ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #21
Naokota habari kutoka wapi? Hizo ni habari kutoka vyanzo rasmi vya Serikali mfano sites za chama,Wizara nk.Utakuwa unaumwa wewe! Unaokota habari uko unakuja kupaste tu huku! Wilaya gani haikuwa na mradi wa stand au soko kipindi cha mwendazake?
Utulie kama huna pakula! Sasa ni zamu ya Kizimkaz…Upendeleo wa hivi hautakiwi na ikomeshwe mara Moja maana ni hatari kwa mstakabali wa umoja wa kitaifa.
Chato peke yake kulikuwa na miradi zaidi ya 14 mikubwa mikubwa Kama ifuatavyo
1.Miradi wa Kiwanja Cha Ndege Chato
2.Mradi wa Maktaba ya Kanda ya Ziwa-Chato
3.Mradi wa Chuo Kikuu Chato-Tawi la Udsm
3.Mradi wa Tawi la Chuo Cha Fedha na Mipango Chato
4.Mradi wa Hoteli ya Nyota 3 Chato
5.Mradi wa Kuunda Hifadhi Mpya ya Taifa Burigi Chato
5.Mradi wa Hospitali ya Kanda Chato
6.Mradi wa Standi Kuu ya Hadhi ya Kanda Chato
7.Mradi wa Soko la Samaki la Kanda Chato
8.Mradi wa Barabara ya lami Chato
9.Mradi wa Gati la Nyamirembe Chato
10.Mradi wa Shule Maalumu ya Mkoa Chato
11.Mradi wa Majengo ya Makazi ya Watumishi NHC Chato
Hiyo ni Baadhi tuu ya Miradi mikubwa kati ya maelfu ya miradi ambayo bwana yule alijipendelea kwenye Kijiji chake Kwa kutumia Rasilimali za Nchi Kuleta upendeleo wa kimaeneo kinyume na kiapo chake.
View attachment 2871785View attachment 2871795View attachment 2871796View attachment 2871797
My Take
Wakati mwingine tuwe tunachunguza rekodi za watu (vetting) kabla ya kuwafanya viongozi wa Nchi maana wanaweza kuja kuleta taharuki kubwa.
View: https://www.instagram.com/p/Cz_Xq2RN0dL/?igsh=YW9pdTMzbTZ0ajViView attachment 2871794
Yaweke hapa mbona ya Chato Yako wazi?Hujaona yanayoendelea kizimkazi au uchawa tu unakusumbua?
Kiximkazi hajipendelei kifala kama huyo ndio maana nikikwambia taja mradi wa upendeleo huko kiximkazi jibu huna.Utulie kama huna pakula! Sasa ni zamu ya Kizimkaz…
Tudili na aliyekuwepo chuki yako kwa marehemu kama ulikuwa na vyeti feki au ulikuwa na mrija wa kula pesa serikalini jpm akaukata haitakusaidia kitu hata huyo samia unayemsifia aliletwa na jpm hawezi kuwa kama hivyo!Stand ya Mabasi Chato,Arusha au Mbeya hakuna Stand kama hii View attachment 2871788
Kwaiyo hiyo miradi inamilikiwa na familia ya Magufuli au serikali?Upendeleo wa hivi hautakiwi na ikomeshwe mara Moja maana ni hatari kwa mstakabali wa umoja wa kitaifa.
Chato peke yake kulikuwa na miradi zaidi ya 14 mikubwa mikubwa Kama ifuatavyo
1.Miradi wa Kiwanja Cha Ndege Chato
2.Mradi wa Maktaba ya Kanda ya Ziwa-Chato
3.Mradi wa Chuo Kikuu Chato-Tawi la Udsm
3.Mradi wa Tawi la Chuo Cha Fedha na Mipango Chato
4.Mradi wa Hoteli ya Nyota 3 Chato
5.Mradi wa Kuunda Hifadhi Mpya ya Taifa Burigi Chato
5.Mradi wa Hospitali ya Kanda Chato
6.Mradi wa Standi Kuu ya Hadhi ya Kanda Chato
7.Mradi wa Soko la Samaki la Kanda Chato
8.Mradi wa Barabara ya lami Chato
9.Mradi wa Gati la Nyamirembe Chato
10.Mradi wa Shule Maalumu ya Mkoa Chato
11.Mradi wa Majengo ya Makazi ya Watumishi NHC Chato
Hiyo ni Baadhi tuu ya Miradi mikubwa kati ya maelfu ya miradi ambayo bwana yule alijipendelea kwenye Kijiji chake Kwa kutumia Rasilimali za Nchi Kuleta upendeleo wa kimaeneo kinyume na kiapo chake.
