Pre GE2025 Miongoni mwa kosa kubwa watakalolifanya CCM ni kumpitisha Samia Hassan kuwa mgombea wa urais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi kwa akili yako kuna upinzani tz wa kuitoa ccm madarakani?kweli vichaa mko wengi,yaani hata ccm wakiweka kivuli watashinda tu
 
Mitazamo kinzani inapelekea kuitwa kila majina mabaya Mimi Sina CHAMA inshort.

Mama Samia sio mbaya kihivyo mnavyo taka kumu portray japo hakuna mkamilifu isipo kua mwenyezi Mungu pekee
Mimi siamini kama kwa asili yake, Rais Samia ni mbaya mpaka kufikia kiasi cha kufurahia watu kutekwa na kuuawa ili tu watu wasimkosoe.

Lakini nina uhakika kuwa ana udhaifu mkubwa, kiasi kwamba watu waovu asilia wametumia udhaifu wa Rais Samia, kufanya wanayoyataka,.na yeye amebakia wa kuburuzwa kuitikia mipango ya hao waovu.
 
Upo SAHIHI mkuu nakubaliana na wewe.
 
Mkuu ukiona Jina lake limepitishwa basi ujue ni Rais kwa awamu n̈yingine!
Hapo Jeshi na vyombo vya ulinzi na Usalama vinakuwa vimesharidhia! Kinachobaki ni kuiamrisha Tume Huru ya Uchaguzi ya Sa100 imtangaze kuwa Rais!
 
Ishu sio ni kipi kakifanya au hajafanya......

Sababu kuu kabisa kuwa huyu mama hafai na hatutaki aendelee kuwa kiongozi wetu ni hizi tatu kubwa:

1. Si Mtanganganyika bali ni Mzanzibari. Nchi anayoingoza ni Tanganyika. Hivi ni wapi duniani raia wa nchi nyingine anaweza kuwa kiongozi wa Taifa la watu wengine? Ni Tanganyika tu...

Tukatae upuuzi na ujinga huu...!!

2. Ni mwanamke. Nchi hii bado haijawa tayari kuwa na kiongozi wa jinsia ya kike ktk ngazi ya u - Rais kama kiongozi wa serikali, mkuu wa nchi na Amiri jeshi wa Majeshi yote ya Ulinzi na usalama. Ni hatari mno kuruhusu hili kutokea. Lilifanyika kosa mara moja ile, lisijorudie tena...

Wananchi tunataka Rais hata kama atatoka CCM lakini kamwe asiwe mwanamke....!

3. Juu ya yote hata kama asingekuwa na sifa hizo hapo juu, huyu hana uwezo wa kuiongoza nchi. Mpaka hapo alipo yeye ni Rais roboti au kivuli tu. Lakini wanaiongoza nchi ni majamaa (manaume) mengine tu, yako somewhere. Yeye ni rubber stamp tu wa maamuzi yao...!!
 


Mama keshapita... Tafuta sumu unywe.. ccm wana utaratibu wao .. nyie kaene na mbowe mpaka afe ..
 

Nimeuliza swali tu.
 
hao marais wanaume wamefanya nini cha maana we jingaloo
 
Reactions: Tui
Umeambiwa uorodheshe mambo tangible ambayo kayafanya tangu aingie madarakani umebaki kuimba ngonjera tu
yapo mengi sema wewe unajitoa ufahamu na unayaona sema chuki tu ndoo zimekujaa. yapo mengi mnoo ila tukiyasema mnapanua magoli
 
Reactions: Tui
kumbe we mjinga . kwahyo elimu sio maendeleo au. sasa hao marais waliopita walifanya nini cha mnoo . mbona ndo humo humo walipita kwenye elimu. afya barabara maji n. k au huyu mama mnachukia kwa chuki zenu binafsi tu?
 
Reactions: Tui
 
Kuna kashfa na ufisadi mkubwa utatokea na kuibuliwa baada ya yeye kumaliza kipindi chake,mtakuja kuniambia,muda ni shahidi
 
Kwanza samia ajiulize mwenyewe kama sio kifo cha jpm yeye angekua na nafasi gani kua rais wa nchi hii. Kwa uhakika yeye hakua chaguo la jpm kumrithi. Hakufiti kiitikadi kwa Magufuli kwa sera yake iliyojikita kwenye misingi ya ujamaa ya kujali maslahi ya umma na kujali wanyonge. Mama wala hana ujasiri uadilifu na uzalendo uliyoipaisha tanzania chini ya Magufuli. Samia ajitambue tu kama rais kwa katiba. Uzalendo wake utaonekana kwa kulisaidia taifa kupata kiongozi ajaye aina ya Magufuli. Akifanya hivyo atakumbukwa kwa heshima kubwa.
 
Hivi kwa akili yako kuna upinzani tz wa kuitoa ccm madarakani?kweli vichaa mko wengi,yaani hata ccm wakiweka kivuli watashinda tu
Kama kichwa chako unakishughulisha walau kidogo tuu, ungeweza kujiuliza kwa nini ccm inatumia hujuma, ukatili, hadaa na uongo pia wizi wa kura na njama za wazi kama inao uwezo wa kushinda?
Hilo jambo hata mtoto wa darasa la saba B anaweza ng'amua iweje we mtu mzima member wa JF unashindwa?
Ni kuwa hutumii kichwa kufikiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…