Miradi hii ilipelekwa Chato. Kila Rais akipendelea kwao kama Hayati Magufuli Tanzania itaendelea kuwepo?

Utakuwa unaumwa wewe! Unaokota habari uko unakuja kupaste tu huku! Wilaya gani haikuwa na mradi wa stand au soko kipindi cha mwendazake?
Naokota habari kutoka wapi? Hizo ni habari kutoka vyanzo rasmi vya Serikali mfano sites za chama,Wizara nk.
 
Upendeleo wa hivi hautakiwi na ikomeshwe mara Moja maana ni hatari kwa mstakabali wa umoja wa kitaifa.

Chato peke yake kulikuwa na miradi zaidi ya 14 mikubwa mikubwa Kama ifuatavyo

1.Miradi wa Kiwanja Cha Ndege Chato
2.Mradi wa Maktaba ya Kanda ya Ziwa-Chato
3.Mradi wa Chuo Kikuu Chato-Tawi la Udsm
3.Mradi wa Tawi la Chuo Cha Fedha na Mipango Chato
4.Mradi wa Hoteli ya Nyota 3 Chato
5.Mradi wa Kuunda Hifadhi Mpya ya Taifa Burigi Chato
5.Mradi wa Hospitali ya Kanda Chato
6.Mradi wa Standi Kuu ya Hadhi ya Kanda Chato
7.Mradi wa Soko la Samaki la Kanda Chato
8.Mradi wa Barabara ya lami Chato
9.Mradi wa Gati la Nyamirembe Chato
10.Mradi wa Shule Maalumu ya Mkoa Chato
11.Mradi wa Majengo ya Makazi ya Watumishi NHC Chato

Hiyo ni Baadhi tuu ya Miradi mikubwa kati ya maelfu ya miradi ambayo bwana yule alijipendelea kwenye Kijiji chake Kwa kutumia Rasilimali za Nchi Kuleta upendeleo wa kimaeneo kinyume na kiapo chake.
View attachment 2871785View attachment 2871795View attachment 2871796View attachment 2871797

My Take
Wakati mwingine tuwe tunachunguza rekodi za watu (vetting) kabla ya kuwafanya viongozi wa Nchi maana wanaweza kuja kuleta taharuki kubwa.

View: https://www.instagram.com/p/Cz_Xq2RN0dL/?igsh=YW9pdTMzbTZ0ajViView attachment 2871794

Utulie kama huna pakula! Sasa ni zamu ya Kizimkaz…
 
Kwaiyo hiyo miradi inamilikiwa na familia ya Magufuli au serikali?
 
Upendeleo maana yake ni kumpa fursa mtu asiyestahili na kuwaacha wengine wanaostahili.

Hebu, nisaidie; Vitu hivyo havikustahili kuwa located hapo? Je, Maeneo mengine katika utawala wake hakuna miradi iliyokwenda?

Vyote hivyo vingekamilika, je wanufaika wangekuwa ni watu wa Chato tu?
Uchawa nao ni kazi,sasa hivi Mama Yao anaijenga Zanzibar kwa kasi ila hawaioni!
 
Upendeleo wa hivi hautakiwi na ikomeshwe mara Moja maana ni hatari kwa mstakabali wa umoja wa kitaifa.

Chato peke yake kulikuwa na miradi zaidi ya 14 mikubwa mikubwa Kama ifuatavyo

1.Miradi wa Kiwanja Cha Ndege Chato
2.Mradi wa Maktaba ya Kanda ya Ziwa-Chato
3.Mradi wa Chuo Kikuu Chato-Tawi la Udsm
3.Mradi wa Tawi la Chuo Cha Fedha na Mipango Chato
4.Mradi wa Hoteli ya Nyota 3 Chato
5.Mradi wa Kuunda Hifadhi Mpya ya Taifa Burigi Chato
5.Mradi wa Hospitali ya Kanda Chato
6.Mradi wa Standi Kuu ya Hadhi ya Kanda Chato
7.Mradi wa Soko la Samaki la Kanda Chato
8.Mradi wa Barabara ya lami Chato
9.Mradi wa Gati la Nyamirembe Chato
10.Mradi wa Shule Maalumu ya Mkoa Chato
11.Mradi wa Majengo ya Makazi ya Watumishi NHC Chato

