Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
wewe ni soga linakandiwa nyumaaaaasKulikuwa hakuna sababu ya Kupeleka miradi huko Kijijini ambayo haina maana Kwa Nchi Wala wanakijiji.
Pia ni matumizi mabaya ya Rasilimali za Nchi linapokuja swala la vipaombele.
Mwisho upendeleo ni hatari kwa mstakabali wa umoja wa kitaifa
Kuna watu ila upendeleo hautakiwi.Tunatakiwa kufanya for the sake ya Nchi sio chatokwani chato hakuna watu wewe ni mwendawazimu kabisa Kanye ulale
πππ¨ Jikite kwenye hoja acha viojawewe ni soga linakandiwa nyumaaaaas
Ni kweli hajafanya lolote,Mwanza huko wanaosombwa na Mafuriko hawana Barabara harafu mtu anaenda kumwaga mabilioni kwenye uwanja wa ndege wa kurukia.popo.kijijini kwa nyokooo si mlisema tena hajafanya lolote
Kikwete alifanyiwa vetting lakini ni mtu wa hovyo kuwahi kutokea hii nchi. Huyu mama atakua alifanyiwa vetting lakini unaona yanayoendelea, zero.Fanya vetting kwa jimama lako. Shetani wewe
Project zote hizo zingekamilika, Chato & maeneo yake ingefunguka sana kiuchumi. Na faida zingekuwa kwa Tanzania as a whole.Uchawa nao ni kazi,sasa hivi Mama Yao anaijenga Zanzibar kwa kasi ila hawaioni!
Alifanyiwa vetting na nani? Nyerere si alimkataa?Kikwete alifanyiwa vetting lakini ni mtu wa hovyo kuwahi kutokea hii nchi. Huyu mama atakua alifanyiwa vetting lakini unaona yanayoendelea, zero.
Leo Tanzania matumaini yetu ya kupambana na mgao wa umeme ni bwawa alilolianzisha Magufuli, hayo mawazo baada ya Mwalimu Nyerere amekuja kua nayo Magufuli tu.
Magufuli atabaki kua kiongozi bora kuwahi kutokea hii nchi toka ipate uhuru baada ya Nyerere
Mcheza kwao hutuzwa, siyo hutunzwa.Upo sahihi Mkuu, ila mcheza kwao hutunzwa.
MUACHENI JPM APUMZIKE.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Kikwete amekua rais Nyerere amekufa.Alifanyiwa vetting na nani? Nyerere si alimkataa?
Tanzania haijawahi pata Rais wa maana Toka baada ya mwl ukimtoa Samia.
Hao wengine ni majizi na ma failures
Stend ya chato ni ya kawaida sanaStand ya Mabasi Chato,Arusha au Mbeya hakuna Stand kama hii View attachment 2871788
NHC ilijengwa wakati wa kikwete,,muaje uwongoMwambie Mama yenu akabomoe!
Wilaya ya Arusha mjini haina stendi Wala soko.
Wizara ndiyo inaandika Stendi ya Kanda? Screen shoot hiyo website ya Wizara ambayo imesema kuna Stand ya Kanda nasi tuishangae!Naokota habari kutoka wapi? Hizo ni habari kutoka vyanzo rasmi vya Serikali mfano sites za chama,Wizara nk.
hoja za masoga na makandiwa nyumaaaazπππ¨ Jikite kwenye hoja acha vioja
ongezea bwawa la kufua umeme Chato, meli za ziwa Victoria nne chato, mradi wa maji wa billioni 598 wa Arusha nao chato, mradi wa stand za mabasi nyegezi Chato12. Mradi wa wa bwawa la Nyerere Chato
13. Mradi wa SGR chato
14. Mradi wa bomba la mafita Tanga-Uganda chato
15. Mradi wa fly over chato
16. Mradi wa umeme vijijini Chato
17. Mradi wa Stand ya Magufuli chato
18. Mradi wa Stand ya msamvu chato
19. Mradi wa daraja la Tanzanite chato
20. Mradi wa ukuta wa mererani chato
21. Mradi wa..... au basi.
Sema jamaa alikosea, ule Mradi wa soko la samaki la kanda angeutupia Msamvu pale au Chuga, angepunguza upendeleo.
shenzi wewe MwanzA zuwena ndio hajafanya lolote Magufuli alikuwa na mpango mzuri na mwanza yetu Samia hajafanya lolote mwanza la maana NYAMBAAFNi kweli hajafanya lolote,Mwanza huko wanaosombwa na Mafuriko hawana Barabara harafu mtu anaenda kumwaga mabilioni kwenye uwanja wa ndege wa kurukia.popo.
Ni akili hizo? Samia anawaletea vitu vya msingi vya kusaidia watu wengi huko Chato sio Stand na upuuzi kama huo.
Aliipendelea Chato. Ila ni vitu vya kawaida na vilipatakiwa viwepo kila mkoa kama si kila wilaya.Upendeleo wa hivi hautakiwi na ikomeshwe mara Moja maana ni hatari kwa mstakabali wa umoja wa kitaifa.
Chato peke yake kulikuwa na miradi zaidi ya 14 mikubwa mikubwa Kama ifuatavyo
1.Miradi wa Kiwanja Cha Ndege Chato
2.Mradi wa Maktaba ya Kanda ya Ziwa-Chato
3.Mradi wa Chuo Kikuu Chato-Tawi la Udsm
3.Mradi wa Tawi la Chuo Cha Fedha na Mipango Chato
4.Mradi wa Hoteli ya Nyota 3 Chato
5.Mradi wa Kuunda Hifadhi Mpya ya Taifa Burigi Chato
5.Mradi wa Hospitali ya Kanda Chato
6.Mradi wa Standi Kuu ya Hadhi ya Kanda Chato
7.Mradi wa Soko la Samaki la Kanda Chato
8.Mradi wa Barabara ya lami Chato
9.Mradi wa Gati la Nyamirembe Chato
10.Mradi wa Shule Maalumu ya Mkoa Chato
11.Mradi wa Majengo ya Makazi ya Watumishi NHC Chato
Hiyo ni Baadhi tuu ya Miradi mikubwa kati ya maelfu ya miradi ambayo bwana yule alijipendelea kwenye Kijiji chake Kwa kutumia Rasilimali za Nchi Kuleta upendeleo wa kimaeneo kinyume na kiapo chake.
View attachment 2871785View attachment 2871795View attachment 2871796View attachment 2871797
My Take
Wakati mwingine tuwe tunachunguza rekodi za watu (vetting) kabla ya kuwafanya viongozi wa Nchi maana wanaweza kuja kuleta taharuki kubwa.
View: https://www.instagram.com/p/Cz_Xq2RN0dL/?igsh=YW9pdTMzbTZ0ajViView attachment 2871794
Stand ya Mabasi Chato,Arusha au Mbeya hakuna Stand kama hii View attachment 2871788