Ishu sio ni kipi kakifanya au hajafanya......
Sababu kuu kabisa kuwa huyu mama hafai na hatutaki aendelee kuwa kiongozi wetu ni hizi tatu kubwa:
1. Si Mtanganganyika bali ni Mzanzibari. Nchi anayoingoza ni Tanganyika. Hivi ni wapi duniani raia wa nchi nyingine anaweza kuwa kiongozi wa Taifa la watu wengine? Ni Tanganyika tu...
Tukatae upuuzi na ujinga huu...!!
2. Ni mwanamke. Nchi hii bado haijawa tayari kuwa na kiongozi wa jinsia ya kike ktk ngazi ya u - Rais kama kiongozi wa serikali, mkuu wa nchi na Amiri jeshi wa Majeshi yote ya Ulinzi na usalama. Ni hatari mno kuruhusu hili kutokea. Lilifanyika kosa mara moja ile, lisijorudie tena...
Wananchi tunataka Rais hata kama atatoka CCM lakini kamwe asiwe mwanamke....!
3. Juu ya yote hata kama asingekuwa na sifa hizo hapo juu, huyu hana uwezo wa kuiongoza nchi. Mpaka hapo alipo yeye ni Rais roboti au kivuli tu. Lakini wanaiongoza nchi ni majamaa (manaume) mengine tu, yako somewhere. Yeye ni rubber stamp tu wa maamuzi yao...!!