Mipango yangu ya kutafuta TSH milioni 2+ ndani ya miezi 18

Mimi pia home sgd japo Kwa sasa nimetoka niko Mtwara ni kweli soko la ndoo lipo na majaba yale makubwa ya 20000 nikupe ushauri lakini kanunue vitu vya plastic Kwa madekenya upige hela ukauzie hasa vijiji vya njia ya manyara.
Mm nimechagua ndoo ili nikienda nazo nisizunguke zaidi ya miezi miwili ziishe wiki ina magulio 4 hivo zitaisha tu chap maana Mimi kazi yangu ni fundi electronics
 
Mkuu ofisi kama hii mpaka inakamilika imegharimu Tsh ngapi...?

Pongezi ziende kwa mama.
Kila kitu nimenunua kimoja kimoja mpaka mouse nilinunua kivyake mpaka waya cable

Hivo ni mpaka tupige hesabu ila tu kiujumla inakaribia 2 m. Maana ofisi yangu inanitrgemea Mimi zaidi kuliko VIFAA
 
Kila kitu nimenunua kimoja kimoja mpaka mouse nilinunua kivyake mpaka waya cable

Hivo ni mpaka tupige hesabu ila tu kiujumla inakaribia 2 m. Maana ofisi yangu inanitrgemea Mimi zaidi kuliko VIFAA
Shukran sana mkuu kwa mchanganuo wako
 
Sawa nitaanza kulifanyia kazi maana Leo pia kuna mtu kaniitia hizo dumu zipo 15 na ananiuzia kila dumu 2000 ila sijapata pesa ntazifuata tu asante.
Dumu ukinunu elfu 2, hutapata faida. Usikurupuke
 
Ngoja niichukue hii Idea nijaribu kupambana nayo kwa kutumia kamshahara AHSANTE MKUU kuna mtu aliwahi kunipa hii idea kipind fln hasa madumu na galoni
 
Sawa nitaanza kulifanyia kazi maana Leo pia kuna mtu kaniitia hizo dumu zipo 15 na ananiuzia kila dumu 2000 ila sijapata pesa ntazifuata tu asante.
Tandika izo dumu buku jero Kama upo Dar naenda tandika
 
Duh nimejikuta napata woga sana
Ila anyway keep up
Bro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…