View attachment 2871785View attachment 2871795View attachment 2871796View attachment 2871797
My Take
Wakati mwingine tuwe tunachunguza rekodi za watu (vetting) kabla ya kuwafanya viongozi wa Nchi maana wanaweza kuja kuleta taharuki kubwa.
View: https://www.instagram.com/p/Cz_Xq2RN0dL/?igsh=YW9pdTMzbTZ0ajViView attachment 2871794
Mwambie Mama yenu akabomoe!Upendeleo wa namna hii haukubaliki ni hatari kwa Ustawi wa Nchi.
View: https://www.instagram.com/p/C0BkEw6NpqS/?igsh=dG43a3g1bDkzdGtt
Pesa za shamba la bibi Tanganyika zinateketea hukoYule jamaa alikuwa mpuuzi. Na upuuzi huo naona umeigwa na Kizimkazi pia.
Sasa hivi Zanzibar mpk ajengo ya zanahanati yanabadilishwa kuwa maghorofa.
Nchi yenye bajeti ya trilioni 2.3 kwa mwaka lkn inafanya miradi ya trilioni 10.
Uchawa nao ni kazi,sasa hivi Mama Yao anaijenga Zanzibar kwa kasi ila hawaioni!Upendeleo maana yake ni kumpa fursa mtu asiyestahili na kuwaacha wengine wanaostahili.
Hebu, nisaidie; Vitu hivyo havikustahili kuwa located hapo? Je, Maeneo mengine katika utawala wake hakuna miradi iliyokwenda?
Vyote hivyo vingekamilika, je wanufaika wangekuwa ni watu wa Chato tu?
Hiyo maktaba ya kanda nani watasoma vitabu hivyo huko chato, labda ng'ombe na punda. Zile taa za barabarani chato zinaongoza punda na ng'ombe.Upendeleo wa hivi hautakiwi na ikomeshwe mara Moja maana ni hatari kwa mstakabali wa umoja wa kitaifa.
Chato peke yake kulikuwa na miradi zaidi ya 14 mikubwa mikubwa Kama ifuatavyo
1.Miradi wa Kiwanja Cha Ndege Chato
2.Mradi wa Maktaba ya Kanda ya Ziwa-Chato
3.Mradi wa Chuo Kikuu Chato-Tawi la Udsm
3.Mradi wa Tawi la Chuo Cha Fedha na Mipango Chato
4.Mradi wa Hoteli ya Nyota 3 Chato
5.Mradi wa Kuunda Hifadhi Mpya ya Taifa Burigi Chato
5.Mradi wa Hospitali ya Kanda Chato
6.Mradi wa Standi Kuu ya Hadhi ya Kanda Chato
7.Mradi wa Soko la Samaki la Kanda Chato
8.Mradi wa Barabara ya lami Chato
9.Mradi wa Gati la Nyamirembe Chato
10.Mradi wa Shule Maalumu ya Mkoa Chato
11.Mradi wa Majengo ya Makazi ya Watumishi NHC Chato
Hiyo ni Baadhi tuu ya Miradi mikubwa kati ya maelfu ya miradi ambayo bwana yule alijipendelea kwenye Kijiji chake Kwa kutumia Rasilimali za Nchi Kuleta upendeleo wa kimaeneo kinyume na kiapo chake.
