Minong'ono ya Mbowe kuhusishwa na kushambuliwa kwa Lissu ni mingi, isipuuzwe na Vyombo vya Usalama

KWANI MBOWE AKIWA GAID NYIE CHADEMA MNAPUNGUKIWA NN?? ..mnayajua yaliyomoa moyoni mwake? au kama ni yeye alihusika kumshambulia huyo mbelgiji mnabishaje sas? tatizo la kujiona maraika na hamkosei hil tatizo ni sugu sana, hil ttzo hakiwafai watu wenye akil timamu, bali wapumbav pekee, huwez jiita akili nying alafu unashadadia kila kitu, kumpenda kiongoz wako si sabbu ya kupenda na maovu yake, nyie wafia siasa badriken
 
Leteni CCTV camera tuone ushaidi lisu alishambuliwa na nani? Sio kulopoka tu au unatumia ubongo wa paka kufikili
 
Leteni CCTV camera tuone ushaidi lisu alishambuliwa na nani? Sio kulopoka tu au unatumia ubongo wa paka kufikili
Ukimya wa Lisu ktk kesi ya Mbowe utakuja na mshindo mkubwa sana hautoamini. Tuendelee kusubiri huenda Lisu mwenyew ashaanza kupata mwanga wa kilichomtokea
 

Haibadilishi Hoja iliyoandikwa kwenye hiyo Comment.

Kwa maelezo yako Chadema walikiuka misingi yake kwa ajili ya kutafuta Mtaji wa kisiasa. Shame
 

Nawashangaa sana hawa jamaa zangu
 
Mambo na misingi ya CHADEMA wewe vinakuhusu nini?
CHADEMA hakifanyi mambo kwa mazoea, bali mahitaji ya wakati!
Haibadilishi Hoja iliyoandikwa kwenye hiyo Comment.

Kwa maelezo yako Chadema walikiuka misingi yake kwa ajili ya kutafuta Mtaji wa kisiasa. Shame
 
Kila siku mnaambiwa undeni tume huru au ombeni msaada kutoka nje mnakaa kimya. Serekali ya CCM, mwenye vyombo vyote CCM, Amiri Jeshi CCM. Mnashindwa wapi kuchukua hatua siku zote?

Watekaji wanatumia jina la vyombo vya serikali, magari na silaha zinafanana na serikali mnashindwa wapi kuwapata mnaishia kulalamika kama vyama vya upinzani?

Tuhuma nyingi na leads nyingi zimetolewa kuhusu watekaji lakini naona malalamiko yanatoka kwa wale waliopaswa kuchukua hatua kulikoni?

Kuna speech ya Lema sio nzuri na sio ya afya kwamba " vyombo vya ulinzi vimempuuza Amiri Jeshi mkuu hadharani. Amiri Jeshi anasema Kuna shida na mkuu wa vyombo anasema hakuna shida" hapo inakuambia tatizo ni kubwa sana.

Kuna watu wanamdanganya chief Hangaya, hawafanyi kazi zao sawasawa. Wameingiza siasa na propaganda sehemu ambapo waliopaswa kutenda. Na hata hii mada ni sehemu ya propaganda. Tangu Wangwe afariki ni miaka mingapi propaganda TU, Tangu Lisu apigee risasi ni miaka mingapi?

Je Mbowe anaweza kuamuru walinzi wote waondoke Lindo ili Lissu apigee risasi?
Je Mbowe ndio alikua anaendesha gari la Chacha Wangwe?

Kuna ujinga na propaganda za kipumbavu zinaenezwa na jeshi la polisi lipo kimya TU. Maana kama ni ajali walichunguza mawili kabla ya kuzikwa, walichunguza ajali, kama hawaja conclude waseme uchunguzi haukukamilka au ulikamilka ni ajali kama zilivyo ajali zingine. Etc.

sijui nani anafadika na ujinga huu wa hizi propaganda maana upande mmoja unalichafua jeshi kwamba haliwezi kufanya kazi yake sawasawa, na si ajabu Kuna watu Wana ushahidi lakini wameshindwa kwenda kuchukua na kuifanyia kazi. Ama raia wamauwezo mkubwa kufanya uchunguzi kuliko jeshi, na jeshi lipo kimya halisemi. Lakini pia linaharibu taswira ya nchi kwamba unaweza ukiamua polisi na serikali kwa ujumla wasikufanye lolote. Hizi propaganda lazima zikomeshwe, wabakie wenye mamlaka ya kusema kilichosahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…