Miradi hii ilipelekwa Chato. Kila Rais akipendelea kwao kama Hayati Magufuli Tanzania itaendelea kuwepo?

Sasa si ndio kazi iliyowaweka mjini.. bila uchawa huendi chooni.. sisi wapandanaji muda huu nachomewa paja la mbuzi nishushie na saint anne.. sijageuzwa mtumwa wa kupambania watawala.
Hapo ndipo upumbavu wenu ulipo.Mbona Mimi nafanya yote haya Kwa mapenzi binafsi Kwa Serikali ya Samia na hanijui Wala simjui.

Mbona na wewe unatukana ,huo ndio uchawa wako? 😂😂

Nimekataa kutukana Sasa nasifia Mazuri kama wewe ulivyokataa kusifia Mazuri umechagua kutukana.
 
Upendeleo wa hivi hautakiwi na ikomeshwe mara Moja maana ni hatari kwa mstakabali wa umoja wa kitaifa.

Chato peke yake kulikuwa na miradi zaidi ya 14 mikubwa mikubwa Kama ifuatavyo

1. Miradi wa Kiwanja Cha Ndege Chato
2. Mradi wa Maktaba ya Kanda ya Ziwa-Chato
3. Mradi wa Chuo Kikuu Chato-Tawi la Udsm
3. Mradi wa Tawi la Chuo Cha Fedha na Mipango Chato
4. Mradi wa Hoteli ya Nyota 3 Chato
5. Mradi wa Kuunda Hifadhi Mpya ya Taifa Burigi Chato
5. Mradi wa Hospitali ya Kanda Chato
6. Mradi wa Standi Kuu ya Hadhi ya Kanda Chato
7. Mradi wa Soko la Samaki la Kanda Chato
8. Mradi wa Barabara ya lami Chato
9. Mradi wa Gati la Nyamirembe Chato
10. Mradi wa Shule Maalumu ya Mkoa Chato
11. Mradi wa Majengo ya Makazi ya Watumishi NHC Chato.
12.Mradi wa Chuo Kikuu Huria Tawi la Chato.
13.Tawi la Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete
14.Mradi wa Chuo Kikubwa Cha VETA

Hiyo ni Baadhi tuu ya Miradi mikubwa kati ya maelfu ya miradi ambayo bwana yule alijipendelea kwenye Kijiji chake Kwa kutumia Rasilimali za Nchi Kuleta upendeleo wa kimaeneo kinyume na kiapo chake.
View attachment 2871785View attachment 2871795View attachment 2871796View attachment 2871797

My Take
Wakati mwingine tuwe tunachunguza rekodi za watu (vetting) kabla ya kuwafanya viongozi wa Nchi maana wanaweza kuja kuleta taharuki kubwa.

View: https://www.instagram.com/p/Cz_Xq2RN0dL/?igsh=YW9pdTMzbTZ0ajViView attachment 2871794

Mungu alijuwa Magufuli anaharibu nchi akaamua kusahihisha makosa yaliyofanywa na Kikwette na CCM yake. Akamtupa jehanam. Endelea kuungua na moto Magufuli
 
Wewe ni mjinga,kwani tunajadili nini hapa? Si hoja ya Chato? Hiyo umeweka ni attachment ya Chato na sio Wilaya nyingine.

Wewe ndio una mtindio wa ubongo,onyesha hapa miradi mikubwa Nje ya Chato
Kwenye screenshot umeshakiri kwamba kuna miradi ipo, sasa hivi unageuka unasema nikuonyeshe miradi nje ya Chato, kama sio bipolar ni nini? Kaa mbali na mimi taahira mmoja
 
IMG_2602.jpeg

Bipolar is real 😊
 
Wewe ndio kummer,Sasa kama kabla mlikuwa hamuumizwi maji Kwa Sasa yameenda wapi kama mlifikishiwa? 😁😁

Kama humkufikishiwa mnamlaumu nani Sasa,si muendelee kumsifia marehemu?

Uzuri ni kwamba Serikali haitegemei kura za watu wa Mjini na pia Huwa hampigi kura.

On top of that,wakati Serikali inasema ianze kuwakata tozo za miamala ilete maji mjini na Vijijini waliokuwa wa kwanza kupinga na kutukana ni watu wa Dar just kama inavyofanya Sasa.

Haya Sasa chagueni kina Boni yai uone kama watawaletea maji 😁😁😁😂😂😂🤪

Mwisho ulisema huoni juhudi za serikali na kwamba watu wanalingia tuu ofisini kula salary utakuwa na shida kubwa sana kichwani,Tanzania hii sio ubongo tuu sehemu zingine hata maji ya mitaroni hayapo na kama ulitegemea miaka 64 hamjaletewa maji ndio Samia aje kuwafikishia maji Kila mtaa utakuwa mpumbavu.