Hiyo ni Baadhi tuu ya Miradi mikubwa kati ya maelfu ya miradi ambayo bwana yule alijipendelea kwenye Kijiji chake Kwa kutumia Rasilimali za Nchi Kuleta upendeleo wa kimaeneo kinyume na kiapo chake.
View attachment 2871785View attachment 2871795View attachment 2871796View attachment 2871797

My Take
Wakati mwingine tuwe tunachunguza rekodi za watu (vetting) kabla ya kuwafanya viongozi wa Nchi maana wanaweza kuja kuleta taharuki kubwa.

View: https://www.instagram.com/p/Cz_Xq2RN0dL/?igsh=YW9pdTMzbTZ0ajViView attachment 2871794

Hiyo maktaba ya kanda nani watasoma vitabu hivyo huko chato, labda ng'ombe na punda. Zile taa za barabarani chato zinaongoza punda na ng'ombe.
 
Kiximkazi hajipendelei kifala kama huyo ndio maana nikikwambia taja mradi wa upendeleo huko kiximkazi jibu huna.
Fedha wanazoendeshea miradi sasa hivi zinatoka wapi kama siyo Tanganyika?
Subiri kivumbi mwaka huu,Mama yenu ataondolewa kwenye kiti kwa aibu kubwa sana!
 
Hiyo maktaba ya kanda nani watasoma vitabu hivyo huko chato, labda ng'ombe na punda. Zile taa za barabarani chato zinaongoza punda na ng'ombe.
Kamuulizeni Mwendazake na Machawa wake wapo humu
 
Upendeleo wa hivi hautakiwi na ikomeshwe mara Moja maana ni hatari kwa mstakabali wa umoja wa kitaifa.

Chato peke yake kulikuwa na miradi zaidi ya 14 mikubwa mikubwa Kama ifuatavyo

1.Miradi wa Kiwanja Cha Ndege Chato
2.Mradi wa Maktaba ya Kanda ya Ziwa-Chato
3.Mradi wa Chuo Kikuu Chato-Tawi la Udsm
3.Mradi wa Tawi la Chuo Cha Fedha na Mipango Chato
4.Mradi wa Hoteli ya Nyota 3 Chato
5.Mradi wa Kuunda Hifadhi Mpya ya Taifa Burigi Chato
5.Mradi wa Hospitali ya Kanda Chato
6.Mradi wa Standi Kuu ya Hadhi ya Kanda Chato
7.Mradi wa Soko la Samaki la Kanda Chato
8.Mradi wa Barabara ya lami Chato
9.Mradi wa Gati la Nyamirembe Chato
10.Mradi wa Shule Maalumu ya Mkoa Chato
11.Mradi wa Majengo ya Makazi ya Watumishi NHC Chato

Hiyo ni Baadhi tuu ya Miradi mikubwa kati ya maelfu ya miradi ambayo bwana yule alijipendelea kwenye Kijiji chake Kwa kutumia Rasilimali za Nchi Kuleta upendeleo wa kimaeneo kinyume na kiapo chake.
View attachment 2871785View attachment 2871795View attachment 2871796View attachment 2871797

My Take
Wakati mwingine tuwe tunachunguza rekodi za watu (vetting) kabla ya kuwafanya viongozi wa Nchi maana wanaweza kuja kuleta taharuki kubwa.

View: https://www.instagram.com/p/Cz_Xq2RN0dL/?igsh=YW9pdTMzbTZ0ajViView attachment 2871794

Upumbavu ni nini?
Upumbavu ni ile hali ya kuendelea kupambana na matehemu ambaye hawezi kujitetea.
 
Kwaiyo hiyo miradi inamilikiwa na familia ya Magufuli au serikali?
Kulikuwa hakuna sababu ya Kupeleka miradi huko Kijijini ambayo haina maana Kwa Nchi Wala wanakijiji.

Pia ni matumizi mabaya ya Rasilimali za Nchi linapokuja swala la vipaombele.

Mwisho upendeleo ni hatari kwa mstakabali wa umoja wa kitaifa
 
kijijini kwa nyokooo si mlisema tena hajafanya lolote

Back
Top Bottom