Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Miji mikubwa ni lazima kuwe na taratibu na mipango Duniani kote ndio hivyo,kuweka Ofisi za mabasi kila mahala ni ujinga.
mbona treni tena ambayo wanapanda watu wa hali duni kabisa ambao hawawezi kulipa nauli za mabasi kituo kipo sehemu moja na watu hutokea maeneo mbalimbali kwenda kupanda.Mtu anatoka Mbagala kwenda station kupanda treni yenye nauli nafuu kuliko basi.
Ili uchumi ukue ni lazima kuwe na multiplier effect,kama mtu anasafiri ni jukumu lake kutafuta usafiri wa kumfikisha Mbezi.
Yani sa hv ukipita kuanzia pale ubungo mpaka Magomeni ni uchafu wa mabasi,utaratibu zero kabisa.tupo kwenye nchi ya vipofu viongozi zero brain wananchi sisi nao zero brain vilevile.
Tuache kutetea ujinga.