Mipango Miji: Kwanini kuna stendi holela za mabasi wakati kuna stendi ya Magufuli jijini Dar???

Ni kweli mkuu unakuta pale shekilango yamejazana yanasubiri abiria wakati kama wangeboresha miundombinu ya usafirishaji hawa abiria wote wangekua wanalipa mwendokasi mpaka Mbezi. Lakini pia ingeboresha mapato ya getini pale Magufuli stand.
Kwani Lengo ni kukusanya mapato au kutoa huduma yaani umuumize mtu Toka chanika mpaka mbezi ili tu ukakusanye miatano mbezi?
 
Kwani Lengo ni kukusanya mapato au kutoa huduma yaani umuumize mtu Toka chanika mpaka mbezi ili tu ukakusanye miatano mbezi?
Nilichomaanisha waboreshe miundombinu ya usafiri Magufuli stand ifikike kirahisi kwa raia, haya mabasi yasizagae mtaani kupakia abiria badala yake yakusanyike Magufuli stand. Hii nayo bado hujaelewa?
 
Nilichomaanisha waboreshe miundombinu ya usafiri Magufuli stand ifikike kirahisi kwa raia, haya mabasi yasizagae mtaani kupakia abiria badala yake yakusanyike Magufuli stand. Hii nayo bado hujaelewa?
Kwa mfano wewe ndo msafiri unatokea chanika na una mzigo na miundombinu ya mwendokasi imeboreshwa je kupandia basi chanika ukiwa na mzigo wako na kupanda mwendo Kasi ufike mbezi ndo upande basi utachagua Nini?
 
Kama msafiri always nitatetea upande wangu tu. Lakini kiuhalisia inatakiwa nipeleke mzigo wangu Chanika then mimi nitangulie stand na mwendokasi. Tusijaribu kuupaka paka rangi uzembe hapa kwa manufaa ya wasafiri peke yake. Ile stand ipo kwa ajili ya nini?
 
Kwani Lengo ni kukusanya mapato au kutoa huduma yaani umuumize mtu Toka chanika mpaka mbezi ili tu ukakusanye miatano mbezi?
Mtu ana mabasi matano yanaondoka siku moja ,magufuli patatosha kweli kila mmoja alete apaki mabasi yake pale.Magufuli ni terminal.sema sheria ingekuwa ni kwamba kila basi lazima liingie magufuli terminal.unajua Dar ilivyo Magufuli terminal iko nje ya mji.kuwaleta watu toka pande zote za Dar kuanzia mbagala na kigamboni mpaka magufuli ni mtihani mkubwa.wenye mabasi wameboresha kuwasogezea huduma wananchi karibu na walipo.ndiyo maana leo hii kuna mabasi yanayoanzia mbagala,chanika kigamboni nk.
 
Ilitakiwa ijengwe Stendi kubwa ya mabasi Mbagala, Gongo la mboto, Tegeta/Mwenge ingeboreshwa na Kigamboni.

Gari linatoka Kanda ya ziwa linaanza kushusha stendi ya magufuri mbezi, linakwenda kushusha Gongo la Mboto linapitia mvuti chanika Mbagala linakwenda kumalizia Kigamboni.

Maana haiwezekani Jiji lenye watu milioni Sita wahudumiwe na kastendi kamoja.

Mwanza yenyewe Ina stendi mbili
Nyamhongoro na Nyegezi.

Ila kama kawaida yetu, ni uzembe tu mpaka pale tatizo litakapo kuwa kubwa.
 
Na ndo Sheria inavyosema sema hawamachinga wa mahindi ya kuchoma wanamind sana
 
washenzi wale wanaochaji kumshusha au kupokea mgeni wako
nasikia huwa wanawachaji hata abiria wanaoingia kupanda basi
 
Wacheni wenye mabasi wasisumbuliwe kama wanalipa kodi.kama kampuni zenye ruti saba au zaidi zitapaki mabasi yao yote stand ya Magu,hiyo nafasi itatosha kweli?
 
Walichokifanya wenye mabasi ni sahihi na kilitakiwa kufanywa na serikali yenyewe kwa kila Province (Wilaya zote) kuwe na stand kubwa ili kuondolea abiria kero.

Ila kwa kuwa serikali yetu imejaa watu wabinafsi na wavivu kufikiri inapendaga kusababisha adha na mateso tu kwa raia. Mtu atoke Kisemvule hadi Magufuli stand, Mtu atoke Chanika hadi Magufuli Stand, Mtu atokee Kigamboni hadi Magufuli stand. That was a ridiculuos idea, stand inatakiwa iwe reachable with ease kwa raia wote.
 
Ulishawahi kuliona bus lolote lisiloingia kushusha au kupakia abiria stendi ya Magufuli?
 
Hii ndio solution ,
 
Ni kweli mkuu unakuta pale shekilango yamejazana yanasubiri abiria wakati kama wangeboresha miundombinu ya usafirishaji hawa abiria wote wangekua wanalipa mwendokasi mpaka Mbezi. Lakini pia ingeboresha mapato ya getini pale Magufuli stand.
Hamna bus terminals duniani ambayo raia analipia kuingia kwa kusindikiza au kupokea mgeni,unaofanyika hapo dar ni uzwazwa
 
Wewe utakuwa mmoja wa wale wanaowavizia abiria pale kwenye daraja ili wawatapeli tikiti, uchache wa abiria wa kuwatapeli unatokana na ukatishaji wa tikiti mtandaoni.
 
Orodha ya matusi unayoweza kutana nayo stendi pekeyake..

K nyoko
Fala
Mjinga
Kum nina
Kum la Mama

Watanzania wanawekeza stendi, Stendi kumbe unavyodhani uwekezaji wa matusi uwende wapi! - Ni dhambi kulitukana lakini Stendi sio dhambi
 
🎹🎹🎹🎹🎹🎹🎹🎷🎷🎷🎷🎺🎺🎺🎢🎢🎢
 
Orodha ya matusi unayoweza kutana nayo stendi pekeyake..

K nyoko
Fala
Mjinga
Kum nina
Kum la Mama

Watanzania wanawekeza stendi, Stendi kumbe unavyodhani uwekezaji wa matusi uwende wapi! - Ni dhambi kulitukana lakini Stendi sio dhambi..

Tuwekeze tulitukana. β„’β„’β„’β„’β„’πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…