Mipango yangu ya kutafuta TSH milioni 2+ ndani ya miezi 18

Mipango yangu ya kutafuta TSH milioni 2+ ndani ya miezi 18

Ushauri tu kuweka hela kwenye sabufa acha mkuu kuna mambo yasiyozuilika yanaweza kukurudisha nyuma
Ushauri wangu fungua fixed ac bank kisha weka hela yako naamin itakuwa salama zaid .
Yote kwa yote kila la kheri mkuu
 
Ikiwa kila ndoo utapata faida ghafi ya sh 2000 ina maana kwa ndoo 20 utapata faida ya sh 40,000 kwa mwezi. Hapo kuna gharama za usafiri mpaka kufika unako ziuza. Na pia kuna gharama nyingine kama chakula, usambazaji, ushuru na nyinginezo. Ukiiweka vyema ni biashara nzuri. Pia utahitaji kuweka mtaji kwa ajili ya kununulia hata kama unautoa kwenye kazi ufanyayo kwa sasa.
 
Nina mke na mtoto mmoja nimejenga na ninampango kabla ya mwaka kuisha niongeze mke wa pili na kujenga nyumba nyengine...
Hii nyumba nyengine kujenga ni lazima hata nisipoongeza mke
Kupanga ni kuchagua
Nina mke na watoto wawili pia bado nimepanga
 
Back
Top Bottom