Miongo miwili wamekataa kubadilisha jina la mtaa wa Tandamti kuwa Mshume Kiyate

Mzee Mimi nina elim ya kunitosha kabisa hii kuandika ickutishe Sana ninamwandiko mzur Sana. Cwez kukuwekea vyeti hapa ila mi Ninayo elim yangu initoshayo Japo nilianza Shule nikiwa mkubwa. Mi tuna nyumba barisheba Mombasa. Nimekaa Kenya miaka nane Japo Sio mkoa mmoja. By then wakenya walikuwa na mikoa 8 .mzee nachosema ukisikiliza story za wale mijikenda pale Mombasa, wadigo tanga, waswahili Yaan wazanzibar weus Achana na wapemba, ukienda mtwara na Lindi, ujiji na sehem Za Tabora ni story moja wanazo ni Kama vile wanataka fadhila Yaan ni Kama walipojitoa sehem flan walitarajia kulipwa au kupewa kitu flan sasa ukisema hivyo ukienda Ile South Africa Mbona ungeandika vitabu mia maana waliopigania uhuru ni wengi Sana.
 
Abdurauf Songea unajuwa historia yake?
 
Kitali,
Tafuta unaeweza kummudu.
Mimi sie kabisa:
  1. PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES
  2. The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.
  3. The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006
  4. Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.
  5. Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.
  6. Uchaguzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.
  7. In Praise of Ancestors (1988) Africa Events (London).
  8. Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).
  9. Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)
  10. The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).
  11. Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).
  12. The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).
  13. Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).
  14. Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).
  15. Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).
  16. Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).
  17. Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.
  18. 14. Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.
  19. Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.
  20. Awards: Several Awards.
  21. Visiting Scholar: (2011)
  22. University of Iowa, Iowa City, USA
  23. Northwestern University, Chicago, Illinois, USA
  24. Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.
  25. OTHER COUNTRIES VISITED
  26. Zambia, Ethiopia, Great Britain, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Zambia, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.
 
Kitali,
Inatosha na nimekuelewa.
 
Kumbe tatizo ni Waislam? Sasa si uweke wewe historia mbadala ambayo haina hao Waislam. Tunasubiri.
 

Sasa historia huijuwi si uombe ufundishwe, badala ya kuja na porojo eti ilikuwa vita ya kikabila.

Umewekewa link juu huko hukuiona? Au kwa elimu yako kubwa uliyonayo huelewi link ni nini?
 
Al Abry,
Namuwekea Kitali hii hapo chiini nadhani huenda akajifunza kitu In Shaa Allah:

Re: Tanganyika(TANU) imetoka mbali waasisi wake wengi wao wametangulia mbele ya haki

By Buchanan

Wazee wenyewe wa vibaraghashia washike kalamu mwenyewe na kujiandikia hiyo "historia mpya!"

Buchanan,
Inaelekea wewe uwelewa wako uko chini sana.
Hata adabu yako vilevile iko chini sana nasikitika kusema.

Uvaaji wa barghashia unakuudhi nini wewe kiasi una tukejeli sisi wavaaji na na wazee wetu waliotufunza kujisitiri hivyo ndugu yangu?

Huu ni utamaduni wetu watu wa pwani kama vile unavyotuona tunavaa kanzu za dariz na makubadhi.
Mimi sikucheki wewe unapoingia msalani na karatasi ukajifutanazo ilhali maji yapo.

Sikubezi na kukunyayapaa kuwa hujui ''hygiene.''

Nafanya staha kwa kuwa najua huo ni utamaduni wako.
Wala sikucheki kuwa hujui tohara.

Sana sana ninakutamania ujue mambo haya ili unufaike kama ninavyonufaika mimi na hali ya usafi wa kiwiliwili changu.

''Mohamed nataka nguo za mume wangu zinukie kama kanzu yako nifanyeje?’’
Dada wa Kikristo ananambia siku moja.

Salamu hizi nikazifikisha kwa mke wangu.
Mke wangu akanunua chetezo na udi akampelekea zawadi yule dada.

Mke wangu ananihadithia, anasema wakajifungia ‘’bedroom ya huyu dada wakafukiza udi chumba kizima kisha akamwambia sasa lete mashati na suti za bwana tumkomeshe leo.''

Sitaki kukueleza furaha ya yule bwana alivyoingia chumbani kulala alipopigwa na harufu nzuri ya shuka zilizofukizwa udi.

Usiku kanipigia simu, ''Mohamed old boy, you owe me one tomorrow let us have dinner the four of us aisee nyinyi Waswahili kweli mnafaidi...''

Niangalie picha nyingi mimi nimevaa bargashia.
Ninazo vilevile designer suit za Yves Saint Laurent na Gucci kukutajia chache.



Angalia kwa Makini Nimevaa Bargashia Designer Shirt na Designer Jeans
Katika Mfuko wa Shati Nimechomeka Kalamu ya Cross Huo Mkoba
una Lap Top (State of the Art) Niko Maulidini Lamu

Buchanan,
Jifunze adab.

Si vizuri kudharau mila na tamaduni za watu wengine hata kama wewe unahisi utamaduni wa kuigwa ni ule wa Wazungu.
 
Isome "signature" ya Chachu Ombara inasema "TAFITI HUPINGWA KWA TAFITI NA SIO KWA POROJO...".
 
Teh teh teh!

Nimecheka sana huyu aliyeandika haya maneno ndiyo anajitapa kuwa ni msomi na kuwaponda watu wa Pwani kuwa hawataki shule.

Kama wewe ndiyo msomi wa Tanzania kweli nchi ina msiba mzito.

