Ikiwa kila ndoo utapata faida ghafi ya sh 2000 ina maana kwa ndoo 20 utapata faida ya sh 40,000 kwa mwezi. Hapo kuna gharama za usafiri mpaka kufika unako ziuza. Na pia kuna gharama nyingine kama chakula, usambazaji, ushuru na nyinginezo. Ukiiweka vyema ni biashara nzuri. Pia utahitaji kuweka mtaji kwa ajili ya kununulia hata kama unautoa kwenye kazi ufanyayo kwa sasa.