much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Kwani Lengo ni kukusanya mapato au kutoa huduma yaani umuumize mtu Toka chanika mpaka mbezi ili tu ukakusanye miatano mbezi?Ni kweli mkuu unakuta pale shekilango yamejazana yanasubiri abiria wakati kama wangeboresha miundombinu ya usafirishaji hawa abiria wote wangekua wanalipa mwendokasi mpaka Mbezi. Lakini pia ingeboresha mapato ya getini pale Magufuli stand.