nkuwi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 4,806
- 5,347
nimepita pale juzi hamna gari hata moja na vibanda vyote hakuna hata kimoja kimefunguliwa, huu ni upuuzi fedha za serikali zimepotea bure hapo, na hata ile stendi ndogo napo hamna kitu aiseee, ukifika hapo unatamani uoneshwa kaburi la magufuli ukalipige moto.Stand ya Mabasi Chato,Arusha au Mbeya hakuna Stand kama hii View attachment 2871788