Hawa wasomi wetu ndiyo wamejaa serikalini unategemea nini.
 
Kilichokuchekesha nini sasa. Mim nimesoma ndio na namshukuru Mungu we ulitaka nini kwa mfano au ulitaka nini
 
Kilichokuchekesha nini sasa. Mim nimesoma ndio na namshukuru Mungu we ulitaka nini kwa mfano au ulitaka nini
Msomi hata Abdurauf Songea Mbano huifahamu historia yake?

Wewe itakuwa shule ulienda kusomea ujinga.
 
Msomi hata Abdurauf Mbano Songea huifahamu historia yake?

Wewe itakuwa shule ulienda kusomea ujinga.
Teh teh teh!

Hawa ndiyo wasomi wetu wamejaa serikalini na vyeti vyao feki.

Unaweza kukuta huyu anaongoza wizara.

Anakuwambia vita vya maji maji vilikuwa vya kikabila na Mangi wa Kibosho alipigania uhuru wa Tanganyika.
 
Mzee

Mzee Said, Shikamoo!
Mosi,Inaumiza kweli iwapo ikiwa yamefanyika makusudi ya Kumsahau Mzee Mshume Kiyate! Ambaye tayari Juhudi za kumuenzi zilishafanyika!
Lakini pia ungeongelea Wazee wengine ambao Wamekosa hata heshima ya kupewa Mtaa ingawa mchango wao wa kupigania Uhuru ni adhimu!
Pili, Ningependa kuuliza kwanini wakati Ukiandika kitabu cha Maisha Mzee Sykes hukumhoji Mwalimu Nyerere angali alikuwa Hai na anapatikana? Maana kati ya watu waliokuwa karibu sana na Mzee Sykes ni Julius Nyerere.
Asante.
 
Mnabudehe,
Marahaba.

Nimejitahidi kuandika takriban historia ya wazalendo wengi walijitolea
katika TANU na kupigania uhuru.

Ukisoma kitabu cha Abdul Sykes utakutananao.

Nikufahamishe kuwa Abdul Sykes hakuwa mzee alifariki akiwana na umri
wa miaka 44.

Nimuhoji Nyerere kuhusu Abdul Sykes ili nipate kitu gani kwake?

Mimi sikuhitaji Nyerere kupata habari za Abdul Sykes kwani watu wengi
Dar es Salaam wakiijua historia ya Abdul Sykes na Nyerere mmojawapo
ni baba yangu.

Historia ya Abdul na Nyerere 1952 hadi kuunda TANU 1954 ilikuwa ni kitu
mashuhuri na kinafahamika na nyaraka za wakti ule nilikuwa nimezipata.

Historia iliyonitoa jasho ilikuwa ya Abdul alipokuwa vitani Burma (1942 - 1945)
kisha aliporudi Tanganyika 1947 na kuwa katika harakati za kuingia katika uongozi
wa TAA wakati baba yake yu hai na chama kipo katika uongozi wa baba yake
mkubwa Mwalimu Thomas Plantan kama president wa TAA na Clement
Mtamila
akiwa katibu hawa wote wakisubiana sana na baba yake.



Abdulwahid Sykes King's African Rifles (KAR) Burma Infantry
6th Battalion 1942 Second World War 1938 - 1945


Hiki ndicho kipindi Abdul aliongoza Dar es Salaam Dockworkers Union na migomo
iliyowatikisa sana Waingereza.

Kipindi hiki 1942 - 1947 ndicho kilikuwa, ''formative years,'' za Abdul na ndicho
kipindi kilichomsukuma kuingia katika uongozi wa TAA 1950.

Hiki kwangu mimi ndicho kipindi kilichokuwa kigumu sana katika utafiti kwani
nilitaka nikutane na watu ambao alikuwanao katika kuigeuza TAA kuwa chama
cha siasa.

Unaweza kusoma historia hii ya Abdul hapo chini bahati mbaya iko kwa Kiingereza:
Mohamed Said: The Book: Excerpts...Abdulwahid Sykes and Dar es Salaam Dockworkers’ Union, 1948 Part One

Sasa watu waliokuwa karibu na Abdul katika kipindi kile ni mdogo wake Ally, Dossa,
Tewa Said Tewa
na Islam Barakat aliyekuwa Labour Inspector.

Kwa hakika katika historia ya TANU kama Nyerere angekuwa na cha kunieleza ningekuwa
tayari nakijua.
 
Teh teh teh!

Hawa ndiyo wasomi wetu wamejaa serikalini na vyeti vyao feki.

Unaweza kukuta huyu anaongoza wizara.

Anakuwambia vita vya maji maji vilikuwa vya kikabila na Mangi wa Kibosho alipigania uhuru wa Tanganyika.
Huyo kitali atakuwa ana hasira za kudundwa na mumewe, msome: Mume wangu ananitesa
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
K
Sina uhakika sana ila kuna mahala nilisoma kwamba alikimbilia kigamboni.... Na kuna Mzee mmoja alimficha nyumban kwake.Mzee mohamed Nashukuru kwa historia nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
una kitabu ameandika aliyekua mlinzi wake mwalim nyerere anaitwa peter bwimbo ninacho anasema walitorokea kigamboni huyu mzee nazani saizi anapatikana kurasini dar es salaam
 
Huyo mlinzi alikuwa nae siku hizo tatu za kuondolewa madarakani na wanajeshi au na yeye kapiga porojo tu?
alikua nae uzuri huyu mzee yupo na mimi nimekisoma hiki kitabu kizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…