View attachment 2871785View attachment 2871795View attachment 2871796View attachment 2871797
My Take
Wakati mwingine tuwe tunachunguza rekodi za watu (vetting) kabla ya kuwafanya viongozi wa Nchi maana wanaweza kuja kuleta taharuki kubwa.
View: https://www.instagram.com/p/Cz_Xq2RN0dL/?igsh=YW9pdTMzbTZ0ajViView attachment 2871794
Sio mpumbavu kama yule aliyebomoa jengo la Tanesco.Mwambie Mama yenu akabomoe!
Fedha wanazoendeshea miradi sasa hivi zinatoka wapi kama siyo Tanganyika?Kiximkazi hajipendelei kifala kama huyo ndio maana nikikwambia taja mradi wa upendeleo huko kiximkazi jibu huna.
Kamuulizeni Mwendazake na Machawa wake wapo humuHiyo maktaba ya kanda nani watasoma vitabu hivyo huko chato, labda ng'ombe na punda. Zile taa za barabarani chato zinaongoza punda na ng'ombe.
Ni mpumbavu ndiyo maana anadanganywa na washamba kama akina Mwigulu.Tulia mwaka huu amalizi Samia akiwa Rais!Sio mpumbavu kama yule aliyebomoa jengo la Tanesco.
Upumbavu ni nini?Upendeleo wa hivi hautakiwi na ikomeshwe mara Moja maana ni hatari kwa mstakabali wa umoja wa kitaifa.
Chato peke yake kulikuwa na miradi zaidi ya 14 mikubwa mikubwa Kama ifuatavyo
1.Miradi wa Kiwanja Cha Ndege Chato
2.Mradi wa Maktaba ya Kanda ya Ziwa-Chato
3.Mradi wa Chuo Kikuu Chato-Tawi la Udsm
3.Mradi wa Tawi la Chuo Cha Fedha na Mipango Chato
4.Mradi wa Hoteli ya Nyota 3 Chato
5.Mradi wa Kuunda Hifadhi Mpya ya Taifa Burigi Chato
5.Mradi wa Hospitali ya Kanda Chato
6.Mradi wa Standi Kuu ya Hadhi ya Kanda Chato
7.Mradi wa Soko la Samaki la Kanda Chato
8.Mradi wa Barabara ya lami Chato
9.Mradi wa Gati la Nyamirembe Chato
10.Mradi wa Shule Maalumu ya Mkoa Chato
11.Mradi wa Majengo ya Makazi ya Watumishi NHC Chato
Hiyo ni Baadhi tuu ya Miradi mikubwa kati ya maelfu ya miradi ambayo bwana yule alijipendelea kwenye Kijiji chake Kwa kutumia Rasilimali za Nchi Kuleta upendeleo wa kimaeneo kinyume na kiapo chake.
View attachment 2871785View attachment 2871795View attachment 2871796View attachment 2871797
My Take
Wakati mwingine tuwe tunachunguza rekodi za watu (vetting) kabla ya kuwafanya viongozi wa Nchi maana wanaweza kuja kuleta taharuki kubwa.
View: https://www.instagram.com/p/Cz_Xq2RN0dL/?igsh=YW9pdTMzbTZ0ajViView attachment 2871794
Kulikuwa hakuna sababu ya Kupeleka miradi huko Kijijini ambayo haina maana Kwa Nchi Wala wanakijiji.Kwaiyo hiyo miradi inamilikiwa na familia ya Magufuli au serikali?
kwani chato hakuna watu wewe ni mwendawazimu kabisa Kanye ulaleTukianza huo mchezo Kwa kisingizio Cha mcheza kwao unadhani kutakuwa na Tanzania?
Kulikuwa hakuna sababu ya Kupeleka miradi huko Kijijini ambayo haina maana Kwa Nchi Wala wanakijiji.
Pia ni matumizi mabaya ya Rasilimali za Nchi linapokuja swala la vipaombele.
Mwisho upendeleo ni hatari kwa mstakabali wa umoja wa kitaifa
Ni upumbavu kabisa Mkuu.Kupambana na marehemu ni aina nyengine ya ukichaa