Pre GE2025 Miongoni mwa kosa kubwa watakalolifanya CCM ni kumpitisha Samia Hassan kuwa mgombea wa urais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Samia Suluhu 'Hassan'
Hussein Ali 'Hassan'
Mbona inafikirisha kidogo?
 
Jeshi likilidhiria anapita mbona?
Uzuri kwa nchi yetu Rais anawekwa madarakini na Jeshi siyo eti na wananchi kwenye sanduku la kura!
 
Mitazamo kinzani inapelekea kuitwa kila majina mabaya Mimi Sina CHAMA inshort.

Mama Samia sio mbaya kihivyo mnavyo taka kumu portray japo hakuna mkamilifu isipo kua mwenyezi Mungu pekee
Umeambiwa uorodheshe mambo tangible ambayo kayafanya tangu aingie madarakani umebaki kuimba ngonjera tu
 
Naunga mkono hoja

 
Kwani wewe ni mkwe ?
Pinga kwa hoja sio kwa chuki. Wewe hapo ulipo umefanya nini kabla aujahoji samia kafanya nini ?
Utakuta huna cha kuonesha kama mfano wa utendaji bora. Hivi nyie mnaopinga huku mitaani mnafanya nini la maana ? Ukiona Raisi hana cha maana alichofanya ina maana hata wananchi wa chini hakuna cha maana wanachofanya, nchi inaanza na wanachi.
Unalipa kodi sh ngapi ?
Hao maraisi mnaosema walifanya nini kikubwa ? Mbona umasikini upo vile vile awamu zote ?
Kuna awamu ambayo kila mtanzania alimudu chakula mavazi tiba makazi nk kwa 100% ?
 
Mbona unaniwekea Maneno mdomoni?
Nioneshe nilipoandika hayo madai yako hapa.
Mie nimekuuliza swali ni wewe kujibu tu maana ni rahisi mno.
 

Sasa imekuwa ni personal attacks tena ? 😆😆

Ukiwa mlafi usiwe mchoyo.
Ulete mada badała ya kujibu maswali una-panic , inamaana unataka sote tuwe Chawa wa kusifu na kuabudu ?
 
M
Sasa imekuwa ni personal attacks tena ? 😆😆

Ukiwa mlafi usiwe mchoyo.
Ulete mada badała ya kujibu maswali una-panic , inamaana unataka sote tuwe Chawa wa kusifu na kuabudu ?
Mie sio mwanachama wa chama chochote. Ni muumini wa facts. Ukisema SSH hajafanya chochote , je ni fact au sio fact. Nadhan mnaamini sana opinion kuliko fact. Ukiweka data kusapoti hoja nami ntaungana nanyi.
Kuhusu kuku attack sio lengo bali ni kukumbusha tu, kuwa nchi haijengwi na Raisi bali wananchi.
Ningewea kuungana nawe iwapo hoja ingekuwa SSH hasimamii vizuri kodi zetu japo ningehitaji data na mlinganisho na maraisi waliopita.
Thomas wa biblia alihitaji uthibitisho kuwa Yesu kafufuka vipi karne hii ya 21 tusihitaji uthibitisho
Bungeni kuna mbunge kasema kuna wodi wanalala wanaume, wanawake na watoto spika alimdai uthibitisho.
 


Sawa,
Mimi naamini katika fikra huru na kuruhusu kutofautiana kimtazamo ilimradi nia njema na dhamira njema na uadilifu viakisiwe kivitendo na kuwepo na consistency baina ya Maneno na matendo.
 
Umenena kweli kabisa. lakini umejinunulia ugomvi na mazwazwa pro SGR watakuja na mapambio ya kipuuzi.
 
Kipande (CCM) vs Wapinzani lazima ccm ishinde tuu.
Sure, hakuna kipya cha kushangaza. Hata Rais wako Samia, Nape, yule DC na wengine wengi kwenye huo ukoo wenu wanasema hivyo hivyo: ushindi wa CCM ni lazima, au sio?

Hivyo, usipoteze muda kutuletea mapicha picha ya "maendeleo" na takwimu fake kuipigia cheap propaganda CCM. Hata mkilala mwaka mzima ushindi ni lazima, na hata kuongeza: ushindi wa CCM hautegemei mungu kupenda, au sio?
 
Mimi binafsi kwenye uongozi wa SSH ukiniuliza kitu tangible alichofanikiwa kutuachia waTZ ni Royal Tour, Samia Stadium na Kizimkazi Festival, na hivyo vyote nyuma Yake vina ufisadi wa kutisha
Hapa namtetea.
1. Samia anamalizia kazi za JPM sababu amezirithi.

2. Hata kama angeingia kwa njia tofauti na kufariki kwa JPM, Kila raisi aliyekuja akiacha kuendeleza yaliyoachwa na wengine ili afanye yake mambo mengi yatabaki pending.

Swali: Kuna kazi alizoziacha JPM zimekufa sababu Samia kazitelekeza? Kama hakuna ile miradi haikuwa ya kitoto.
 
Mtu mzima kajivua nguo mwenyewe, mbaya zaidi hata CCM wenzake wanamshangaa kwa hotuba mbovu kiasi kile.
 
Hivi kumbe na wewe huwa una Akili? Big up broo Leo ndo nmeelewa maana ya msemo "usimkatie mtu tamaa"
 
Hoja zako ni nyepesi sana,labda kwa kukuhurumia tukununulie miwani itakayokuwezesha kuona mambo makubwa ambayo Mheshimiwa Samia ameyafanya tangu amekuwa raisi wa nchi hii,halafu tuhuna za hela za Mikopo kihamishiwa Zanzibar huo ni uwongo tena hata ushahidi huna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…