Katika jambo la kushangaza ni uholela wa stendi za mabasi ya abiria yanayofanya safari kati ya dar es salaam na mikoa mbali mbali nchini kuwa na vituo vyao binafsi tofaiti na kituo stahiki cha serikali cha magufuli kilichopo mbezi mwisho
Kwa wakazi wa dar kuanzia magomeni mpaka ubungo kuna utitiri wa vituo binafsi vya mabasi...yaani kila basi na kituo chake...je kwanini mabasi haya hayatumii kituo maalum kilichojengwa na serikali kwa mabiilioni ya shilingi???
Tatizo ni nini hasa, hivi kweli jiji linakuwa na vituo vya mabasi kila mahala bila kuzingatia mipango miji?
Kwanini wasingeimarisha usafiri kutoka stendi ya magufuli kwenda katikati ya mji badala ya kuruhusu utitiri huu wa stendi binafsi?? Kwa kweli inafikirisha na kushangaza.
HAkuna taifa lililopiga hatua kwa kuafuata matakwa ya wafanyabiashara wanaoangalia maslahi yao binafsi...lazima nchi ifuate utaratibu
Kama hayati angelikua hai asingekubaliana na utaratibu huu usiofuata mipango....
Hakuna mji au jiji duniani linalorushusu hali hii ni aibu na wahusika wanapaswa kujirekebisha haraka iwezekanvyo.