwa kama Mbowe angekuwa kahusika kwa namna yeyote ile angeshakamatwa na kupewa kesi ya uhaini.
Hili suala na wao wanalijadili kumbe:
Kumuhusu Chacha Wangwe pia nimeyasoma na kuyasikia katika vimijadala Mbalimbali. Lakini pia nimekumbuka taarifa ya awali ya Jeshi la polisi baada ya kumkamata walisema anatuhumiwa pia kwa "Attempts" ama kwa tuhuma za mauaji ya Viongozi. Yawezekana Jeshi lina ufahamu fulani ama lina hints lakini hazijaunga ndo maana wamedrop kwanza. They should Investigate this.
Mh Sumaye aliejifanya anataka kupima mafuta ya moto kwa kidole ili am challenge Mbowe aliambiwa wazi kuwa asijaribu kuonja sumu kwa ulimi. Kilichotokea wote tunakijua
Achilia mbali mchungaji Mtikila, Dkt Mvungi, Ben Saanane, n.k. Ni wakati sasa wa Mamlaka husika kuangazia haya mambo kwa undani. Kuna mengine ni ya Ajali lakini yanawezekana kuwa ni njama. Kuna mamlaka zina uwezo wa kuyathibitisha haya kwa kuchunguza kwa undani. Kwa tusiojua unaweza kupanga mauaji kwa ajili ya kupata public sympathy au kupata ajenda ya kushambulia utawala uliopo. Unaweza ukashambulia eneo fulani kwa bomu kwa ajili ya kupata ajenda za kisiasa.
Mmojawapo wa anayetajwatajwa sana ni Bwana Freeman Mbowe ambaye kwa sasa anatuhumiwa kwa Ugaidi , ni vyema uchunguzi dhidi yake ungeanza pia katika haya masuala. Wanasiasa si wa kuwaamini kabisa linapokuja swala la Political Interest.

Lisu yeye hataondoka?!Waliohusika kumpiga Tundu Lissu risasi wote (underline and bold "WOTE") lazima "wataondoka" mmoja baada ya mwingine kwa divine intervention. Tayari washaanza "kuondoka" mmoja baada ya mwingine wakiongozwa na yule shujaa wao "aliyepigwa dafrao" March 2021.
Hili suala na wao wanalijadili kumbe:
Kumuhusu Chacha Wangwe pia nimeyasoma na kuyasikia katika vimijadala Mbalimbali. Lakini pia nimekumbuka taarifa ya awali ya Jeshi la polisi baada ya kumkamata walisema anatuhumiwa pia kwa "Attempts" ama kwa tuhuma za mauaji ya Viongozi. Yawezekana Jeshi lina ufahamu fulani ama lina hints lakini hazijaunga ndo maana wamedrop kwanza. They should Investigate this.
Mh Sumaye aliejifanya anataka kupima mafuta ya moto kwa kidole ili am challenge Mbowe aliambiwa wazi kuwa asijaribu kuonja sumu kwa ulimi. Kilichotokea wote tunakijua
Achilia mbali mchungaji Mtikila, Dkt Mvungi, Ben Saanane, n.k. Ni wakati sasa wa Mamlaka husika kuangazia haya mambo kwa undani. Kuna mengine ni ya Ajali lakini yanawezekana kuwa ni njama. Kuna mamlaka zina uwezo wa kuyathibitisha haya kwa kuchunguza kwa undani. Kwa tusiojua unaweza kupanga mauaji kwa ajili ya kupata public sympathy au kupata ajenda ya kushambulia utawala uliopo. Unaweza ukashambulia eneo fulani kwa bomu kwa ajili ya kupata ajenda za kisiasa.
Mmojawapo wa anayetajwatajwa sana ni Bwana Freeman Mbowe ambaye kwa sasa anatuhumiwa kwa Ugaidi , ni vyema uchunguzi dhidi yake ungeanza pia katika haya masuala. Wanasiasa si wa kuwaamini kabisa linapokuja swala la Political Interest.
Kwa akili zake ndogo anadhani anamkomoa mbowe kumbe anadhalilisha vyombo vikubwa vyaulinzi na usalama.hizi akili zakijinga sana.Kwa ulichokiandika ama huna akili,yaani uwezo wako ni Sawa na mtoto wa baby class,au unajitoa ufahamu.
Kwanza kwa kusema kwamba Mbowe aliendesha shughuri za ki gaidi,kijasusi akaweza Kuwa ua Chacha wangwe,ben saa nane,Dr mvungi,na wengine,unamaanisha ama jeshi letu la polisi ccm,na Idara yetu ya ujasusi,kumejaa vilaza watupu wasioweza kugundua uharifu,au wewe unamtindio wa ubongo!!
Mbowe alipohusishwa kuiuwa familia ya dadake yote pale msata nilimuogopa hata waitara alipoambiwa asijaribu ilikuwa hatari sanaHili suala na wao wanalijadili kumbe:
Kumuhusu Chacha Wangwe pia nimeyasoma na kuyasikia katika vimijadala Mbalimbali. Lakini pia nimekumbuka taarifa ya awali ya Jeshi la polisi baada ya kumkamata walisema anatuhumiwa pia kwa "Attempts" ama kwa tuhuma za mauaji ya Viongozi. Yawezekana Jeshi lina ufahamu fulani ama lina hints lakini hazijaunga ndo maana wamedrop kwanza. They should Investigate this.
Mh Sumaye aliejifanya anataka kupima mafuta ya moto kwa kidole ili am challenge Mbowe aliambiwa wazi kuwa asijaribu kuonja sumu kwa ulimi. Kilichotokea wote tunakijua
Achilia mbali mchungaji Mtikila, Dkt Mvungi, Ben Saanane, n.k. Ni wakati sasa wa Mamlaka husika kuangazia haya mambo kwa undani. Kuna mengine ni ya Ajali lakini yanawezekana kuwa ni njama. Kuna mamlaka zina uwezo wa kuyathibitisha haya kwa kuchunguza kwa undani. Kwa tusiojua unaweza kupanga mauaji kwa ajili ya kupata public sympathy au kupata ajenda ya kushambulia utawala uliopo. Unaweza ukashambulia eneo fulani kwa bomu kwa ajili ya kupata ajenda za kisiasa.
Mmojawapo wa anayetajwatajwa sana ni Bwana Freeman Mbowe ambaye kwa sasa anatuhumiwa kwa Ugaidi , ni vyema uchunguzi dhidi yake ungeanza pia katika haya masuala. Wanasiasa si wa kuwaamini kabisa linapokuja swala la Political Interest.
Mwaka ule niliogundua chadema ni vibaka kuliko vibaka wote nchini ndio Mwaka nilioamua kuwapuuza chadema
Kama hawa ndio wanataka kushika dola heri wananchi tukomae CCM iendelee kutawala tuu
Chadema 2005 - 2014
View attachment 1889514View attachment 1889515
😆😆😆Wakijibu hii basi sharti yawe mapovu