Mwisho watapiga kura Hawa hapa ,nyie wa Mji ya mitaro endeleeni kutumia na mkome zaidi ,Huwa nafurahi sana watu wa Dar mkipata shida manaa nyie kima kima Kila kitu Huwa mnapinga ,safi sana 😂😂👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DCpFcodIasq/?igsh=MWRzdDFnYWk2MmpibA==

Huoni juhudi za Serikali au siyo? 🤪🤪👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DCo4F8FPJZx/?igsh=MmxwbmpseDVkeHAx

Nitazidi kukukwera na kazi ya kukera naijua kweli kweli

Maelezo meeengi halafu ni upuuzi mtupu...!!

Hivi kwanza unajua unachokisema??

Yaani..",wakati Serikali inasema ianze kuwakata tozo za miamala ilete maji mjini na Vijijini waliokuwa wa kwanza kupinga na kutukana ni watu wa Dar just kama inavyofanya Sasa".

Kwamba hizo tozo zilizoanzishwa kiholela holela ndio za kufanikisha huduma ya maji??? Yaani hata Aibu hauoni kubwa Jinga wewe?

Kwahiyo kwa sababu kwa miaka 64 watangulizi wake wameshindwa kabisa kutatua tatizo la huduma ya maji likaisha, basi ni sahihi tu na huyo bibi yako kuendeleza failure ya serikali zilizopita??

Watumishi wa DAWASCO wameshapelekewa sana malalamiko na wakazi wa ubungo lakini hakuna kinachofanyika, halafu wewe unakuja na utetezi usiokuwa na kichwa Wala miguu,?.... Ndio maana tunasema CCM ni cancer kwa taifa hili na mnatakiwa muondoke kabisa kwenye ngazi zote za uongozi hili tuliponye hili taifa.
 
Tozo zipi zilizoanzishwa kiholela? Nitajie hizo tozo.

Mwisho muendelee kukoma.hivyo hivyo,kupelekewa malalamiko dawasa ndio hela? Watumie salary Yao? Wacha ujinga Hadi utakokubali kulipa tozo,mkome hivyo hivyo na chama kitashinda 😂😂
 
Wewe ni mjinga na mkoswa akili kabisa hujui tu....!! Kiufupi nyie machawa huwa ni wapumbafuu sana na hamnaga hoja, yaani nchi hii leo hii imekuwa ya kutegemea tozo ndio zinendeshe miradi ya huduma muhimu? Na kushinda labda mtumie vufaru kama kawaida yenu
 
Wewe ni mpumbavu na fala,ukitaka Nchi iendeshe miradi Kwa kutegemea makamasi Yako au?

Huna hoja,kunyweni matope hadi mtakapokubali kuanza kulipa tozo za miamala,mnabwabwaja wakati watu wa Vijijini miaka yote wanapata hizo shida pumbavu.

Jua lingeongezeka Ili mpate akili,sisi Mkoani mambo ni 🔥🔥
 
Upendeleo wa hivi hautakiwi na ikomeshwe mara Moja maana ni hatari kwa mstakabali wa umoja wa kitaifa.

Chato peke yake kulikuwa na miradi zaidi ya 14 mikubwa mikubwa Kama ifuatavyo

1. Miradi wa Kiwanja Cha Ndege Chato
2. Mradi wa Maktaba ya Kanda ya Ziwa-Chato
3. Mradi wa Chuo Kikuu Chato-Tawi la Udsm
3. Mradi wa Tawi la Chuo Cha Fedha na Mipango Chato
4. Mradi wa Hoteli ya Nyota 3 Chato
5. Mradi wa Kuunda Hifadhi Mpya ya Taifa Burigi Chato
5. Mradi wa Hospitali ya Kanda Chato
6. Mradi wa Standi Kuu ya Hadhi ya Kanda Chato
7. Mradi wa Soko la Samaki la Kanda Chato
8. Mradi wa Barabara ya lami Chato
9. Mradi wa Gati la Nyamirembe Chato
10. Mradi wa Shule Maalumu ya Mkoa Chato
11. Mradi wa Majengo ya Makazi ya Watumishi NHC Chato.
12.Mradi wa Chuo Kikuu Huria Tawi la Chato.
13.Tawi la Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete
14.Mradi wa Chuo Kikubwa Cha VETA

Hiyo ni Baadhi tuu ya Miradi mikubwa kati ya maelfu ya miradi ambayo bwana yule alijipendelea kwenye Kijiji chake Kwa kutumia Rasilimali za Nchi Kuleta upendeleo wa kimaeneo kinyume na kiapo chake.
View attachment 2871785View attachment 2871795View attachment 2871796View attachment 2871797

My Take
Wakati mwingine tuwe tunachunguza rekodi za watu (vetting) kabla ya kuwafanya viongozi wa Nchi maana wanaweza kuja kuleta taharuki kubwa.

View: https://www.instagram.com/p/Cz_Xq2RN0dL/?igsh=YW9pdTMzbTZ0ajViView attachment 2871794

Sasa tatizo lilikuwa wapi, kwani yote haya si ni maendeleo ya taifa au wewe ulitaka DSM tu iendelee?
 
Back
Top Bottom